ni kweli.zitto aondolewe chadema.ukweli chadema isipofanya hivyo sasa itakuja kufanya hivyo ikiwa imechelewa.mbona tarime siyo ngome tena ya chadema? Kigoma ndo hiyo inaenda nccr.chadema ni chama cha kitaifa sasa.aache deko.wala hana chochote zaidi ya akina mdee na sasa ndo kabisa,nyerere,mnyika,lissu,zitto nini bana.nasisitiza aondoleweSipendezwi na jinsi Zitto anavyoropoka hovyo, lakini ili asikichafue Chadema bora aachwe atajikuta mwenyewe yupo nje. Tukichukua mifano michache tangu wakati ule wa kugombea Uenyekiti wa Chama vyombo vya habari na hata CCM walionekana kumbeba Zitto kama vile wanaitakia mema Chadema. Wakati anagombea ubunge mwaka huu akasema 2015 anataka urais. juzi juzi tena akawa anataka kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Sasa amekuja na suala la kilichaamuliwa na kikao cha wabunge wa Chadema na kukiongea nje ya vikao wakati akijua yeye siyo msemaji wao. Kama walipiga kura hata kama alikuwa na mawazo tofauti anaendeleaje kupingana na mawazo ya Chama?
Akihojiwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1, Bw. Kabwe alisema yeye asingeweza kuingia bungeni na kutoka wakati Rais Kikwete ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, na ambaye amefanya mambo mengine mkoani Kigoma kuliko marais wengine anahutubia. Source: Majira
Based on that inaonyesha kabisa Zitto alikua anamuunga mkono kikwete kama katika nafasi ya Urais na Siyo Dr maweapon hiyo ndiyo sababu ya kutoingia bungeni kabisa na kupinga hoja ya chama ya kutoka bungeni wakati Rais anahutubia. Zitto yupo CHADEMA kimaslahi binafsi sana na siyo ya kichama. Kama kweli haungi mkono ni bora angejiudhuru hata hiyo nafasi ya unaibu katibu mkuu awe mwanachama wa kawaida kabisa, Aige mfano wa Shitambala.
huyo bwana mdogo kaonja fedha za mafisadi na sasa ameanza kuwatumikia. Nikirejea chaguzi za ndani ya chama ninamwona kama ni kijana mwenye tamaa sana ya madaraka. Mimi sisemi chadema wamfukuze lakini ninawashauri wawe makini nae vinginevyo atakivuruga chama. Sisi wananchi wengi wengi wanyonge hapa nchini tumefurahi kupata chama tunachoona kuwa ni kimbilio letu yaani chadema. Bila chadema tungejuaje kama umaskini wetu umesababishwa na mafisadi wanaokumbatiwa na ccm!! Endapo chadema ikiachwa ivurugwe na wachumia tumbo na wenye tamaa ya madaraka kama zitto ni wazi kuwa chadema itaporomoka na hiyo itakuwa ndiyo furaha ya ccm na mafisadi wake. Wananchi wanyonge walioanza kuona mwanga wa matumaini wataangamia.
Sumu. It is not the right time.... tolerance is important in this delicate situation. Play safe! If the changes are for the mass/public nobody can stop them. For he who instigates ill-conflicts will lose credibility before the mass/public. Until that time when public and majority of the members lose trust on such a leader he will disappear in the political arena automatically! The boat has different types of people you cant easily know them unless you give them freedom to speak and show their true colors.
Get lessons from the history.
God Bless Tanzania
Mi nadhani udhuru nao una threshold yake mkulu.Ninaamini UONGOZI wa juu wa CHADEMA unamfahamu ZITTO. Wasimfukuze. Watampa umaarufu kama ule alioupata BUngeni kwenye suala la Buzwagi.
Amri jesh mkuu ambae alishinda kwa wizi wa kura. Zitto, hoja ya kitoto. Sema nyingine.
Zitto alitaka awe KUB na misimamo yake hii kwa JK. Hebu fikiria: Spika Anna Makinda; NS Job Ndugai; tungekuwa na Bunge gani? Zitto jifunze kidogo ile dhana ya UWAJIBIKAJI wa PAMOJA. Usidhani kwamba hata huko kwenye CC ya CCM wote walikubaliana kumtosa Sitta. Haujamsikia hata mmoja akijitokeza hadharani kueleza msimamo wake tofauti na ule alooueleza Makamba.
Mi nadhani udhuru nao una threshold yake mkulu.