Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

Zitto! Vipi bhana! Wewe ni Mbunge, kila kikao na mkutano uko Bungeni. Kwa nini unadai ripoti kwa wananchi badala ya kumdai Spika? Au unaamini ssi wananchi tutakusaidia kupiga kelele? Wewe umetusaidia shida zetu?
Kwenda zako huko!
Ungeumbwa mbuzi tusingeshangaa, lakini kama ni mtu tunabaki vinywa wazi?
Huelewi kwa nini anataka ripoti iwekwe wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyooo kaanzisha mjadala na FBI CIA Scotland Yard waliopo Nchini hapo watasambaza taarifa hizo Duniani kote ni mara mia angekaa kimya kuliko kuuchoche moto zaidi
Jiwe shida ni kudhani anajuwa sana maana hata akienda kule kwao wanamwona mjuaji sana hivyo anadhani ni kweli.
Hana break, hachuji maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoe dereva,msifanye watu wajinga
Dereva angekufa kwenye shambulizi uchunguzi usingefanyika? Watu gani wanafanywa wajinga? bakia kufanywa mjinga peke yako usiwasemee watu wengine ambao wanajua zaidi yako kuwa cctv camera ziling’olewa na walinzi wa getini waliacha geti wazi wakajificha.
 
===
Pitieni hata basi na hatua za awali namna uchunguzi wa kiahalifu unavyofanywa kabla ya 'kuwaka'! Makabrasha mbona ypo kibao mitandaoni?
Uchunguzi wa Tukio la Tundu lisu hauhitaji Elimu ya chuo kikukuu kwani hata asiyekwenda shule kabsa angeweza kugundua kila kitu, cha kwanza ni wale walinzi wa getini na pili ni wapi zilikwenda cctv baada ya kung’olewa? na tatu wamuhoji Daud Bashite na rafiki zake akiwemo Le mutuz mvujisha siri nyingi za Bashite, uchunguzi ukianzia hapo hakuna haja na vinginevyo kwani FBI waliopo ubalozi wa Marekani hapo Dsm walifanya uchunguzi wa siri wakapata taarifa zote wakamkabidhi mwenyekiti wa chadema.
 
...kwani FBI waliopo ubalozi wa Marekani hapo Dsm walifanya uchunguzi wa siri wakapata taarifa zote wakamkabidhi mwenyekiti wa chadema....
Hii ni taarifa mpya na ni hatari kwa usalama...FBI wanafanyaje 'clandestine operations' nchini bila ruhusa rasmi kutoka kwa vyombo husika!? Na mwenyekiti chadema...anaanzaje kushiriki matukio haya akijua kabisa ni kinyume cha sheria za nchi wakati huo huo anahimiza watanzania wajikite kuheshimu na kufuata sheria za nchi!? Vinginevyo, mkuu labda ukiri wazi hapa kuwa umechomekea taarifa hii kunogesha hoja na mjadala huu kwa ujumla.
 
Dereva angekufa kwenye shambulizi uchunguzi usingefanyika? Watu gani wanafanywa wajinga? bakia kufanywa mjinga peke yako usiwasemee watu wengine ambao wanajua zaidi yako kuwa cctv camera ziling’olewa na walinzi wa getini waliacha geti wazi wakajificha.
Kwa nini mnamficha?
 
UMOJA WA WASAKA KIKI TANZANIA.

Kama kawaida kudandia hoja na kauli na kuzigeuza mtaji.

Zitto achana na wake za marehemu kwanza ndio uje tukusikilize wewe puppet wa acacia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vina uhusiano gani na Tukio la kushambuliwa Tundu lisu? Yeyote anayezungumzia mabaya siyo kiki, acheni kusingizia kiki kwa masuala ya msingi
 
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Jipu lililo mpata, Rais ni si kitoto, ni Babu kubwa, limekaa katikati ya Moyo! na hafurukuti ile damu ya Lisu inalia sana tena kwa kupaza sauti. inafanya jipu lake lipwite, pwite!

Naona km damu hii inaweza kufanya mtu azimike ghafla! bila kuumwa! km Ditopile!!! but kuna wanafiki wanamdanganya Rais kwa kuendekeza mlo! eti wana kamsemo nalinda kitumbua changu!

Ombeni samahani tu mumlipe Lisu,stahiki zake zote! yaishe! hela si zipo? mbona Lisu mtu fair sana! kiburi si Maungwana wadau! kwanza atawasaidia hata kuongoza nchi kwa tija!

Akimaliza kwao sasa anakuja kwenu! unganeni, mtumbue jipu lake hilo lililo tunga Moyoni, alianzisha jina hili sasa linamgeuka!
 
Back
Top Bottom