Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Kamuulize Tundu mwenyewe!
 
Angalia hii
Bashe anasema baadhi ya mawaziri walimtahadharisha kuwa makini yeye na wabunge 11 wengine kutokana na kikundi ndani ya TISS wanaweza kupotezwa.
Kwa nini hoja ya Bashe ilizuiwa? Jee ni mawaziri wepi hao wanaojuwa hicho kikundi ndani ya TISS kinachoteka na kushambulia (kusudio la kuua) wengine?
Leo tunatishwa wananchi tusiseme hilo jee Bashe ambaye sasa ni waziri kwa nini asihojiwe aweke wazi kauli aliyotoa Bungeni ili kama ni UONGO aadhibiwe?
Waandishi wetu waache ukanjanja, baada ya agizo la Rais wamfate Bashe afafanue kauli yake ndani ya Bunge watu waelewe. Inaonyesha katazo hili maana yake ni kuwa mazingira yanatengenezwa kupotezana kwa kasi tukielekea uchaguzi huu mkuu ambao bwana mkubwa kwa uchaguzi wa haki akipata 30% tuu basi hata lile la kuja kuwa malaika mkuu ni KWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia onyo hilo watu wanaandaliwa kisaikolojia tuelekeapo uchaguzi wa mwaka huu. Inaonyesha kuna maandalizi makubwa ya watu kutekwa, kuteswa na kupotezwa, hasa upande wa Zanzibar na hii ni jitihada ya wazi kabisa ya kufanya "preemption" ili watu waogope kuhoji. Katika masuala ya uchaguzi, CCM ya awamu hii wapo tayari kufanya upuuzi wowote ule, pasipo kujali madhara yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekaa nyuma ya keyboard!
Ulitaka nikae nyuma ya Ku..u lako? acheni tabia za kibwege, JF watu wanajadili kwa hisia zao mradi hawavunji sheria!
Ukiona usomayo yanaku nyong'onyeza achana na JF kasome mengine na sio kutishia watu humu.
Mbona tunawajua watu ambao wana nafasi kubwa sana na za ulaji lakini hawaridhishwi na mwendo wa dola na wanachalange huku mkiwaita Wapinzani kumbe ni CCM wenzenu?
Acha ujinga mkuu!

Haya!
 
Nawewe si mwandishi tayari kwa article hii
Kwann usimfuate Bashe umuhoji?
Naamini uwezo huo unai mkuu
Bashe anasema baadhi ya mawaziri walimtahadharisha kuwa makini yeye na wabunge 11 wengine kutokana na kikundi ndani ya TISS wanaweza kupotezwa.
Kwa nini hoja ya Bashe ilizuiwa? Jee ni mawaziri wepi hao wanaojuwa hicho kikundi ndani ya TISS kinachoteka na kushambulia (kusudio la kuua) wengine?
Leo tunatishwa wananchi tusiseme hilo jee Bashe ambaye sasa ni waziri kwa nini asihojiwe aweke wazi kauli aliyotoa Bungeni ili kama ni UONGO aadhibiwe?
Waandishi wetu waache ukanjanja, baada ya agizo la Rais wamfate Bashe afafanue kauli yake ndani ya Bunge watu waelewe. Inaonyesha katazo hili maana yake ni kuwa mazingira yanatengenezwa kupotezana kwa kasi tukielekea uchaguzi huu mkuu ambao bwana mkubwa kwa uchaguzi wa haki akipata 30% tuu basi hata lile la kuja kuwa malaika mkuu ni KWELI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
.... Kimenuka ....
 
Zitto! Vipi bhana! Wewe ni Mbunge, kila kikao na mkutano uko Bungeni. Kwa nini unadai ripoti kwa wananchi badala ya kumdai Spika? Au unaamini ssi wananchi tutakusaidia kupiga kelele? Wewe umetusaidia shida zetu?
Kwenda zako huko!
 
Bashe anasema baadhi ya mawaziri walimtahadharisha kuwa makini yeye na wabunge 11 wengine kutokana na kikundi ndani ya TISS wanaweza kupotezwa.
Kwa nini hoja ya Bashe ilizuiwa? Jee ni mawaziri wepi hao wanaojuwa hicho kikundi ndani ya TISS kinachoteka na kushambulia (kusudio la kuua) wengine?
Leo tunatishwa wananchi tusiseme hilo jee Bashe ambaye sasa ni waziri kwa nini asihojiwe aweke wazi kauli aliyotoa Bungeni ili kama ni UONGO aadhibiwe?
Waandishi wetu waache ukanjanja, baada ya agizo la Rais wamfate Bashe afafanue kauli yake ndani ya Bunge watu waelewe. Inaonyesha katazo hili maana yake ni kuwa mazingira yanatengenezwa kupotezana kwa kasi tukielekea uchaguzi huu mkuu ambao bwana mkubwa kwa uchaguzi wa haki akipata 30% tuu basi hata lile la kuja kuwa malaika mkuu ni KWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Kuna kila dalili kuelekea August 2020 watu watatekwa Sana Hilo katazo limekuja maalum
 
Magufuli ndiye wa kuhojiwa kushambuliwa na kutekwa kwa watu yeye anataka watu tusihoji kwa sababu anahusika na utekaji na mauaji.

Nchi makini kwa kauli ya Magufuli aliyoitoa Zanzibar bunge lingeanzisha uchunguzi dhidi yake

Juu ya kauli yake na kumfurusha ofisini mapema kabla ya uchaguzi kwa anahatarisha usalama wa taifa

Je wanachi wakianza kujihami na ao wanaitwa wasiojulika khali itakuwaje?
Africa kusini wana katiba nzuri sana endapo kauli hii ingetolewa huko mda huu Biunge lingekuwa linamjadili na kumpigia kura za kutokuwa na imani nae
 
Yaani jiwe ndo kaibua mjadala wa TISS upya, dunia nzima itajua jiwe ana STASI yake.
Ndiyooo kaanzisha mjadala na FBI CIA Scotland Yard waliopo Nchini hapo watasambaza taarifa hizo Duniani kote ni mara mia angekaa kimya kuliko kuuchoche moto zaidi
 
Back
Top Bottom