Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Huyo mfadhili wake anagaragazwa very soon. Hapo tutamwona ZZK anavyotapatapa. Kibaya zaidi ametangaza vita na wafadhili wake wengine. Haujui msemo usemao "jitahidi kupunguza idadi ya maadui" kama sio lazima. Prof Muhongo, leo Mwandosya, Membe, Magufuli , mara Chadema mara Kafulila mara Mkosamali. Pale ACT ana kesi ya kupora chama iko mahakamani. Tanzania yote anajiona ndiye mwenye akili sana tena mwanasiasa bora. Ila kwa wajuzi wa mambo anaonekana amepoteza dira. Fedha ni fedheha! Just a matter of time!
 
Gininiga

Timu ya Membe mnatapa tapa sana , Hali mbaya kwani kila wakitajwa hao lazima lowasa atajwe? Kumbuka kuwa kila mmoja ana madhambi yake , Lakini Mtu mwenye Dhambi nyingi na kubwa ni Membe => 1- kifo cha Utata balozi wa Libya kisha pesa na Mali za Gadafi kuibiwa na Membe hiii Dhambi pekee licha ya kuwa na Dhambi nyingi inatosha kumhukumu jela na viboko vingi kila siku, Hao wengine wanayo madhambi Yao Lakini kinara wa Hizi fitna za kuchafuana, kupakaziana ni Membe , mda wote huwa anawaza jinsi ya kumchafua lowasa au kumpakazia , Membe bado ana ndoto ya kuwa Rais eti Kwa kupitia njia ya fitna mitandaoni !
 
Last edited by a moderator:
Huyo mfadhili wake anagaragazwa very soon. Hapo tutamwona ZZK anavyotapatapa. Kibaya zaidi ametangaza vita na wafadhili wake wengine. Haujui msemo usemao "jitahidi kupunguza idadi ya maadui" kama sio lazima. Prof Muhongo, leo Mwandosya, Membe, Magufuli , mara Chadema mara Kafulila mara Mkosamali. Pale ACT ana kesi ya kupora chama iko mahakamani. Tanzania yote anajiona ndiye mwenye akili sana tena mwanasiasa bora. Ila kwa wajuzi wa mambo anaonekana amepoteza dira. Fedha ni fedheha! Just a matter of time!

Naam, huyu Mrema wa Kigoma atakufa kisiasa siku si nyingi. Anaweza kuendelea na siasa lakini asiaminike kabisa.
 
Katika Hotuba ya Mbeya Zitto aliulizwa swali, Kwa nini hakutaja majina ya Walioficha pesa Uswisi.

Zitto akasema kutaja tu kama kutaja haina maana kwa sababu hata ukitaja halafu serikali isiwachukulie hatua za kisheria haisaidii.

Zitto akasema, Yeye alifunga safari kwenda Ulaya kuwajua ni akina nani Wameweka pesa Ulaya, Anasema Serikali ya Tanzania walipewa majina 99 ya walioweka pesa Ulaya, miongoni mwa waliokabidhiwa orodha hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa TRA na TAKUKURU, lakini je mpaka hivi sasa wamewafanya nini hao watu 99?

ZZK kuhusu kutaja majina tu, Akatolea mfano kipindi walipotaja orodha ya mafisadi 11 pale mwembeyanga mwaka 2008, Akauliza baada ya kuwataja Wamefanywa nini mpaka hivi sasa? . Akasema " Na Wengine si wanagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM?" bila shaka hili lilikuwa dongo kwa Lowasa
 
Huyo mfadhili wake anagaragazwa very soon. Hapo tutamwona ZZK anavyotapatapa. Kibaya zaidi ametangaza vita na wafadhili wake wengine. Haujui msemo usemao "jitahidi kupunguza idadi ya maadui" kama sio lazima. Prof Muhongo, leo Mwandosya, Membe, Magufuli , mara Chadema mara Kafulila mara Mkosamali. Pale ACT ana kesi ya kupora chama iko mahakamani. Tanzania yote anajiona ndiye mwenye akili sana tena mwanasiasa bora. Ila kwa wajuzi wa mambo anaonekana amepoteza dira. Fedha ni fedheha! Just a matter of time!

Atakimbilia ujerumani kwa yule mwanadada
 
Katika Hotuba ya Mbeya Zitto aliulizwa swali, Kwa nini hakutaja majina ya Walioficha pesa Uswisi.

Zitto akasema kutaja tu kama kutaja haina maana kwa sababu hata ukitaja halafu serikali isiwachukulie hatua za kisheria haisaidii.

Zitto akasema, Yeye alifunga safari kwenda Ulaya kuwajua ni akina nani Wameweka pesa Ulaya, Anasema Serikali ya Tanzania walipewa majina 99 ya walioweka pesa Ulaya, miongoni mwa waliokabidhiwa orodha hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa TRA na TAKUKURU, lakini je mpaka hivi sasa wamewafanya nini hao watu 99?

ZZK kuhusu kutaja majina tu, Akatolea kipindi orodha ya mafisadi 11 pale mwembeyanga, Akauliza baada ya kuwataja Wamefanywa nini mpaka hivi sasa? . Akasema " Na Wengine si wanagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM?" bila shaka hili lilikuwa dongo kwa Lowasa

Mbona huyo mmojawapo anaegombea urais kupitia CCM pia ni mfadhili wake. Zitto hajitambui anadhani hatujui kwamba nae ni fisadi pia. Hatudanganyi wenye akili zetu timamu. Kazi aliyopewa kusambaratisha upinzani inamuia vigumu anajikuta amekuwa sandwiched between ruling party (CCM) na opposition (UKAWA). Hivyo amegeuka kuwa popo
 
umepaniki kijana,ukilala ukiamka unamuwaza Dr slaa,yaonekana hata siku ya kupiga kura lazima umpigie Dr kwani unaonekana unampenda Kwa DHATI
Kajifundishe kwanza kuandika naona haufahamu hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
 
Wewe Gininiga ebu jaribuni kumshauri Boss wenu Membe kuwa mbinu zake kwa Sasa zimekuwa analogia aache kwani kila mtu ameshamjua kwanza Hana sura ya Mvuto hata kuongea hajui sauti yake utazani anaongelea Uvunguni , mwambie kazi ya Urais si ya majaribio na watu wenye fitna kama yeye hawana nafasi , kwanza ajiandae kwenda The Hague kujibu tuhuma za wizi wa pesa za wa-Libya asifikiri yupo mbinguni watu wapo wanamchora wanamtegea ajiingize kingi .
 
Mwenye haki ya kukosoa CCM ni Mbowe na Slaa wengine hawana haki hiyo wakikosoa wanakuwa wamefilisika kisiasa daa!!

Tunatia shaka ukosoaji huo kwakuwa wapinzani Tanzania wanajulikana huyu si mmoja wao. Tunamshangaa anakosoa kwa mantiki ipi. Ndio maana hata wewe mkuu unampa sapoti japo ni mwana CCM mzuri (kulingana na comments zako)
 
Katika Hotuba ya Mbeya Zitto aliulizwa swali, Kwa nini hakutaja majina ya Walioficha pesa Uswisi.

Zitto akasema kutaja tu kama kutaja haina maana kwa sababu hata ukitaja halafu serikali isiwachukulie hatua za kisheria haisaidii.

Zitto akasema, Yeye alifunga safari kwenda Ulaya kuwajua ni akina nani Wameweka pesa Ulaya, Anasema Serikali ya Tanzania walipewa majina 99 ya walioweka pesa Ulaya, miongoni mwa waliokabidhiwa orodha hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa TRA na TAKUKURU, lakini je mpaka hivi sasa wamewafanya nini hao watu 99?

ZZK kuhusu kutaja majina tu, Akatolea mfano kipindi walipotaja orodha ya mafisadi 11 pale mwembeyanga mwaka 2008, Akauliza baada ya kuwataja Wamefanywa nini mpaka hivi sasa? . Akasema " Na Wengine si wanagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM?" bila shaka hili lilikuwa dongo kwa Lowasa

Hiyo ni vunga tu zzk alienda uswis kuzuga watu wengine wasiende kufuatilia hao watu kwani na yeye ni mmoja wa walioficha fedha huko uswis
 
Back
Top Bottom