Wewe usitufanye sisi wote watanzania mazezeta maendeleo gani yatakuja wakati tuna katiba kandamizi unadhani Jaji Nyalali alikuwa mwehu kusema lazima Katiba ibadilishwe ili nchi iweza kusonga mbele
kwa siasa za Zitto sidhani kama chama kinaweza kufanikiwa katika adhima yake ya kufikia malengo ya katiba mpya na tume mpya si vizuri kuwa-let down wenzio
Usiweke maneno kwenye mdomo wa Zitto alisema walijadili walipopishana wakaamua kupiga kura sasa yeye anajua wengi wape ndio ukweli wenyewe humdanganyi mtu hakuna kitu kinaitwa wmenyekiti kumwambia nani swala ni kuwa mwamuzi alikuwa ni kura usipindishe ukweli kwa sababu umetumwa
Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.
Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.
Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.
Source: TBC 1 News Bulletin
Alichofanya zito ni kawaida,co rahisi watu wote kuwa na maono sawa ingawa ccm wanaweza kuitumia kama mtaji wa kuisambaratisha cdm kama wasipokuwa makini
Miye humwangalia kwa jicho la tatu.Niliisha wahi andika huko nyuma Zito hana maturity kisiasa! Hivi angekaa kimya ingekuwaje? ama anajitafutia cheap popularity? Nadhani kuna msemaji wa CHADEMA. Binafsi huwa namwangalia kwa jicho la pili mh Zito.
Mch Masa K
Nataka uniambie kisayansi katiba yetu inahusiana vipi na uchumi wetu?? hayo ni mawazo duni ya kufanya Katiba ndio national priority. Mbona rwanda wanakimbia ki-uchumi, umesikia ni kwa sababu ya kubadili katiba?? Mimi binafsi hua sikubaliani ni mawazo ya wanasheria (hasa wa tanzania) kwa sababu hayaendi kisayansi wala kimahesababu (nadhani ni kwa sababu wengi husoma HKL, HGL na that means hesabu hakuna.
Kuwa JF miaka mingi si kuwa una busara, mtu gani unasema hatuna haraka na katiba wakati wanasheria na majaji wenyewe wameshaona katiba ina kasoro.Nimekuwepo hapa kijiweni kwa mwaka wa 4 sasa, na mara nyingi watu wenye jazba na mitazamo mifupi huishia kuita wenzao wametumwa as if huu ni mtandao wa CHADEMA.. Lazima ukue na uwe unafikiria mbali zaidi ya hapo, haya sasa wamegoma then what?? walikua wanamtumia messege nani?? kueni
mtazamo wangu mwishoni mwa 2015 zito atajitoa chadema na kujiunga na nccr ili agombe araisi alishawahaidi wapiga kura wake.kipindi kingine hatafika km mgombea ubunge ila uraisi.
Ninachokiona mpaka sasa zito bado anakinyongo na uongozi bada ya kubaniwa wakati wa kutafuta uweneyekiti.hivyo wazo lolote linatolewa na uongozi halimwingi akilini hata liwe zuri vipi.
Wito wangu kwa zito ni bora akajitoa mapena kabla hajasababsha mazara kwa chama.vyama vipo vingi
zitoo ni nani katika chama mpaka apingane na wakuu wake hakuna demokrasia katika hili huyu ni msaliti na chama kichukue hatua dhidi yake faster au wananchi tuchukue hatua???????msaliti na auawe uchi na aibu imrudie mamaake.;;;
Kwa hiyo ungependelea na sisi Tanzania tuwe na utawala wa mtu mmoja dikteta kama Rwanda au? Katiba itasaidia kutuondolea watawala wabovu kama hawa tulio nao sasa hivi ndani ya CCM. Hii ni hatua ya kwanza kuleta maendeleo endelevu. Sasa hivi CCM wanasema (Makamba) kwamba lazima wao washibe kwanza ndio waanze kufikiria matatizo ya wananchi. Tanzania hatuna Kagame, katiba itatusaidia kuweka mfumo wa kuwapata watawala bora na kuwaondoa mamlakani wanapoboronga. Bila hiyo tutaendelea kusikiliza ngonjera tu za akina Makamba.Nataka uniambie kisayansi katiba yetu inahusiana vipi na uchumi wetu?? hayo ni mawazo duni ya kufanya Katiba ndio national priority. Mbona rwanda wanakimbia ki-uchumi, umesikia ni kwa sababu ya kubadili katiba?? Mimi binafsi hua sikubaliani ni mawazo ya wanasheria (hasa wa tanzania) kwa sababu hayaendi kisayansi wala kimahesababu (nadhani ni kwa sababu wengi husoma HKL, HGL na that means hesabu hakuna.
Normally, Zitto has got two contrasting traits:Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.
Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.
Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.
Source: TBC 1 News Bulletin
Nimekuwepo hapa kijiweni kwa mwaka wa 4 sasa, na mara nyingi watu wenye jazba na mitazamo mifupi huishia kuita wenzao wametumwa as if huu ni mtandao wa CHADEMA.. Lazima ukue na uwe unafikiria mbali zaidi ya hapo, haya sasa wamegoma then what?? walikua wanamtumia messege nani?? kueni
Very tru ....ht mm zitto naona haamininiki siku hz.Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), walikaa chini na wakafanya demokrasia ya uamuzi kwa kupiga kura, hayo yote sisi hatukuyajua na yalikuwa ni siri ya Chama, kama hayakuwa siri, Katibu ama mwenyekiti wa Chama angetueleza (Kupitia vyombo vya Habari),
lakini kitendo cha Zitto kwenda kwenye vyombo vya habari na kuiongea hiyo siri ya vikao vyao ni USALITI, MIMI hapa simpingi Zitto kwa uamuzi wake aliochukua wa kutokubaliana na hilo la kutoingia bungeni kabisa, hiyo ni Demokrasia na ndio maana Chadema walipiga kura, ninachomlaumu na kumwona Zitto kuwa msaliti iweje aende kwenye vyombo vya HAbari na Kuropoka, Chama kitamwamini vipi tena katika siri zingine za kichama,
Zitto inampasa kuelewa kuwa Chama kina viongozi na kuna wasemaji, Mwenendo wa Zitrto ndani ya Chadema ni wakutia mashaka sana, kwa nini anapenda kwenda kwenye vyombo vya habari bila baraka za viongozi wake, Angalia issue kama ya mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni, nadhani kwake ilikuwa ni busara kusubiri maamuzi ya chama kupitia vikao vyao ili wapendekeze jina, lakini alikurupuka na kutangaza atagombea hiyo nafasi,
Ushauri kwa Zitto
ki ukweli kabisa siasa zako haziendani na Chadema kabisa, uko fast sana, una siasa za kipekeyako, za kibinafsi na sio za kichama, kama ukiwa kwenye Chama cha muhimu ni kufuata chama kinataka na kinasema nini, aina za Chama zinazokufaa ni kama TLP na NCCR, kwamba kila mtu anasema lwake
Huyu jamaa ingawa ni kiongozi wetu lakini akiamua kutoka leo nitafurahi sana, ninachoomba Chadema iende naye taratibu wasimpe cheo kikubwa wala wasimfukuze ajiondoe mwenyewe, walikuwapo kina Kabouru enzi chama hakina mvuto atakuwa Zitto wakati chama kina vichwa vya uhakika, kwa busara za uongozi huwezi mlinganisha Zitto na Lissu.Itakula kwake anaheshima kubwa sana akiwa chadema lakini hatutashangaa
Labda uwe na matatizo ya uelewa utafurahiaje katiba mbovu ulasema eti ndio kitu kinachofaa ukweli wenyewe Ruanda wameshaingia kwenye mchakato wa white paper ili kurekebisha katiba yao tunahitaki katiba mpya ili kufuta haya majizi na mabakaji ya demokrasia peleka salamu waamie watanzania wote sio chadema tuu tumeamua wakati wa mabadiliko ni sasa
Kuwa JF miaka mingi si kuwa una busara, mtu gani unasema hatuna haraka na katiba wakati wanasheria na majaji wenyewe wameshaona katiba ina kasoro.