Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Haya mambo yao watajuana wenyewe tatizo la mkulu anajifanya kila kitu anaweza yeye na kunyanyasa wengine utafikiri sio watanzania . mim kauli ya juzi kumdhalilisha waziri mkuu kuwa alikuwa hajui kama ni mwenyekiti wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya ni kukosa sana heshima kwa viongoz wenzio.

Huyu mkulu kila kitu anataman angefanya yeye

Alisema anataman angekuwa mwenyekiti wa tume ya madawa ya kulevya
Anataman angekuwa IGP
Nazan anataman hata angekuwa ni speaker wa bunge

Yaani hiz ni dalili mbaya sana kwake

Busara na hekima mkulu naona hana

AWAMU hii kwangu PM ni kiongoz makin sana
Ilibaki kidogo aseme anatamani kuwa housegirl.
 
Wewe kama mwananchi wa kawaida ni wapi ulipo banwa kufanya shughuli zako za kukuingizia kipato. Au umebaki tu kufata mkumbo na kulaum pasipo kujua umeguswa kivip na huu uongozi wa awamu ya tano?

UNAJITAMMBUA KWELI?
UNAMAJUKUMU WEWE?
AU YOUR A TEEN? NA HUJUHIU KINACHOENDELEA?
NA KUJUA KAMA UNAMAJUKUMU NAOMBA KUJUA BEI YA SUKARI, MCHELE NA UNGA MTAANI KWENU? NIAMBIE MWAKA JANA ILIKUWAJE NA MWAKA HUU IKOJE?
 
UNAJITAMMBUA KWELI?
UNAMAJUKUMU WEWE?
AU YOUR A TEEN? NA HUJUHIU KINACHOENDELEA?
NA KUJUA KAMA UNAMAJUKUMU NAOMBA KUJUA BEI YA SUKARI, MCHELE NA UNGA MTAANI KWENU? NIAMBIE MWAKA JANA ILIKUWAJE NA MWAKA HUU IKOJE?
sasa kupanda kwa bei ya hizo bidhaa nani alaumiwe? na je hiyo bei ya mwaka jana iko sawa na ya miaka iliyo pita? Kama bei ya bidhaa ilikua sawa una haki ya kuniuliza hilo swali na kulaumu serikali kwa nguvu zako zote.
 
Nakuonea huruma mkuu maana hujielewi
Unaweza kuwa unaonea watu huruma kwa maana ya kutokuelewa lakini pengine na ww unatakiwa kuonewa huruma bro, Tanzania bado hatujapata wapambanaji wa kweli hawa ni wanaharakati kwani mara nyingi hufanya mambo kwa matukio2, mara nyingi wapambanaji huwa hawakurupuki hovyo hovyo..
 
Hata Mimi naona PM ni mkali na pia anabusara ya kiuongozi, anajua nini aseme wapi na nini asiseme anajua mipaka yake bila kuingilia mamlaka ya wengine
 
Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
208c5dbc9abc4f6acba65f2b6ee2d3f8.jpg
 
Zitto sasa anakaribia kuwa mteja wa Mirembe. Ana halucinate na kuamini kuwa:

1. Bunge ambalo linaundwa na asilimia 75% ya wabunge toka chama tawala linaweza kum impeach rais aliyetokana na chama tawala hicho na ambaye ndiye mwenyekiti wa hicho chama tawala wanakotoka hao wabunge? Tena kwa kosa la kumtuhumu mwenyekiti wa chama pinzani (cha Zitto) kwa kujihusisha na madawa ya kulevya?

2. Anaamini kuwa leo bunge likivunjwa na uchaguzi kurudiwa, yeye Zitto na wapinzani wake watashinda na Lowassa kuwa rais wa nchi? Hizi ni delusions & hallucinations of high grade zinazotakiwa kurekebishwa Mirembe kabla hali haijawa irreversible. Kila normal person anajua uchaguzi ukirudiwa leo au hata hiyo 2020 Zitto hataweza rudi mjengoni na chama hicho cha upinzani hakiwezi shinda, wala Lowasa hatashinda urais. Kinyume chake Magufuri atashinda kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile ya 2015.

3. Anaamini kuwa chadema ingeshinda nafasi ya urais hapo 2015 huku ikiwa na wabunge asilimia 25% tu ya wabunge mjengoni, huyo rais wao angedumu? Jibu la kila normal person ni kuwa hangedumu hata mwenzi mmoja maana hao wabunge wa upinzani wangekuwa asilimia 75% na wangemu 'vote no confidence'.

5. Yaani Zitto hajui au amesahau kuwa nguvu ya serikali na chama tawala ni kiwango cha idadi ya wabunge wake walioko mjengoni? Yaani uwashawishi sababu za kitoto kama hizo eti waachie madaraka? Kweli Zitto anatakiwa akafanyiwe vile vipimo vya Makonda.

6. Halafu Zitto kila wakati kumnukuu Mwl Nyerere? Kwa kila normal person anajua kuwa Mwl Nyerere ndiye muasisi wa CCM (aka TANU) na kwamba sera za ccm zimeasisiwa na Mwl Nyerere na ndizo zinazotekelezwa kuanzia uhuru hadi sasa (50+ years). Zimekuwa zikirekebishwa mara kwa mara ili kwenda na wakati. Sasa Zitto kang"ang'ania za zamani hususani Azimio la Arusha alilolikopi na kupaste kama Azimio la Tabora.
Actually you're correct 100%,his mind is to go for election while if this happens he is about 50% to secure his current title as MP
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?

Ndugu Chakaza, kwanza wacha kubadilisha methali zetu, Ukitaka kula Nguruwe kula aliyenona, Pili Nyerere hii nchi sio mali yake , hii ni nchi ya wa Tanzania.

Mimi ni kati ya watu wanaopendezwa na vijana wanasiasa hodari, waliokuwa na muelekeo, lakini mambo yakishaanza kuleta unafiki huwa yanavunja watu moyo. Leo tunamshutumu Makonda kwa kufanya kazi yake, hata kama kuna kadosari lakini jukumu alilolibeba kwa hili la madawa ni kubwa sana, wengi walikuwa wanaliogopa au walikuwa washirika na hao Drug Lords kwa njia moja au nyingine. Hii vita ya Drugs ni kubwa sana, na wengi wetu tulikuwa tunawajua au kuwatilia mashaka hao waliotajwa, sasa leo Makonda kawa Jasiri na kuthubutu, tunaona wanasiasa kwa nia yao ya kumpiga vita Raisi wameanza kumtengezea majungu Makonda.

Pia leo Kijana Hodari kama Zitto , anafanya unafiki wa kisiasa kwa sababu yeye anachokitafuta ni kumtia doa Raisi au vita yake ni ya Raisi, kwa hivyo ameona njia ya mkato ni kuanza na vijana walioteuliwa na Raisi na ambao wanajituma. Wengine wansema Zitto hapendi kuona kijana yoyote kuwa Mashuhuri kumzidi yeye, na ikitokea basi ni lazima ampige madongo, ndio maana anajiunga na akina Lissu, Mbowe, lema nk, ili hali .

Wakati wa kikwete alimsaidia sana Zitto, hata katika awamu yake ya pili, Zitto ilikuwa akose kiti alichokuwa akikipenda cha PAAC, akamlilia kakake wakati huo alikuw nje ya nchi. Kikwete aliwapigia simu akina Pinda na kinana na kuwaamrisha wabunge wa ccm wampigie kura Zitto, jambo ambalo liliwaudhi sana wabunge wa ccm, lakini Kijana Zitto hakua na uungwana na alimchafua na kumdhalilisha Kikwete. Japokuwa mimi nilikuwa namuunga mkono Zitto kwa mambo aliyokua akiyaibua. Lakini kuna ethics za kufuatilia ili uweze kutimiza wajibu wa kiuungwana, ilikuwa amjulishe kaka yake tatizo liliopo na kumshauri awawajibishe wahalifu kwenye serekali yake, kable hajajitafutia umaarufu, kwani huo umaarufu wake umechangiwa kwa asilimia kubwa na kikwete.

Zitto is proving to be a very wishi washy politician, who personalizes his fights, i doubt if he is honest in what he is doing with akina Mbowe, Lema na lissu, I think its jis way of rubbing salt into their wounds.
 
Katiba inampa nguvu sana JPM, kiasi anafikiri TZ ni mali yake. Kiongozi asiye heshimu watu au viongozi wengine ni mtu mbaya sana. JPM anafaa kuwa kufukuzwa kazi

Nyerere alionya sana kuhusu hili bahati mbaya hatukumwelewa. Katiba tuliyonayo kwa sasa ilikuwa sahihi kwa 1960s & 1970s lakini si kwa karne hii tuliyonayo ya utandawazi na free thinking-hatupaswi kufikiri sawa hata siku moja sisi ni binadamu hatuoperate kwa genetic codes na instinct kama wanyama wengine. Kwa katiba hii ya sasa unahitaji kuwa na rais anayejua kuwa yeye si CEO wa Tanzania na kwamba Tanzania ni ya watanzania wote si yake peke yake yeye kapewa dhamani tu ya kuongoza.
 
Ndoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!

If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!

Hizi ndizo athari za kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!

Jaribu hata kutumia common sense pamoja na kwamba common sense is not so common katika kizazi cha watu waliokabidhi akili zao kwa wanasiasa wa sasa nchini.
unaambiwa kuwa na vyeti vingi sio kuwa na uwelewa wa kufanya kitu au kuwa na elimu kubwa na isikusaidie heri kutokuwa na elimu uwe tu na elimu ya awali na ukafanya kitu chenye mfano wa kumwelimisha mtu na mtu akaelewa (nisawa na msomi kuongozwa na asiyesoma na kuwa mwongozaji sahihi kuliko yule aliyesoma na hakuna kitu kuwa tuu na sauti ya kuongea lose pont hakuna tuliangalie hili nalo ni tatizo kwa wasomi viongozi wa somi wa jitambue
 
Haya mambo yao watajuana wenyewe tatizo la mkulu anajifanya kila kitu anaweza yeye na kunyanyasa wengine utafikiri sio watanzania . mim kauli ya juzi kumdhalilisha waziri mkuu kuwa alikuwa hajui kama ni mwenyekiti wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya ni kukosa sana heshima kwa viongoz wenzio.

Huyu mkulu kila kitu anataman angefanya yeye

Alisema anataman angekuwa mwenyekiti wa tume ya madawa ya kulevya
Anataman angekuwa IGP
Nazan anataman hata angekuwa ni speaker wa bunge

Yaani hiz ni dalili mbaya sana kwake

Busara na hekima mkulu naona hana

AWAMU hii kwangu PM ni kiongoz makin sana
Alilalamikia kutojulishwa na wasaidizi wake kwenye mambo ya msingi kama yale
 
Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
Yani wewe ukicheza utapasuka kwa wivu ulionao!!!kifua chako chaonyesha kimejaa chuki ambayo muda wowote unaweza kubust wewe..poleee
 
K
Ninaposema sio kila kitu ni katba nina maana kuna maamuzi mengine ni kiongozi mwenyewe anatuamia busara au upeo wake kuamua lkn bila kuvunja katiba.
Sio "bila kuvunja katiba" bali "kwa kufuata katiba". Ndio namna pekee tunaweza kujipima. Kuruhusu kiongozi kuamua kwa busara mradi havunji katiba basi kuna shida kwenye hiyo katiba haijitoshelezi kutatua yanayoisibu jamii katika kujitawala.
 
Back
Top Bottom