JAPHETtumpa
Senior Member
- Feb 25, 2012
- 136
- 35
inatosha tulishaheshimiana haikutusaidiaNi kweli kuchapa kazi. Lakini kwa vile nchi ni ya wengi na sio mmoja lazima kuheshimiana. Hakuna kiongozi Afrika nzima alikuwa anachapa kazi na kuwajali watu wake kama Gadaffi, lakini dharau zake ndio zilimuondoa tena bila heshima.
Mwalimu Nyerere alikuwa anatuambia kiongozi wapaswa kuwa mtu wa aina gani, uwe mkali lakini heshimu utu wa watu maana kila mtu kazaliwa na ubongo na utashi wa aina yake na hatuko sawa katika kufikiri. Muhimu kuheshimu katiba na sheria zote.