Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Ujumbe mfupi wa maneno (SMS) unaohusishwa na mpango wa kijasusi wa kumuua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Zuberi Kabwe umenaswa na Uwazi.

Uchunguzi unaonesha kuwa SMS hiyo ilizunguka kwa watu kadhaa ambao wanadaiwa wapo kwenye mtandao ulioandaliwa kutekeleza mpango wa kukatisha maisha ya Zitto.
uwazi11[/URL]



Lets think This Careful THIS SMELLS OF SMEAR CAMPAIGN
Hii haingii akilini watu wanapanga kuua mtu kwa siri alafu wanatumia njia ya SMS kuambina.... Give me a Break
 
Lets think This Careful THIS SMELLS OF SMEAR CAMPAIGN
Hii haingii akilini watu wanapanga kuua mtu kwa siri alafu wanatumia njia ya SMS kuambina.... Give me a Break

wewe ungetumia njia gani kuondoa kirusi 'zitto' CDM na kwenye uso wa dunia?
 
huyu kila akiamka anakuja na tamko............amefanya hivi ili kuwalainisha na kuwahadaa ili kuwashangaza baadaye...............zitto hana na wala hajawahi kuwa na msimamo isipokuwa ana maslahi binafsi.............itachukua karne nyingi mtu km mimi kumwamini tena
 
Zitto. Zitto. Zitto. Kuna haja ya kufungua sasa forum maalum ya Zitto ilikuweka sredi zake huko.
 
Yeah na hapa jamvini juzi alikuja kujibu thread moja akasema hayo hayo. Media inachafua sana hali ya hewa yaani magazeti hata ya serikali yamekuwa kama yale ya udaku!
 
Zito angejua anavyopotea asingejaribu kuwa vuguvu sio moto wala baridi. Hakika akiendelea hivi siasa itamtapika. Ulimbukeni na sifa za kijinga zimeonekana kumlewesha na hivyo kumomonyoa imani ya watanzania waliokuwa wamemwamini na msingi mzuri alioanza nao. Zindukaaa Zito Zuberi Kabwe!!!!
 
safi sana zitto kwa kujisafisha sisi vijana wenye moyo safi walio kwenye harakati ya kuikomboa nchi yetu zidi ya mazimwi/mafisadi tumepata ufunuo , mie binafsi nimefarijika lakini kwa nini hawa waandishi waliomaliza primary hasa magazeti ya Udaku na Wakora kama jambo leo, Uwazi ya Shingongile, hawa watu badala kuandika mabo ya kukomboa nchi wapo kwa ajiri ya chokochoko sijui kukitokea kumekuwepo umwagaji wa damu uliosababisha na wao itakuwaje? kumbuka Erc alisababisha gogoro la Mhe. Amina Chif.. mpaka mauti yake kwa kumchonganisha na Zitto bado wako nyuma yako kuwa makini, Unakumbuka ya Mange wa pale Africa sana endelea na Erc utaona mengi
mgt software, unajua kuna kitu kimoja hufanyika "watu wenye imani fulani, huamini katika umwagikaji damu ndipo huwa na mafanikio" hivyo basi imani ile si dini fulani, bali dini hutumika kama kivuli. Wengi waweza kudhani mtu yule ni wa dini fulani lakini imani yake wao huwa hawaijui kuwa iko tofauti na wao. Maelezo ambayo awali Mh. ZK aliyatoa hapa yalijitosheleza, lakini kwa sababu hakuwa na wasemaji wa nje ndio maana imebidi aseme tena!!
 
Nami naungana kumpongeza son of the peasant; aliyoyasema ndiyo ukweli wenyewe. Haya yaliyaandikwa ni kazi ya shushu. Zitto yuko kazini hivyo.
 
Uongo mtupu, nani mwenye akili zake afanywe mipango haramu kwa kutuma message kwenye simu tena kwa watu kibao. Hapa kuna watu wanataka kuchafua hali ya hewa. Naomba polisi wafuaatilie mlolongo wa hiyo message watagundua tu kuwa ni ya kizushi.
 
Hivi kumbe ile ofisi ndogo ya CCM iliyokuwa pale Upanga haikufungwa! I mean ile ofisi ya Miraji Kikwete na wenzie waliokuwa wakituma sms za kumkashifu Slaa wakati wa kampeni! Can't you people see the connection, it is the same people in the same tusk for the same purpose. i.e DESTROY CHADEMA AND RULE TZ 4 EVER!
 
if we contributed to CCM through vodacom, and EL, RA are key vodacom owners and rashid shamte could be a tanzania assange... then i wouldnt be surprised kama source ya yote hayo ni walewale

Its so easy to plant anything these days
 
Teh teh, yaani hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuona kuwa huu ni uzushi na upuuzi!
 
Hii ni story ya udaku na imejaa Umbea mtupu! Don't take it!
Nigekua wewe nisingesema sema hivi

why are we so blind kwenye kila kitu kinachohusu siasa? yaani we either this or that... tusubiri uchunguzi ufanyike; huwezi jua aisee
 
Hivi hawa TCRA wako wapi?
Kutrac series ya hiyo sms ni kazi ndogo sana isiyozidi hata siku moja.
Huu upuuzi wa hizi sms tuliushuhudia wakati wa kampeni, lkn sabb zilikuwa zinamchafua Slaa waziacha hata pale waandishi wa gurdian waliipoweka wazi kila kitu polisi wala TCRA hawakuchukua tahadhari. Kuna siku mtu atakuja atangaze kifo cha rais hapo nafikiri ndo watafatilia. Hata ze utamu wakati inawachafua wananchi wa kawaida polisi walikaa kimya hadi pale mkuu wa nchi alipodhalilishwa ndo polisi ikachukua hatua. Shame on them TCRA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom