Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Wewe haujui Uislam nani alikuwambia vikao vya Waislam lazima viwe msikitini?

Bakwata bado watabaki kuwa Waislam pamoja kuwa wanawasaliti Waislam.

Dini yetu inakataza kumtoa Muislam ndani ya Uislam hata kama anafanya makosa kumbuka mtu yeyote anayetoa shahada ni Muislam.

kumbe na wew muislam!! dih ipo siku wataenda hata bar kufanya maamuz ya waislam! kasome surat kuraishi ndio kuna jibu lako
 
Nenda zenji ukanywe urojo .naona akili zako zimeganda Kama mafuta ya baby care
 
Wewe haujui Uislam nani alikuwambia vikao vya Waislam lazima viwe msikitini?

Bakwata bado watabaki kuwa Waislam pamoja kuwa wanawasaliti Waislam.

Dini yetu inakataza kumtoa Muislam ndani ya Uislam hata kama anafanya makosa kumbuka mtu yeyote anayetoa shahada ni Muislam.

vikao sio lazima msikitini lakini bin Abdillah alifanyia msikitini au chini ya miti au milimani pale alipoona kuna umuhimu wa kutofanyia msikitini..we ongea mambo ya zitto na ccm yenu haya yaache
 
yaani hiyo timu ni majanga tu wanapoteza muda tu tunaemtaka tutampitisha tu maana wameungana wote kutuhujumu sisi wenye dora watajibeba,na ni MENGI, ZITTO LOWASA CHENGE,ROSTAM,NA KWA SIRI KARAMANGI, LAKINI WAJUE WAO WANAPESA SISI TUNADORA NA MUNGU BASI
 
KATIKA TAASISI YA WACHUMIA TUMBO WA WATUMWA WA MABEPARI WA NCHI HII ( SIWATAJI MNAWAUJUA WENYE VYOMBO VYA HABARI) NI WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI, NA NDO MAANA WANAPINGA SHERIA ZA KUWATAKA WAENDE KWA SHULE LEVAL YA SHAHADA NDO WATAMBULIKE KAMA WAANDISHI WA HABARI NA WAKINA fulani WANAWATETEA HILI WAENDELE KUWATUMIA, SIO WOTE LKN WENGI WANATUMIKA HOVYOHOVYO, WANAONGWA WAKITUMIWA NA WENYE PESA,
 
Hawakosoe kwa makosa yepi yaweke wazi tuyajadili. Kuna technic za kumchafua mtu,nenda kajifunze kwa hizi umuwezi Zitto. Au kama umetumwa malipo yatapungua au aliyekutuma hakulipi kabisa.

kweli huo ndo uzarendo wa zitto kutumiwa na genge la majambazi kuwachafua watu wengine, nilimuona wa maana kuanzia leo kwangu hana jipya.
 
Nimeangalia kwenye instgram yake leo, Zitto anawashambulia vikali wagombea wa CCM kwa tuhuma mbali mbali za kusadikika kama kawaida yake.

Lakini kuna jambo moja nimegundua kua Zitto ni mdini sana na hata siku moja sijawahi sikia akimosoa kiongozi yeyote yule muislamu.

Huyu mtu ni wa kuogopa sana na anastahili kukemewa

Tafuta ushauri nasaha Mirembe,nani alimfukuzisha Mustafa Mkulo?
 
Leo katika gazeti la mtanzania tena la kina Lowassa na team zake, Zitto Kabwe eti kawalipua Membe, Magufuli na Mwandosya, ilibidi nikimbie kulinunua gazzeti hili kusoma ndani nikagundua mtu huyu anatumika vibaya na Lowassa, kwanza kapewa milioni 200 ili afanye fujo zake hizo za kipuuzi.

Ukiangalia katika tuhuma hizo hapaswi kuacha kumsema Lowassa lakini yeye kwa makusudi anawashambulia ha niliowataja kwa kuwa pengine wanaogopwa kwenye siasa za kuwania urais.

Mfano,eti Magufuli haeleweki yupo upande upi kukemea rushwa? uuzwaji wa nyumba za serikali na kadhalika. Hizi ni hoja nyepesi sana kujibiwa na mwanasiasa kama Magufuli.

Mwandosya anamuhusisha na ubinafishaji wa mashirika ya Umma enzi za Mkapa (hakuna hoja hapa)

Kwa ufupi Zitto anatumika na Lowassa ! chunguzeni mfuatilie mtanielewa ninachokisema.
Umetumwa! Aliyekutuma kakwambia atakulipa ngapi. Mbona alisema lowassa anahusika na richmond..ili mbona hulisemi?
 
leo nimepita kwenye mitando mingi ya kijamii nieona watu wengi wameandika habari za zitto kutumiwa na wanasiasa wazee wanaotafuta kwenda ikulu na kuwachafua watu wengine kwa maslai ya wanaomtumia,wengine wamesema zitto alipofikia sasa ndo anafirisika kisiasa na wengine kusema tamaa za pesa ndo zinamuua kisiasa, na wengine kusema anawazalilisha elimu yake, na mengine mengi sana machafu yasiyostahili
wanajf msaidieni zitto kwa coment zenu najua atazisoma humu alipofikia sio anapotakiwa kuwa kama kijana na ajue kutumiwa na mazee wakati yeye ni kijana anazalilisha ujana wake na vijana wenzake,
nawasilisha wanajf

Zitto ni fisadi kuliko mnavyomjua, kamuulize Ngeleja escrow zitto alikuka ngapi ndo uje hapa tena unayemkubali mwizi

Acha upuuzi wa kitoto wewe.

Zitto ahongwe kwenye Escrow halafu huyohuyo ashupalie waliomuhonga wawajibishwe tena ikiwemo kufilisiwa?

Kichwa chako kinafanya kazi kweli?

Unapojadili maslahi ya taifa usiongozwe na chuki,jadili hoja bainifu juu ya ukweli kuhusu Magufuli kuuza Mnyumba za serikali kwa bei ya kutupa.

Tumesoma maoni ya Mwandosya ,tuache wanaouhua ukweli watusaidie
 
Alipofika Zitto si pa kumsaidia tena. Ni kuomba kudra ya Mwenyezi Mungu tu. kajimaliza mwenyewe na hakuna namna tena
 
Leo katika gazeti la mtanzania tena la kina Lowassa na team zake, Zitto Kabwe eti kawalipua Membe, Magufuli na Mwandosya, ilibidi nikimbie kulinunua gazzeti hili kusoma ndani nikagundua mtu huyu anatumika vibaya na Lowassa, kwanza kapewa milioni 200 ili afanye fujo zake hizo za kipuuzi.

Ukiangalia katika tuhuma hizo hapaswi kuacha kumsema Lowassa lakini yeye kwa makusudi anawashambulia ha niliowataja kwa kuwa pengine wanaogopwa kwenye siasa za kuwania urais.

Mfano,eti Magufuli haeleweki yupo upande upi kukemea rushwa? uuzwaji wa nyumba za serikali na kadhalika. Hizi ni hoja nyepesi sana kujibiwa na mwanasiasa kama Magufuli.

Mwandosya anamuhusisha na ubinafishaji wa mashirika ya Umma enzi za Mkapa (hakuna hoja hapa)

Kwa ufupi Zitto anatumika na Lowassa ! chunguzeni mfuatilie mtanielewa ninachokisema.
Mkuu huu ndio Upinzani wa kweli unakwenda na chama tawala, mgombea mmoja mmoja japo binafsi nadhani kaharakisha sana angesubiri watano walochaguliwa.
Kama kweli Zitto kaanza na hawa jamaa tunasubiri maelezo yake kuhusu wagombea wengine wote akiwemo na Lowassa.
 
usisubiri ya lowasa , alikwisha karibishwa na zitto ACT kwa sharti la kutangaza mali zake tu tena bila kutaja alikozipata .
 
usisubiri ya lowasa , alikwisha karibishwa na zitto ACT kwa sharti la kutangaza mali zake tu tena bila kutaja alikozipata .
Hata Mbowe aliwahi tangaza hivyo kuhusu Lowassa, acha yeye JK mwaka 2005, kisha ikawa Sitta mwaka 2010 kwa hiyo hizi siasa za kutishana zinaendelea miaka yote. Mimi hadi siku Lowassa anajiunga na ACT ndipo nitajua ukweli ni upi hizi habari za kupanda mbegu za chuki wakati tunajua wapo kibao walosema watahamia Chadema tumezisikia toka 2005..
 
Zzk ni zaidi ya msariti,yeye anasaka pesa kwa udi na uvumba.Lowasa fisadi anamtumia zitto kujisafisha
 
Back
Top Bottom