Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Mkuu kuna watu hawaelewi tunaongelea nini wao wanadhani ni ubishani wa nani zaidi?
Hakuna jambo baya kama wewe ni mtumishi wa umma na unayeheshimiwa na jamii na unaona unafanya yakupasayo kwa mujibu wa sheria na kanuni halafu unafedheheshwa hadharani na mtu mmoja mwenye madaraka lakini kwa vile hapingwi basi wewe na wenzako mnabaki kusononeka tuu.
Kwanza tabia hiyo inawapunguzia weledi na hamu ya kutumikia taifa kwa nguvu zote,, inakuwa kama mnatumikia adhabu na sio kutumikia nchi.
Hakuna mtumishi wa umma anayedhalilisha wala kutumbuliwa hadharani zaidi ya wateule
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Magufuli anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe ndiyo maana hata hajutii
 
So nchi inaongozwa kwa wewe kutarajia?
Maandaziii.

Nchi inaongozwa kwa taratibu, misingi, kanuni, sheria ambavyo vyote viko kikatiba.

Nchi haiongozwi kama wewe unavyotaka.

Kichwa Maji kama huyo unayempalilia
Sio kila kitu ni katiba kuna uwezo wa kiongozi na busara
 
Wasamehe ndugu, wapo kwenye denial state...hawaamini kuwa the power hand is changed. Wakati wengine tunapiga yowe sauti ya nyikani itengenezeni njia yanyooshen mapito walidhani tunaota. Sasa yanatokea bado wanadhani wapo ndotoni....Tanzania njema ni lazima, apende au asipende mtu...The train, is gone too little too late!
Kununua midege mibovu ndo kunyoosha nchi?
 
Nani alikudanganya kuwa huyo ..hajutii kuwa kule hapo lilipo linatamani siku zirudi nyumba tatizo wabunge wenu Wa upinzani wanapenda sifa za kijinga!
Unabwabwaja. Hujatoa ushahidi wowotw kuwa anajutia. Mimi nimekupa historia kuwa alishawahi kujipeleka jela ili aonje machungu ya huko. Kwa sasa mnacheza ngoma aliyoiandaa. Na akitoka anazidi umaarufu huku mtaani. Hamumjui Lema.
 
Wanapoapa wanaapa kulinda busara zao? Ficha UNYUMBU wako
Rudia post yangu sio kila kitu ni katiba kuna uwezo unaoambatana na busara uadilifu n.k ndio maana kwenye kampeni wagombea huongea mambo mengi sio kufuata katiba pekee.
 
Rudia post yangu sio kila kitu ni katiba kuna uwezo unaoambatana na busara uadilifu n.k ndio maana kwenye kampeni wagombea huongea mambo mengi sio kufuata katiba pekee.
NI LAZIMA kufuata katiba. Ukizungumzia busara, lazima iendane na matakwa ya katiba. Nimekupinga uliposema sio kila kitu ni katiba. Hapana. Kila kitu kwenye uongozi wa siasa ni lazima kufuata katiba.

Hebu wazia jinsi huyu wa sasa hana busara. In fact, wako watu watasema anatumia busara zake kuongoza. Ndo ujue busara ni subjective ndo maana NI LAZIMA KATIBA ifuatwe.

Katiba ni busara ya wananchi wote. Mwenye kuweza kuifuata ana baraka za watu. Asieweza ana laana.
 
Ndoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!

If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!

Hizi ndizo athari za kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!

Jaribu hata kutumia common sense pamoja na kwamba common sense is not so common katika kizazi cha watu waliokabidhi akili zao kwa wanasiasa wa sasa nchini.
Well said sir.
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Jpm n rais daraja,tumuunge mkono kwani wote tunapiya juu yake,tusimwukumu,tutafsiri nia yake,tumwombee na kumsuport rais maalum tulopewa ma Mola.
 
NI LAZIMA kufuata katiba. Ukizungumzia busara, lazima iendane na matakwa ya katiba. Nimekupinga uliposema sio kila kitu ni katiba. Hapana. Kila kitu kwenye uongozi wa siasa ni lazima kufuata katiba.

Hebu wazia jinsi huyu wa sasa hana busara. In fact, wako watu watasema anatumia busara zake kuongoza. Ndo ujue busara ni subjective ndo maana NI LAZIMA KATIBA ifuatwe.

Katiba ni busara ya wananchi wote. Mwenye kuweza kuifuata ana baraka za watu. Asieweza ana laana.
Ninaposema sio kila kitu ni katba nina maana kuna maamuzi mengine ni kiongozi mwenyewe anatuamia busara au upeo wake kuamua lkn bila kuvunja katiba.
 
Wale wanaojiamini wako tayari kukubali uchaguzi ufanyike ili kulinda heshima zao
Wabunge wengi ni wa CCM na hawa wengi wao ni waoga na hawajitambui (wapowapo tu), hakuna mwenye kufikiria kuacha posho kwa sababu hawako kwa ajiri ya wananchi wanaowawakilisha.
Haiwezi kuja tokea hivyo kwa utashi wao.
 
IMG_0023.JPG
Kama aliv

Kamma alivyomlinda baada ya kumpiga Warioba. Na kama alivyomlinda hadi kupata ukuu wa wilaya baada ya kufunga viatu vya ridhiwani
Vita vya dawa za kulevya ilishindikana kabisa, akheri Paul Makonda amethubutu, hayo mengine atajuana yeye na Mwenye Enzi Mungu. Kwani hakuna mtu msafi duniani
 
Hii yote inatokana na kupunguzwa kwa baadhi ya malupulupu kwenye posho za wabunge,
Uchu wa madalaka kwa baadhi ya viongozi ambao wanashinikiza wenzao kumpinga JPM,
Na kubanwa kwa njia za upigaji wa madili sababu tunajua viongozi wengi na wabunge wamekua wapigaji wa dili haramu kama pembe za ndovu, Ma agent wa madawa ya kulevya, wala rusha na n.k.

Na tukiangalia kiuhalisia JPM mambo anayofanya hayana effect yyte kwa mwananchi wa kawaida kwa sababu hayabani kufanya shughuli za kawaida za kujipatia kipato, sema kwa upande wa wafanya biashara wengi wanamchukia kwasababu walikua wamezoea kua wanakwepa kulipa kodi hivyo ilipelekea wao kupata super normal profit ambayo ilipelekea wakawa na matumizi ya rafu kwenye pesa sasa JPM kabana kwenye kodi wanaona kama hafai. Na hii ndio imepelekea pesa kupotea mtaani kwasababu hakuna ufujaji wa pesa kama hapo mwanzo.

Ndugu unausghuli yeyote ya kujipatia kipato wewe?
au wewe ni kula kulala?
maan ahata hao wnafunzi wameathirika kwa sasa,
 
Tatizo la wanasiasa wa siku hizi wanajifanya kujua kila jambo na. Hawana heshima kwa viongozi wao. Na hasa zito.lema na yule kichaa tundu.dawa yao ni kuwekwa ndani kwa miezi sita ndio wajifunze kunyoosha ndimi zao.kwanza bado watoto wadogo
Aisee Wewe una mawazo kama yangu, hawa wanasiasa ni wanafiki sana, awamu hii wanaangaika sana kwa kuwa walizoea dezo dezo, ukishakuwa mbunge ni madili kwa kwenda mbele, nchi hii Viongozi walizoea kunyanyapaa wananchi.
 
Ndugu unausghuli yeyote ya kujipatia kipato wewe?
au wewe ni kula kulala?
maan ahata hao wnafunzi wameathirika kwa sasa,

Wewe kama mwananchi wa kawaida ni wapi ulipo banwa kufanya shughuli zako za kukuingizia kipato. Au umebaki tu kufata mkumbo na kulaum pasipo kujua umeguswa kivip na huu uongozi wa awamu ya tano?
 
Back
Top Bottom