Chadema is not an individual or some few individuals. It is true ina waanzilishi wake, na pia ina viongozi na watu waliopewa dhamana ya kukiongoza chama, but chadema hakiwezi kamwe kuwa Zito, or anyone else japo of course kuna watu ambao zaidi ya kupewa dhamana ya uongozi, they have also earned respect and great reputation within the party. But Chadema is an ideology/itikadi, na hiyo kamwe itabaki na kuendelezwa by people who share the same ideology; hata kama wengine wataondoka, au kutofautiana au kufa nk. Even after generations, an ideology will continue japo its founders will be gone....so we need to stop this need about Zitto and focus on the ideology, and what that means to Tanzania at large. Chadema is here, and it shall continue to exist