Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
The public is DONE with Zitto Kabwe. His attacks on Mwalimu Nyerere legacy is just a feet too far into history.

His preference to be a slippery leader is what will cost him his political fortunes in future. The death threat claims are CHEAPER PROPAGANDA to win him PUBLIC SYMPATHY and for CCM's FISADI GROUP to continue keeping him in CHADEMA to conclude a business in there.

If CCM loves him that much let them take him over.
 
kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya CHADEMA. Napenda kuwajulisha marafiki zangu kuwa hakuna mgogoro wowote. Sihami wala sifukuzwi CHADEMA. Tuna kazi moja tu, nayo ni kuimarisha chama kuelekea 2015 wakati tukipigania mabadiliko ya Katiba. Tusiyumbishwe!

Source: Zitto Kabwe Facebook Status, Twitter
Ok Kama Z ametoa hilo toka moyoni mwake mie na wengine tuko pamoja naye, Mvutano ni sumu ya maendeleo. I take your your word sir!
 
Chant down babylon! 4ever...! Mti mwema ndo(uzaao matunda bora) upigwao mawee...!
Is it Mr. Kabwee..?
Aaah! Mie sijui ngoja ngende na ngende ipo siku ntajua ukweli..!
 
Asituzingue nae, zitto zitto yeye nani bwana, matamko matamko, chadema ni taasisi itakuwepo bila hata wao, mbona wenzake wametulia! Kusemasema ovyo aache kabisa, nashangaa watu ooh zitto. You ******.
 
Ndugu yangu Waberoya, lazima vita hii ya kuwakomboa watu kwenye utumwa wa fikra tuifanye wote, kwa kadri ya uwezo wetu. maana ndio ukombozi halisi.
 
Tamko linatolewa kwenye Twitter au Facebook?? hebu acheni hizi

Kama yupo serious, si aende ''Habari Maelezo'' mbele ya waandishi wa habari na ajibu maswali kadhaa?
 
Aaah! Huyu ndugu Z ni mtata sana. Mara siasa si chaguo lake, mara anataka madaraka ndani ya chama. So anatumikia siasa kwa manufaa ya nani. Nadhani ni rahisi kwake kutumika kumjaza chochote
 
Safi sana wana-JF.

Naona sasa mumeanza kukomaa.

Discuss issues, not pipo.
 
Hakuna haja ya kuendelea kumkolimba mtu anayejirudi huo utakuwa u-CCM, CHADEMA anasemwa mtu ili arudi kwenye mstari kama keshaonesha kukiri kuendelea kumsakama si tabia yetu. CCM ndo huwa wako tayari hata kuua ili asimwage ugali wao
 
Re: Nimeota nikimlilia mheshimiwa zitto kabwe!
Mimi binafsi napinga Zitto Kabwe kwamba atagombea Kinondoni kushindana na yule Zungu,kwa sababu yule Zungu alikuwa anasoma Tambaza,na mimi nilikuwa nasoma Tambaza.


Huyu ni Zungu yupi wa Kinondoni uliyesoma nae mzee? kama ni Mussa Azzan Zungu ni Mbunge wa Ilala sio Kinondoni.Weka rekodi vizuri.
 
Wana JF naomba ufahamu wenu kwa hili.. kipindi Chadema wamesusia hotuba ya rais pale mjengoni(bungeni)..mengi yalisemwa lakini hili la Zitto Kabwe naomba msaada kidogo mimi ni shabiki wa Chadema na ningependa nijue kinachoendelea kwenye chama. Mheshimiwaa Zitto baada ya siku chache nilimsikia TBC akisema kwamba hakubaliani na uamuzi wa wabunge wengine wa Chadema, kwa madai ya kushinikizwa na wananchi wa kigoma akidai kwamba Mh. Kikwete ndie rais aliyefanya mambo mengi kigoma kuliko rais yeyote aliewahi kutawala Tanzania..Swali kwa wanaJF ni kweli madai ya Mh. Zitto ni sahihi? kwa mtazamo wangu Kigoma ndiyo mkoa nambari 1 uliochoka utawala wa ccm na rais wao, kwani ktk majimbo 6 ni 2 tu Ccm wameeza kuchakachua, iweje leo Mh, Zitto aseme alitumwa na wananchi kwamba Kikwete ndiye rais wao bora?? hapo vipi jamani!!
 
Achana na Zitto. Yuko kazini. Ni mtumishi wa Kikwete ndani ya Chadema. Sasa kama hilo ni usaliti naomba ujazie wewe mwenyewe
 
zito zito zioto zito sasahivi ni mwepesi tu kibaraka wa mafisadi.
ASULUBIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom