MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Ninaamini UONGOZI wa juu wa CHADEMA unamfahamu ZITTO. Wasimfukuze. Watampa umaarufu kama ule alioupata BUngeni kwenye suala la Buzwagi.
I agree with you: Kwa sasa kuna agenda muhimu za kushughulikia kwa pamoja, wasihamishe focus kutoka kwenye kudai Tume huru, Katiba mpya kwenda kwa maoni binafsi ya Kiongozi mmoja mmoja
Lakini huyu ni kiongozi wa ngazi ya juu Chadema,anajua mengi na anashiriki mengi. Inaeza kufikia mahali sasa akawa anaeka tundu kwa kusudi kwene meli ya Chadema kwa udhahiri na kwa uwazi, Je aachwe tu mpaka damage itapokuwa irreversible?Nafahamu. Ataondoka mwenyewe atakapoona anatofautiana na wenzake karibu kwa kila jambo. Kaka yake, Dr Kabourou, hayuko CHADEMA. Hakufukuzwa. CHADEMA ni imara zaidi sasa kuliko wakati wowote. Misimamo ya watu wa KIGOMA, KAGERA, MBEYA,......inafahamika.
Kutokana na kichefuchefu (haswa baada ya kusema anamtambua JK ni amiri jeshi mkuu na alama ya bunge na hivyo si vizuri kutoka bungeni na kwa kiburi kabisa kusema anasubiria hatma yake chamani kutokana na uamuzi wake huo) ambacho mh. Zitto Kabwe ameendelea kuleta ndani ya CHADEMA wana JF wenzangu nilikuwa ninatoa mapendekezo kuwa huyu jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma, na ni kidudu hatari kuliko KIRUSI CHA UKIMWI kwa wana upinzani, wapigania haki na kwa wananchi wa Tanzania waliodhulumiwa haki zao kwa muda mrefu na chama tawala cha CCM. Kwangu mimi namwona ni msaliti mkubwa wa Watanzania na upinzani. Hivyo ni nilikuwa napendekeza aondolewe CHADEMA haraka kwani amepandikizwa na CCM. Nakishauri CHADEMA kimvue uanachama ili kunusuru upinzani wa ukweli ambao umebaki peke yake CHADEMA. Je wana JF wenzangu mnaonaje? Je aendelee kubaki CHADEMA au aondolewe. Ushauri utakaopatikana hapa ukiambatana na sababu za msingi, naomba CHADEMA waufanyie kazi.

Je CHADEMA mnapenda wanachama 'ndio mzee'?
Hamtaki challenges, hamtaki kuwa uhuru wa mawazo katika chama chenu, hamruhusu makosa, je ninyi ni malaika?
Kuna udhaifu mkubwa wa upeo kwa baadhi ya wanachadema, wa kufuata mkumbo kwa kila mnaloambiwa.
Unadhani kaanza leo kuwabadilikia wenzake? Wanamfahamu sana. Dr Kabourou alikuwa na cheo kikubwa zaidi ndani ya CHADEMA. Walimvumilia hadi alipoondoka na kurudi CCM.Lakini huyu ni kiongozi wa ngazi ya juu Chadema,anajua mengi na anashiriki mengi. Inaeza kufikia mahali sasa akawa anaeka tundu kwa kusudi kwene meli ya Chadema kwa udhahiri na kwa uwazi, Je aachwe tu mpaka damage itapokuwa irreversible?
to me Zitto is a coward, a traitor and an impostor.
So he must go out of cdm.
Unadhani kaanza leo kuwabadilikia wenzake? Wanamfahamu sana. Dr Kabourou alikuwa na cheo kikubwa zaidi ndani ya CHADEMA. Walimvumilia hadi alipoondoka na kurudi CCM.
Chadema hamna guts wala balls za kumlet Zitto go. He got principles, stands on what he believes is right not drown by mob psychology.
Zitto knows what democracy is all about.
Kutokana na kichefuchefu (haswa baada ya kusema anamtambua JK ni amiri jeshi mkuu na alama ya bunge na hivyo si vizuri kutoka bungeni na kwa kiburi kabisa kusema anasubiria hatma yake chamani kutokana na uamuzi wake huo) ambacho mh. Zitto Kabwe ameendelea kuleta ndani ya CHADEMA wana JF wenzangu nilikuwa ninatoa mapendekezo kuwa huyu jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma, na ni kidudu hatari kuliko KIRUSI CHA UKIMWI kwa wana upinzani, wapigania haki na kwa wananchi wa Tanzania waliodhulumiwa haki zao kwa muda mrefu na chama tawala cha CCM. Kwangu mimi namwona ni msaliti mkubwa wa Watanzania na upinzani. Hivyo ni nilikuwa napendekeza aondolewe CHADEMA haraka kwani amepandikizwa na CCM. Nakishauri CHADEMA kimvue uanachama ili kunusuru upinzani wa ukweli ambao umebaki peke yake CHADEMA. Je wana JF wenzangu mnaonaje? Je aendelee kubaki CHADEMA au aondolewe. Ushauri utakaopatikana hapa ukiambatana na sababu za msingi, naomba CHADEMA waufanyie kazi.
kutokana na kichefuchefu (haswa baada ya kusema anamtambua jk ni amiri jeshi mkuu na alama ya bunge na hivyo si vizuri kutoka bungeni na kwa kiburi kabisa kusema anasubiria hatma yake chamani kutokana na uamuzi wake huo) ambacho mh. Zitto kabwe ameendelea kuleta ndani ya chadema wana jf wenzangu nilikuwa ninatoa mapendekezo kuwa huyu jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma, na ni kidudu hatari kuliko kirusi cha ukimwi kwa wana upinzani, wapigania haki na kwa wananchi wa tanzania waliodhulumiwa haki zao kwa muda mrefu na chama tawala cha ccm. Kwangu mimi namwona ni msaliti mkubwa wa watanzania na upinzani. Hivyo ni nilikuwa napendekeza aondolewe chadema haraka kwani amepandikizwa na ccm. Nakishauri chadema kimvue uanachama ili kunusuru upinzani wa ukweli ambao umebaki peke yake chadema. Je wana jf wenzangu mnaonaje? Je aendelee kubaki chadema au aondolewe. Ushauri utakaopatikana hapa ukiambatana na sababu za msingi, naomba chadema waufanyie kazi.