- Thread starter
- #61
nyie watu mna matatizo sana na zitto! umeshakili hilo gazeti ni la team lowasa na lipo hapo kimkakati kwa nini usihisi labda sehemu aliyolipuliwa lowasa haikuwekwa hapo,!? hivi unategemea kabisa lowasa asemwe vibaya halafu mhariri wa gazeti hilo aiweke!? kushindwa kwako kuyaona mapungufu haya yote si bure ni dhahiri umesukumwa na chuki zako dhidi ya zitto!
Kiongozi amini ninachokueleza, Zitto anatumika, utakuja kuupata ukweli siku chache zijazo.