Huyu jamaa ingawa ni kiongozi wetu lakini akiamua kutoka leo nitafurahi sana, ninachoomba Chadema iende naye taratibu wasimpe cheo kikubwa wala wasimfukuze ajiondoe mwenyewe, walikuwapo kina Kabouru enzi chama hakina mvuto atakuwa Zitto wakati chama kina vichwa vya uhakika, kwa busara za uongozi huwezi mlinganisha Zitto na Lissu.
Kwa hiyo ungependelea na sisi Tanzania tuwe na utawala wa mtu mmoja dikteta kama Rwanda au? Katiba itasaidia kutuondolea watawala wabovu kama hawa tulio nao sasa hivi ndani ya CCM. Hii ni hatua ya kwanza kuleta maendeleo endelevu. Sasa hivi CCM wanasema (Makamba) kwamba lazima wao washibe kwanza ndio waanze kufikiria matatizo ya wananchi. Tanzania hatuna Kagame, katiba itatusaidia kuweka mfumo wa kuwapata watawala bora na kuwaondoa mamlakani wanapoboronga. Bila hiyo tutaendelea kusikiliza ngonjera tu za akina Makamba.
Usijaribu kuidhinisha umaskini wa Tanzania waNashukur kwamba umeprove huna uwezo wa kunihakikishia ni kwa nini Katiba ndio iwe national Priority yetu badala ya maendeleo? Na umeshindwa kunihakikishia ni jinsi gani katiba yetu inachangia kua nyuma kimaendeleo?? Umenidhihirishia ninaongea na mtu mwenye vidato vingapi. Ni wakati wa kuacha kuota, ni wakati wa kudiscuss vitu in reality. Si TZ tu, Africa kwa ujumla. Katiba ya tanzania haipo Msumbiji, Malawi, Zambia, Namibia, Congo, n.k. Nchi zote hizo ni maskini, unataka kuniambia ni Africa nzima ni masikini kwa sababu ya CCM na katiba ya Tanzania?? Think further my friend.
Lazima tubadilike, badala ya kua tunadiscuss ndoto, tudiscuss vitu vya kutuondoa kwenye umaskini. Tushikamane kwa pamoja kwa ajili ya kizazi kijacho. Nikuhakikishie kwamba mie sina tatizo la uelewa hata kidogo, ndio maana nimekataa kunyweshwa sumu na waroho wa madaraka na wafanya biashara ya Ruzuku. Hiyo analysis yako ndio hiyo hiyo nimekua nikiiona kwenye gazeti la tanzania daima. Think more than that, Katiba, katiba, utafikiri hiyo ndio inasimamia kilimo, viwanda, na uzalishaji kwa ujumla. Katika ni guide tu, kinachotakiwa ni strategies na mapendekezo mazuri ya kujenga. Sio kugoma kama watoto
Usimpoteze mwenzako Zitto hawezi kumaliza hata mwezi mmoja CCM atafukuzwa, huko akiwa anaropoka ropoka hawamcheleweshi labda awe bubu kama kina Lwamwai kitu ambacho Zitto hakiwezi.Hiyo ndiyo sera ya Chadema?
Hon Zito ameng'amua kuwa uongozi wa Chadema umewehuka na mafanikio waliyoyapata, sasa ni kukurupuka kwa kwenda mbele.
Hon, If I may give an advice;
....achana na wasanii wa kisiasa. Mungu amekujalia talanta ya uongozi na tunakujua kuwa una uchungu wa dhati kwa nchi yako. You are our potential next president.
So go for real serious politics!
CCM is one of the living examples in that domain.
Usijaribu kuidhinisha umaskini wa Tanzania wa
kujitakia ukasema eti ndio sayansi unayoijua wewe.Tanzania ambayo haijawahi kuwa kwenye vita imetawaliwa na madiikteta wa kati CCm watu wa pole na kila kitu kilichoko chini ya mbigu chenye kuleta tija kwa maisha ya mtanzania na bado tukawa zero kwa miaka yote hii halafu wewe ukataka ulinganishe na kongo wako vitani miaka zaidi ya 15 Ruanda wamechinjana juzijuzi hapa Malawa Kamuzi aliwakaba koo na bado wako zaidi yetu wee vipi Tanzania Daima ni gazeti lililosajiliwa na hata sina shida ya kulisoma kama msaafu na wala sio mhariri ukweli ni kuwa mawazo yako mgando ya kulinganisha mbofu kwa mbofu ndio yanayonifanya niamini kuwa sayansi ina formular ulizozitunga mwenyewe kwa kuishi kwenye ndoto ya uzumbukuku kwa kukumbatia ujinga wa kutrudisha nyuma kifikra
Wewe ni hopeless fulani unasema katiba ni karatasi tu haisaidii kweli wewe zimo? kwanza kachunguze expiry date ya akili zako naiona imeshapita, unailinganisha katiba na miradi ya barabara hujui hiyo miradi haiendi bila katiba rudi shuleni.Wewe wala usijaribu kudandia treni kwa mbele,, Kasoro kasoro, nataka unitajia priority zetu 20 kwa sasa hapa nyumbani, ukianza na Afya, Elimu, barabara, maji, n.k ukishaorodheshwa vyote, naomba uniambie Katiba umeiweka namba ngapi. Thats my point, katiba ni maelekezo tu yaliyo kwenye vitabu, katiba haiendi viwandani au kwenye mashamba kuongeza kilimo. Fikiria zaidi ya hapo mdogo wangu
Wewe ni hopeless fulani unasema katiba ni karatasi tu haisaidii kweli wewe zimo? kwanza kachunguze expiry date ya akili zako naiona imeshapita, unailinganisha katiba na miradi ya barabara hujui hiyo miradi haiendi bila katiba rudi shuleni.
Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.
Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.
Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.
Source: TBC 1 News Bulletin
MKJJ huwezi kujifunza kufyatua risasi vitani unaweza kumpiga mwenzako la mgongoni kitu ambacho Zitto anakifanya.nadhani ni sehemu ya kujifunza siasa za demokrasia na nafasi ya upinzani. Tusiwe wakali sana.
Wewe unayesema katiba ni karatasi haitusaidii hata nikikuelimisha ni kazi bure endelea na ujuha wako.Waza maendeleo na toa strategy za kweli zinazoweza kutuondoa kwenye umaskini, acha kushabikia mchezaji wakati mpira wenyewe unasikilizia radio mbao (Lunyamila na mpiraaaaa gooooooooool, laaaaa). Pili, nashukuru kwa kunitukana ila sasa naomba ujibu swali langu kwa kutoa hoja kwamba ni kivipi Katiba inatusababishia uchumi duni?? Usitoe porojo maana huelewi hata ndani ya katiba kuna nini??
Ipo siku utakuja kusoma maelezo yako na utajiona ulikua bado Bikra kifikra. Sitakubaliana na mtu yeyote anayedai kwamba Tanzania itapiga hatua zaidi ya hapo ilipo endapo CHADEMA wataingia madarakani. Nitakubaliana na mtu yeyote atakayesema Tanzania itasogea endapo tutafata strategy 1,2,3.. Hayo mawazo yako ya ki-uruho wa madaraka siwezi kuyashiba hata siku moja. Wewe mwenyewe ni shabiki wa CHADEMA lakini nina uhakika hujui chama chako kinaamini katika dini gani (Capitalism, socialim or Cetralists)? maana mnyika ni kiongozi wa muda sasa ndani ya chadema lakini hajui strategies za chama zake zina base wapi. Na ndio maana nakuahakikishia vyama vya CUF, CHADEMA, TLP, NCCR ni biashara za wachache wanaoishi kwa ruzuku. Lazima tuanzie squre one kwamba tatizo la kwa nini tuko maskini linatokana na mfumo wa soko la dunia. Na kama sisi tutaendelea kurumbania katiba badala ya kuface the reality, basi kazi ipo. Na inasikitisha kuona mtizamo wa vijana kama wewe uko hivyo.
Narudia tena, umeshindwa kuprove ni jinsi gani Katiba inatusababishia matatizo ki-uchumi, badala yake na wewe unaongea maneno ya porojo yaliyompa Dr Slaa kura kadhaa
Makamba aliyasema hayo Tarime wakati ule wa uchaguzi mdogo. Kuna video yake vile vile unaweza kuiangalia nadhani phillipmogendi.blogspot.com. Siandiki shudu mimi. Lini kuwasema viongozi wa CCM umekuwa ukabila?Najua unajua hapo juu umeandika shudu,, Ni lini Makamba aliwahi kusema hivyo?? Acheni uchochezi, ongeleeni maswala na sio watu kila saa. Acheni ukabila,
Nashukur kwamba umeprove huna uwezo wa kunihakikishia ni kwa nini Katiba ndio iwe national Priority yetu badala ya maendeleo? Na umeshindwa kunihakikishia ni jinsi gani katiba yetu inachangia kua nyuma kimaendeleo?? Umenidhihirishia ninaongea na mtu mwenye vidato vingapi. Ni wakati wa kuacha kuota, ni wakati wa kudiscuss vitu in reality. Si TZ tu, Africa kwa ujumla. Katiba ya tanzania haipo Msumbiji, Malawi, Zambia, Namibia, Congo, n.k. Nchi zote hizo ni maskini, unataka kuniambia na Africa nzima ni masikini kwa sababu ya CCM na katiba ya Tanzania?? Think further my friend.
Lazima tubadilike, badala ya kua tunadiscuss ndoto, tudiscuss vitu vya kutuondoa kwenye umaskini. Tushikamane kwa pamoja kwa ajili ya kizazi kijacho. Nikuhakikishie kwamba mie sina tatizo la uelewa hata kidogo, ndio maana nimekataa kunyweshwa sumu na waroho wa madaraka na wafanya biashara ya Ruzuku. Hiyo analysis yako ndio hiyo hiyo nimekua nikiiona kwenye gazeti la tanzania daima. Think more than that, Katiba, katiba, utafikiri hiyo ndio inasimamia kilimo, viwanda, na uzalishaji kwa ujumla. Katiba ni guide tu, kinachotakiwa ni strategies na mapendekezo mazuri ya kujenga. Sio kugoma kama watoto
Jamani hili ni moja tu mnashtuka saa hizi, ZITTO NI KIBARAKA WA CCM. Mwenye masikio na asikie. Ni mtu hatari sana kwa CHADEMA.