Why all these, kama ni mchawi ni wewe mwenyewe kulikuwa na ulazima gani kuwataja viongozi wakuu wa Chadema, hivi ungesema hii makala ni ya MwanaHalisi isingetosha. Hata kama unasema watu wanakuzushia lakini mzushi mkubwa ni wewe, umekuwa ukianzisha controversial na chama baadaye unakuja kusema wanakuzushia, mfano uliposema siri za kura kwenye public nani alikuzushia kama si wewe kuanzisha matatizo. Zitto kama hutajirekebisha mdogo wangu hutafika mbali nakushauri kama una muda jaribu kuangalia uwezekano wa kuchukua short course ya Public Relations.Hii makala imetoka katika gazeti la Mwanahalisi la wiki iliyopita. Imeandikwa na Ansbert Ngurumo, Mhariri wa Tanzania Daima na Press Secretary wa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. MwanaHalisi linamilikiwa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa CHADEMA ndugu Antony Komu. MwanaHalisi limekuwa mstari wa mbele kunipaka matope na kutoa propaganda chafu dhidi yangu na sijui ni kwa faida ya nani.
Mwaka 2010 - 2011 nimeamua kujikita kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics. Rural growth kwa ajili ya kusukuma nguvu katika cutting poverty levels vijijini. Bado ukuaji wa uchumi wa Taifa letu haufiki chini na hivyo hauendani kabisa na kupungua kwa umasikini. Ajenda hii imesahaulika sana sana. Baada ya kupata sheria mpya ya madini (bado ina mapungufu kidogo), napeleka nguvu kwenye kuhakikisha kuwa Gesi Asilia na Mafuta yanafaidisha nchi yetu. Lengo ni kusukuma kuwe na Sheria mpya ya Gesi na Mafuta ili kuepuka yaliyotukuta kwenye sekta ya Madini. Nina muswada wa sheria nilioandika ili kubadili sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Serikali kukataa kuuchapisha. Ninadhamiria kuhakikisha kuwa muswada ninaurudisha Bungeni. Lengo ni kutenganisha Biashara na siasa kwa kuanzisha blind trusts. Pia lengo ni kufanya sheria ya maadili iwe effective na wananchi wawe na uhuru zaidi wa kukagua mali za viongozi wao.
Mabo mengine ni masuala ya chama mfano suala la Katiba mpya nk.
Hapo naona kama unatupa taarifa ambazo hatukuhitaji kuzijua, isitoshe, kwa kusema hivyo unataka kutupa ujumbe gani? Na kwanini?
Kweli kama ni kijambo kimepata mjambaji..........
Hahahahahah Umesema kweli kabisa Inawezekna kwa mjadala wa leo wengine wako wanatafuta Heading ya gazeti
Sijawahi kuomba Kikwete aongezewe muda. Tanzania Daima waliandika habari hiyo kwa lengo maalumu na nililalamika rasmi kwa Mhariri mtendaji. Unaona sasa unanihukumu kwa habari iliyotungwa? Ndio maana nimetaja Tanzania Daima na Mhariri wake maana hii ni scheme ya muda mrefu na nimelalamika sana kimya kimya. Hata suala la mimi kutangaza nitagombea 2015 liliandikwa na Tanzania Daima peke yake tena kati kati ya kampeni. Hakuan aliyejiuliza ni kwa nini gazeti linalomilikiwa na Kiongozi wa CHADEMA linaweza kuandika kitu kama kile katikati ya kampeni.
at least umeona kosa! ndo ukomavu wa kisias MhNikusahihishe kidogo. Mnyika na Halima hawakuwepo kabisa Dodoma siku ya tukio au walikuwepo lakini hawakuja kwenye kikao na kisha Bungei. Mimi nilikuwepo kwenye kikao na kusema wazi mawazo yangu kuwa sioni kama ku walk out ni mkakati mzuri. Kwa kuwa sikuunga mkono maamuzi hayo niliamua kutokwenda kabisa Bungeni. Nimeshalisemea hilo na kulitolea maelezo hapa JF. Sikutaka kuwa mnafiki na kujificha katika pazia la wengine. Sasa kama ni uamuzi wa makos umeshatokea, muhimu ni kusahihisha makosa na kwenda mbele. Nawaomba radhi wale wote niliowaudhi kwa msimamo niliochukua na hivyo mkaumia. Mimi niliona ndio msimamo sahihi (kutokwenda Bungeni kabisa na kama kwenda kuto walk out). Wengi mmeona haukuwa msimamo sahihi. Nimesikia. Tupige mstari na tuendelee na kazi nyingine.
Punguza kutaja majina hasa ya kiongozi wako(hasa kwa mwelekeo wa kushoto) hapa unaonyesha kikao kilikuwa si cha chama ni cha Mbowe ulitakiwa kusema kulikuwa na kikao cha chama na wewe ulishiriki kama mmoja wa viongozi wakuu wa chama. Usiwe una-personalize vitendo vya chama.Sijafanya kikao chochote na Lowasa. Kulikuwa na kikao cha Lowasa na Mbowe ambacho mimi nilishiriki kama Naibu wa Mbowe Bungeni. Hata hivyo sijafanya kikao kingine chochote.
Mada ifungwe kwa kuwa ina jadili mgogoro wa chadema?Ingekuwa inahusu wana ccm hapa ungekuwa unapiga zumari!acheni hizo wanachadema acha mjadala uendelee!
Na kutotabirika ni sifa njema eee!
Chadema nzima haitabiri lakini tusimlaumu sana kwa hilo. Leo Slaa anasema hatumtambui rais, siku ya pili Mbowe anauliza dhana ya kutomtambua rais imetoka wapi
Leo mtu analilia ubunge kwa nguvu zote mpaka kuwaaibisha viongozi wengine wa chama, baada ya siku 7 za ubunge anasema kaboreka.
Mwengine anajisifu kwenye post ya juu kuwa kazi ya uteuzi wa viti vya wanawake alitunukiwa yeye, baada ya post 20 anasema demokrasia ilitumika.
noted with thanksHapana Mkuu although i dont agree with people Bashing lakini banning thread itakuwa ni kuingilia freedom of speech, Hapo ndio credibility ya JF itakwenda out of the window.... Believe it or not most things ambazo zinaongelewa hapa na ndizo watu wanaongea mitaani... JF is just a reflection of what people think... am sure readers are bright enough kuchuja pumba na mchele.... lets not insult the intelligence of our readers
Zitto
Jiangalie sana unapofanya maamuzi ya kuongea na vyombo vya habari kwasababu watanzania Wanamtazamo hasi juu yako.........huu ndio ukweli you need to be careful.Otherwise your political capital will be eroded soon.................
Sijawahi kusema mahala popote kuwa ndani ya CHADEMA kuna udini. Ninaomba clip ya TBC iwekwe hapa jamvini na mtu anionyeshe wapi nimesem kuwa ndai ya CHADEMA kuna udinni. Tafadhali usinywe sumu unazopewa.
..niliwahi kueleza kwamba Zitto is not radical enough, or too soft, when it comes to dealing with CCM.
..mawazo na mitizamo yake iko tofauti na what Chadema's base support wants.
..binafsi nilianza kushtukia misimamo na mitizamo yake wakati wa Tume ya Afrika Mashariki ya Prof Wangwe. baada ya hapo akaja na misimamo ya ajabu ktk suala la dowans, then suala la Dr.Rashidi, tume ya Jaji Bomani, suala la gavana wa bot.
..it is very frustrating, kwasababu huyu ni kiongozi wa Chadema, and he wants to be the Chairman of the party, lakini mawazo,mitizamo,na hoja zake, ni as if you r dealing na kiongozi wa CCM.
..in my opinion, kinachoendelea baina ya Zitto na mahasimu wake ni MISTRUST. sasa ili waweze kufanya kazi kwa pamoja na kusonga mbele ktk kujenga chama inabidi upande mmoja ubadilike. ama Zitto aachane ni hii misimamo na hoja zake ambazo ni pro-CCM, au Zitto aamue kutetea na kusimamia kwa nguvu zote msimamo na mawazo ya wakereketwa wa Chadema.
..katika kufuatilia kwangu siasa sijaona chama chochote kile kikaongozwa na mtu ambaye haungi mkono hoja za party base/wakereketwa wa chama.