Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Mimi kimya cha Mzee Lowasa kinanitisha kwa kweli ,sijui atakuwa na plans gani maana Kikwete alimwambia Magufuli ile siku anapewa Uenyekiti wa chama kwamba Lowasa sio mtu wa kumpuuza
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.
Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.
Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.
Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Unaposema wanasiasa husisahau kuwa hata rais ni mwanasiasa, has been a member of parliament for 20 years na sasa ni rais, kwa hiyo huyo ni mwanasiasa aliyebobea na anajua kupita njia zote a moja na hila zote za kisiasaTatizo la wanasiasa wa siku hizi wanajifanya kujua kila jambo na. Hawana heshima kwa viongozi wao. Na hasa zito.lema na yule kichaa tundu.dawa yao ni kuwekwa ndani kwa miezi sita ndio wajifunze kunyoosha ndimi zao.kwanza bado watoto wadogo
Alivyo na madeni tena banki ileeee..thubutuKuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.
Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.
Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.
Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.
Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.
Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.
Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Ndoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!
If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!
Hizi ndizo athari ya kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!
Jaribu hata kutumia common sense pamoja na kwamba common sense is not so common katika kizazi cha watu waliokabidhi akili zao kwa wanasiasa wa sasa nchini.
how old are yuo?, hao unao wapenda ndo waidhinisha ruzuku za hayo usiyo yapenda!!!Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
Watu gani wangemlinda wakati anapigwa makombora na wazungu?Unadhani kwa nini watu wake hawakumlinda asiondolewe?
Kweli mkuuu umemaliza kila kituUkijaribu kuangalia Rais kakosea wapi wala hata hupati jibu, ila kosa lake kubwa ni kuminya mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.
Sasa wale wanufaika wa ile michezo, wanazidi kuonekana kadri siku zinavyokwenda mbele.
Wabunge wenyewe wamebanwa hasa financially, ndio utajua kuwa kuna watu walikua wanatumia siasa kama ajira.
Hiki ndicho kipindi kizuri cha kujua watetezi halisi wa watanzania ni kina nani.
Nani alikudanganya kuwa huyo ..hajutii kuwa kule hapo lilipo linatamani siku zirudi nyumba tatizo wabunge wenu Wa upinzani wanapenda sifa za kijinga!W
Tatizo hamumjui Lema. Kabla nyie kimpeleka huko alishawahi kujipeleka mwenyewe enzi hizooo hajawa hata mbunge. Alishajua nini kitakuja tokea. Leo mnacheza ngoma aloandaaa yeye.
Vitu vyote ambavyo we unavitamani mi teyari ninavyo!!!Huna ubongo [emoji3] [emoji3] wewe !!!huna faida katika jamii iliyostaarabika. Hizo chuki ungezitumia kupambana Na umasikini ungekuwa mbali.
Suluhu ni kuacha yanayokatazwaWakati huko US Mahakama imesimama dede dhidi ya Trump na kulazimisha amfute kazi Michael flynn,National security adviser wake na Trump akaishiwa ujanja na kutii,
ngoja tuone hapa kwetu mhimili upi utasimama dede bunge au mahakama,
tayari kuna amri za kuwakamata na kuwaweka ndani mawakili wanaotetea wahalifu na majaji waliosababisha serikali kushindwa kuwafunga watuhumiwa wa madawa ya kulevya,na pia tayari wabunge kadhaa lokapu imekuwa kama nyumbani kwa ingia toka ingia toka kwa uchochezi huku mhimili huo ukisema unafanyiwa ubabe,
Anatamani kwa sab viongozi hawafanyi anavyotarajia hiyo ni lugha ya tafsida.Anayetamani kuwa IGP
Wabunge walizoea kupiga pesa wakati wa jk kila mwezi wanakwenda nje ya nchi per dm usd 2000 akikaa siku 10 anarudi na m30 siku hizi hakuna wanajuta kukopa pesa za kampeniUkijaribu kuangalia Rais kakosea wapi wala hata hupati jibu, ila kosa lake kubwa ni kuminya mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.
Sasa wale wanufaika wa ile michezo, wanazidi kuonekana kadri siku zinavyokwenda mbele.
Wabunge wenyewe wamebanwa hasa financially, ndio utajua kuwa kuna watu walikua wanatumia siasa kama ajira.
Hiki ndicho kipindi kizuri cha kujua watetezi halisi wa watanzania ni kina nani.
So nchi inaongozwa kwa wewe kutarajia?Anatamani kwa sab viongozi hawafanyi anavyotarajia hiyo ni lugha ya tafsida.