superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 54
inawezekana amefanya hivyo kulinda mahusiano yk binafsi na jk labdaalimpigia akawa hapokei ikabidi atumiemedia kumfafanulia kuwait anamtambua cdm ndiyo inamsukuma vinginevyo
Yeye ndiye mwenye mawazo mazuri na ndiye yeye aliyekifanya Chadema kionekane chama cha kisomi zaidi. Namlaumu Slaa, kwa kugombea Urais kwa sababu kaharibu muongozo halisi wa Chadema. Zitto ataleta upinzani zaidi kama atagombea urais 2015.
kwa siasa za Zitto sidhani kama chama kinaweza kufanikiwa katika adhima yake ya kufikia malengo ya katiba mpya na tume mpya si vizuri kuwa-let down wenzio
Unamkaribisha kwa mara nyingine? We know he's already there. Pia aliwahi kusema yeye si mali ya CHADEMA. Poleni wananchi anao wawakilishaZitto ASANTE KWA MSIMAMO WAKO
NAJUA SIKU ZINAKUJA UTATOA TAMKO LA KUWASHANGAZA WENGI KAMA ULIVYOSEMA SIKU MOJA KUWA UTATOA UHAMZI MUGUMU
ZITTO KARIBU CHAMANI
kama Walid Kaburu!! Muha ni muha tu, hata akisoma anabakia tu kuwa kalumanzira!!!!Dogo asituzingue anataka kuwa KIHEREHERE sana km amechoka atimuke walikuja na wakaondoka kwani yy nani? Mwenendo alionao sasa unmpeleka pabaya km hakukaa chini na kufikiria cha kusema kbla hajaulizwa. Umaarufu wake naona unazidi kushuka kila siku na ataishia km kina TUNTEMEKE SANGA .
Yeye ndiye mwenye mawazo mazuri na ndiye yeye aliyekifanya Chadema kionekane chama cha kisomi zaidi. Namlaumu Slaa, kwa kugombea Urais kwa sababu kaharibu muongozo halisi wa Chadema. Zitto ataleta upinzani zaidi kama atagombea urais 2015.
Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.
Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.
Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.
Source: TBC 1 News Bulletin