Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Waberoya! ikiwa mimi nimeshaamua kukutuhumu, kisha nikakushtaki kwenye mahakama ya akili zangu, je watarajia hukumu itakuwa ipi? Mara nyingi (baadhi yetu) tunaandika na kuamini katika yale tunayoyadhani kwamba ni sahihi kuliko ya wengine. pia kwa wakati huohuo tunaamini katika wale tunaowaamini na si wale tunaowachukia hata kama watakuwa wamesema kweli!what is is true?? kaka? YA WANGWE UNAYAJUA WEWE AU UNATAKA TUFUNUE HUMU??
mimi siamini kama kuna huo mpango, ila siamini kama Zitto eti amejiandikia, kwani nikisema ni wewe son of peasant umeandika kwa lengo lako itakuwa vibaya? ulivyowaza ww ndiyo tutakavyowaza na sisi kuwa wewe ndie uliyeandika
ni wengi tu huja na matamko!! lakini kwa sababu huna chuki nao umeliona tamko la usiyemtaka!!!huyu kila akiamka anakuja na tamko............amefanya hivi ili kuwalainisha na kuwahadaa ili kuwashangaza baadaye...............zitto hana na wala hajawahi kuwa na msimamo isipokuwa ana maslahi binafsi.............itachukua karne nyingi mtu km mimi kumwamini tena
HAO NDIO SIWAAMINI KWA ASILIMIA ZOTE!!!! Na ule mwingine ndio ukweli mchungu kabisa ambao unaweza kukuletea machungu pia... (wale wanaohama vyama kwenda vingine ndio wanaitwa MAPANDIKIZI - maana yake hawana uasilia wa asili) mniwie radhi.hivi kuna mtu anaamini habari za magazeti kuwa zitto kabwe angeondoka chadema au kufukuzwa?
chama ambacho ameshiriki kukijenga tangu akiwa shule ya sekondari? na afukuzwe na nani? na hao ambao mpaka 1995 walikuwa ccm damu na waliingia upinzani baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea ubunge huko ccm?
UNA UHAKIKA KWAMBA AMEIVUNJA? Nauliza tena (kwa maana sijajibiwa:- Je DEMOKRASIA NI KUWAKUBALIA WENGI, BILA KUJALI WACHACHE WANASEMAJE?)Anajihakikishiaje kama hawezi kunyang'nywa kadi ya Chadema kama anavunja katiba ya Chadema?
UNA UHAKIKA KWAMBA AMEIVUNJA? Nauliza tena (kwa maana sijajibiwa:- Je DEMOKRASIA NI KUWAKUBALIA WENGI, BILA KUJALI WACHACHE WANASEMAJE?)
Keep it up brother!
Naona mawazo yako nia ya mtu aliyehuru na aliyetayari kutetea UKWELI
Tumeshuhudia wanachadema wengi humu wamtukana sana Zito, wamesema ahame chama, mara fisadi, mara nini na maneno kibao. walikuwa hawajui kuwa kuna adui anawaangalia na kaja kwa style ya chadema inataka kumuua Zitto, ambayo ama kwa hakika imewashtua wengi kuzingatia tuhuma kama hizo zilishakuwepo kwenye kifo cha Wangwe.
Adui kawapata wanatapatapa humu! na kujifanya wanakiua chama ili hali matendo yao wameishakiua siku nyingi.
Tulio nje wanamapinduzi tunaangalia na tuko tayari kusema ukweli daima, pasi kuegemea chama chochote kile
Long Live freedom of mind!!
Sielewi kwa nn nimekosa imani na Zitto kwamba huenda anatumiwa na CCM.
Zito waambie viongozi wako, wanachofanya akina Kibanda, Ngurumo na Kubenea ndiyo kinapeleka haya yote!! magazeti ya chadema ndiyo yanakuandika vibaya ulitaka wengine waanzie wapi kama sio kwenda mbali zaidi
Mh Zitto ametoa tamko. Kwa busara bila kulazimishwa, mjadala unaishia hapo kundelea kujadili ni kupoteza muda na nguvu za kufanya kitu kingine chenye manufaa ama kwako au kwa jamii nzima ya watanzania.
Siku njema.
Kwa kweli I was also so disappointed,, by the way dada Mbona jina lako kubwa hivyo!!! Hebu ligeuze kwa kiswahili ...LOL..iTS GOOD U HAVE COME OUT CLEAN,thanks broda we wre worrying!!
busara ya wapi wewe? Acha kuwa mwehu, nyie endeleeni kumwamini huyu Punga ndo mtaelewa kwanini wenye akili wanamwita Zitto kirusi ndani ya chadema
Kama mtu hayuko huru kueleza mawazo yake ndani ya chadema basi kuna udikteta mkubwa chamani. otherwise, chuki zimepandikizwa dhidi nya zitto kwa vile ana nia ya kugombea uenyekiti na urais 2015.
MBOWE PUNGUZA KUPANDIKIZA MBEGU ZA CHUKI