Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Great Thinker William;
1. Zitto kutofautiana na wenzie sio tatizo, na Chadema walijua wanatofautiana kwa hilo na ndio kisa wakaamua Demokrasia ichukue mkondo wake kwa kupiga kura
2. watu wanachomlaumu Zitto ni kwenda public na kuongea issue za siri za kichama, na kama Chadema walitaka kuliongea hilo kuna Viongozi wakuu kuliko Zitto

Please elewa hapo, 3. hata kama ni wewe kiongozi ungemfanya nini mtu anayeku-bypass

- Mkuu kama ninakuelewa kura ilipigwa ndani ya Chadema kufuata Demokrasia, sasa ni Demokrasia gani hiyo inayomnyima Kiongozi msaidizi wa Upinzani bungeni kutoizungumzia hiyo Demokrasia to the public? Demokrasia haifanywi kwa siri mkuu wala kuzuiwa waliohusika kutosema to the public, rekebisha hilo mkuu!

- Kilichofanyika ilikuwa ni Demokrasia au siri? Chagua moja mkuu!

William.
 
Kitendo cha chadema kutoka nje ya Bunge wakati Raisi wa JMT akihutubia hakitasahauliwa miongoni mwa watanzaia na viunga vyake. Si kitu raisi, na ni lazima watalaumiwa na hiyo ndio njia pekee ya kuleta demokrasia nchini. Napinga na mheshimiwa zitto, kwani huo ni msimamo na si kwa sababu aliyekuwa akihutubia ni kamanda mkuu wa jeshi.

Chama kiliamua kutoa ujumbe mzito kwa kupinga matokeo, sasa kama yeye alitaka watoke wakati mama makinda akitoa mwongozo wa bunge, basi wacha asubiri. lakini watanzania wengi tutazidi kuwa pongeza wale wote walio afiki kutoka kavukavu na mheshimiwa akiusoma ujumbe wao kwa macho yake.

Nafikiri chadema wanatakiwa waache kuangalia nani anafikiria nini , wakati wa kuwa na wateule ndani ya chadema umepita na hao ambao wana wanadhani wanaheshima kuliko wengine basi waanze kujiweka sawa. Chama kinakua na wenye hoja wanaongezeka na wasipo angalia basi wengine watapoteza mvuto wao kwa jamii.
 
Kwa mtazamo wangu, Zitto kuongea na media kuhusu kilichotokea sioni kama ni tatizo. Tatizo ninaloliona kwa Zitto ni pale anaposema kuwa si sahihi kutoka wakati rais anahutubia eti kwa sababu rais ndiye symbol ya taifa, amiri jeshi mkuu... Anasema kuwa yeye na wapiga kura wake waliona si sahihi kutoka kwa kuwa kati ya marais wote hakuna aliyekwisha ifanyia mambo makuu kimaendeleo Kigoma kama Kikwete. Hapa naona kama kuna kuchanganya mambo kwani kilichokuwa kinagomba ni jinsi Kikwete alivyoshinda urais wake na si performance yake kwa kipindi kilichopita.

Zitto ni kijana intelligent na mwenye kusimamia kile anachoamini, lakini kwa hulka yake ni rahisi sana kutumiwa na watu wenye nia mbaya na chama chake bila yeye mwenyewe kujua kuwa anawatumikia. katika sakata hili la kususia hotuba ya Kikwete kauli za Zitto zimekuwa faraja na msaada mkubwa kwa CCM.
 
Hiyo intellegence ya zitto, naitilia mashaka!!!, Intelligent:tape2: people they are smart always.:tape2:
 
- Mkuu kama ninakuelewa kura ilipigwa ndani ya Chadema kufuata Demokrasia, sasa ni Demokrasia gani hiyo inayomnyima Kiongozi msaidizi wa Upinzani bungeni kutoizungumzia hiyo Demokrasia to the public? Demokrasia haifanywi kwa siri mkuu wala kuzuiwa waliohusika kutosema to the public, rekebisha hilo mkuu!

- Kilichofanyika ilikuwa ni Demokrasia au siri? Chagua moja mkuu!

William.

supported!! eti siri!!

existence ya chadema kuwa na watu wa mawazo tofauti ndio kutaipa credibility kubwa kwa maana kila mmoja na mawazo yake wote wanaweza kuwa accomodated

Idea ya usiri, ni hoja dhaifu mno, chadema walitoka nje akiwamo Zitto, maana yake, ambaye hakwenda kabisa bungeni, JE ZITTO angeenda bungeni, halafu wenzake wakati wanaondoka angebaki nadhani hiyo ingekuwa na impact kubwa sana ya kuigawa chadema, lakini alikubaliana na walioshinda kuwa watoke!!! then zitto huyu alikubali kushindwa, sijaona effect ya tukio hili kwa sasa hivi zitto kulisemea, angesema this issue siku moja kabla tungesema kuwa anatafuta mengine

we have long way kwenye demokrasia na siasa wengi bado wana mawazo ya ki-ccm, usiri, usiri wa chama ...my foot! kumbukeni bado wanachadema wengi walilipinga hili humuhumu, hata kabla ya zito kujulikana kuwa kumbe alilipinga kabla!!!!! then HWA WANACHADEMA WENGINE NAO WAVULIWE UANACHAMA, KAMA HAMJABAKI NA AKINA Marando tu!
 
Kwa mtazamo wangu, Zitto kuongea na media kuhusu kilichotokea sioni kama ni tatizo. Tatizo ninaloliona kwa Zitto ni pale anaposema kuwa si sahihi kutoka wakati rais anahutubia eti kwa sababu rais ndiye symbol ya taifa, amiri jeshi mkuu... Anasema kuwa yeye na wapiga kura wake waliona si sahihi kutoka kwa kuwa kati ya marais wote hakuna aliyekwisha ifanyia mambo makuu kimaendeleo Kigoma kama Kikwete. Hapa naona kama kuna kuchanganya mambo kwani kilichokuwa kinagomba ni jinsi Kikwete alivyoshinda urais wake na si performance yake kwa kipindi kilichopita.

Zitto ni kijana intelligent na mwenye kusimamia kile anachoamini, lakini kwa hulka yake ni rahisi sana kutumiwa na watu wenye nia mbaya na chama chake bila yeye mwenyewe kujua kuwa anawatumikia. katika sakata hili la kususia hotuba ya Kikwete kauli za Zitto zimekuwa faraja na msaada mkubwa kwa CCM.

Kama zito amesema hayo kweli, narudia kama 'una hakika na ulichoandika' narudia tena KAMA ni kweli... this my very friend ni mmoja wa wajinga wakubwa ambao wanahitaji msaada mkubwa sana wa hali na mali, ila inahitaji uangalifu mno, kama kweli tu kasema huo utumbo nilio highlight kwa red! LMAO
 
Demokrasi ndani ya chama na uhuru wa kutoa maoni ni jambo la msingi sana. Kwa kufuata utaratibu chama uliojiwekea ktk kufikia maamuzi yake kama vile vikao halali vya chama na panapobidi kupiga kura ili kupata majority view pia ni jambo la msingi. Tatizo ni pale mtu mmoja [zittø) anapokubali bila ruhusa au kufuata utasatibu wa chama kuzungumzia yatokanayo na vikao vya chama ambavyo naamini vilifanyika kwa siri ili kuweza kupata msimamamo wa pamoja.

Yeye size mzungumzaji mjuu wa chama na tena ikibidi au ikimlazimu kuzungumzia resolusions za vikao vya chama anapaswa kutoa msimamo au muafaka ulikubaliwa na chama na si wa mtu mmoja mmoja kwamba eti mimi sikukubali kutoka nje ya bunge n.k n.k . Hii mimi naona usaliti mkubwa kwa chama na wenzako tena kujiweka juu ya chama na viongozi wake na hata wenzako.

Ni lazima watu waende pamoja watu wanapokubaliana by majority. Mara nyingine majority wanaweza kuwa wamekosea lakini dawa si kujitenga na kupublicise maoni yako. La muhimu ni kusonga mbele kama wamoja then kutumia fursa ya vikao vya chama kupeleka hoja zako na kama zina mshiko utasikilizwa.

Aluta continua CDM....HAKIKA WATANZANIA WA ITIKADI MBALIMBALI BILA KUJALI DINI, KABILA, CHAMA WAKO NYUMA YENU KTK KUDAI UHURU KAMILI WENYE KULETA MAGEUZI KTK NCHI TANYANIA
 
Hiyo ndiyo sera ya Chadema?

Hon Zito ameng'amua kuwa uongozi wa Chadema umewehuka na mafanikio waliyoyapata, sasa ni kukurupuka kwa kwenda mbele.

Hon, If I may give an advice;
....achana na wasanii wa kisiasa. Mungu amekujalia talanta ya uongozi na tunakujua kuwa una uchungu wa dhati kwa nchi yako. You are our potential next president.

So go for real serious politics!

CCM is one of the living examples in that domain.

Mungu amemjalia talanta ya uongozi!! aliwahi kumuongoza nani? huna akili ndondocha wewe
 
Mi wala sishangazwi na huyu dogo.Hiyo hulka ya watu wa Kigoma.
 
Siku zote nasema namkumbuka Zito toka Daruso, hajabadilika, sidhani kama atabadilika. Huyo ndio Zito.

Kabisa Mkuu
Zitto ana agenda binafsi ambayo soon itakuwa wazi, yeye na Shibuda ni watu wa kuangaliwa kwa makini sana na CHADEMA.

the time will tell !:angry::angry:
 
Demokrasi ndani ya chama na uhuru wa kutoa maoni ni jambo la msingi sana. Kwa kufuata utaratibu chama uliojiwekea ktk kufikia maamuzi yake kama vile vikao halali vya chama na panapobidi kupiga kura ili kupata majority view pia ni jambo la msingi. Tatizo ni pale mtu mmoja [zittø) anapokubali bila ruhusa au kufuata utasatibu wa chama kuzungumzia yatokanayo na vikao vya chama ambavyo naamini vilifanyika kwa siri ili kuweza kupata msimamamo wa pamoja.

Yeye size mzungumzaji mjuu wa chama na tena ikibidi au ikimlazimu kuzungumzia resolusions za vikao vya chama anapaswa kutoa msimamo au muafaka ulikubaliwa na chama na si wa mtu mmoja mmoja kwamba eti mimi sikukubali kutoka nje ya bunge n.k n.k . Hii mimi naona usaliti mkubwa kwa chama na wenzako tena kujiweka juu ya chama na viongozi wake na hata wenzako.

Ni lazima watu waende pamoja watu wanapokubaliana by majority. Mara nyingine majority wanaweza kuwa wamekosea lakini dawa si kujitenga na kupublicise maoni yako. La muhimu ni kusonga mbele kama wamoja then kutumia fursa ya vikao vya chama kupeleka hoja zako na kama zina mshiko utasikilizwa.

Aluta continua CDM....HAKIKA WATANZANIA WA ITIKADI MBALIMBALI BILA KUJALI DINI, KABILA, CHAMA WAKO NYUMA YENU KTK KUDAI UHURU KAMILI WENYE KULETA MAGEUZI KTK NCHI TANYANIA

Binafsi nashindwa kuelewa kwanini aliona kuna umuhimu wa yeye kwenda kusema kuwa hakutaka kutoka!! kwa mimi nachukulia hii kama anataka ajisafishe mbele ya CCM na Kikwete!
Mimi Zitto ananitia mashaka sana, simuamini kabisa!
 
Ni siku nyingi sana namuangalia huyu kijana KABWE kwa Jicho la pembeni.

Tangu wakati wa mgogoro wa KAFULILA na unafiki aliouonyesha, na pia ktk kampeni yake ya kule Kigoma nilimsikia na kumuona kupitia TBC akiwaambia na kuwahakikishia wananchi kuwa 2015 atakuja kuwaomba Kura za kuwa rais, namwona kijana ana haraka sana.

Lakini anatakiwa ajue kitu kimoja cha msingi, Uthamani wake unatokana na CHADEMA, Nje ya chadema ZITO ni mtu wa kawaida kabisa, kwa bahati nzuri CHADEMA kwa sasa inao vijana wengi wazuri kuliko yeye, kwa hiyo tunaweza tukaachana naye tu.

Ni lazima wote ktk chama tuwe na msimamo mmoja wakati wa kupigana hii vita kuu ya mageuzi, na ni wakati ambao hatumhitaji msaliti wa namna yeyote ile, UMOJA NI.......................,
 
inauma eee?? Toka mwanzo nilishasema. Kigoma wanatoaga vifaa. Kgm hatuchagui chama bali mtu. Ndio maana kgm ina karibu vyama vyote kasoro cafu.zito ni kichwa. Very brilliant. Ni mtanzania. Ni mzalendo. Hekima na busara na utaifa kwanza. Sio kususa tu. Yatawatokea puani wale wanaoshabiokia bila kufikiri. Sasa habari hii inawauma. Wanajuta aliyeileta jamvini. Lakini si ndio ukweli?? Kwani zito sio kiongozi wa upinzani bungeni? Kwa nini achicheme yaliyo moyoni mwake???

i fully support him 100%.

besides chadema bila dr. Mfuko wa cement 5000/= inaweeekana!

Nadhani wewe una matatizo makubwa. Hii sio habari ya kuandika, usidhani ni Kigoma tu wanachagua watu na sio Chama, kama unadhani ndivyo basi umekosea sana. Zito kama angekuwa na akili kama unavyosema angeliingia bungeni na kukaa kumsikiliza mshikaji wake JK. Kitendo cha yeye kutokufika bungeni ni unafiki wa hali ya juu na kiuongozi ni usaliti. Ingekuwa Chadema ni chama cha kijeshi, angeshapigwa risasi siku nyingi

Zito in all aspects ni mvurugaji wa chama, kuna mambo anafanya ambayo sidhani kama yanamsaidia. Lakini kiongozi makini ni yule mwenye msimamo na asiyekubali kuyumbishwa, sioni kama hilo analo Zito. Kuna kipindi alisema hatogombea tena ubunge, mara atachangua jimbo la kugombea, mara akagombea, mara niko shule. He can not be trusted. Wakati kampeni za uchaguzi zinaendelea, alitangaza kugombea uraisi 2015 very strange, bila kujua outcome ya uchaguzi huu. Zito alishaweka kichwani kuwa Dr Slaa hatoshinda, na ndio maana haoni kama kilio cha Chadema kina maana.

Hili na kupiga kura ndani ya chama sidhani kama alipashwa kulileta mitaani, anajikosha kwa watu, na anataka kugombea uraisi 2015, kweli, kwa mazingira haya haya, au anadhani bila pressure mambo yatakuwa tofauti, loh, amekosa weledi wa kutambua hii hali yote

Kwa wanaokumbuka kilichoivuruga NCCR ni kila mmoja kati ya Mbatia, Marando na Mrema, Selasini kuwa wasemaji wa Chama. Zito hakupaswa kukimbilia kwenye vyombo ya habari na kuteta kilichofanyika katika vikao vyao vya ndani. Huko ni kukosa kuheshimu mamlaka husika ndani ya chama na nadhani Chadema wanapaswa kumchukulia hatua kali. Hujamsikia mjumbe wa kamati kuu ya ccm akienda kwenye mtanzania daima na kueleza kilichotokea ndani ya kamati kuu kumuengua Sitta.

Nakubaliana na wanaosema kuwa Zito ni wa kumuangalia sana, he is cheap and he can easily be seduced. He has tried several times kupingana na mwenyekiti wake, na nadhani ana bifu na Mbowe. I think the best way watanzania watamheshimu ni kwa yeye kuondoka Chadema kwa amani kama hakubaliana na mwenyekiti wake na viongozi wenzake, kuliko kukivuruga chama. Asingojee kupewa adhabu, kwa kuwa ndicho anasubiri kifanyike, Chadema, dont waste time na huyu mtoto, wala hakuna haja ya kumchukulia hatua, kwani mtakuwa mmefanya kile anachokitaka, cha msingi ni kumsideline, kwa kuwa hawezi kutunza siri za chama, basi awekwe pembeni tu, this time is critical na sidhani kama kuna muda wa kupoteza na huyu mlimbwende Zito
 
Nimemsikiliza Zitto Kabwe akizungumza na TBC 1 na nimepata mashaka makubwa pia conclusion ya Zitto ni nani ndani ya upinzani. Kwa mtazamo wangu Zitto amelewa sifa na sasa anaelekea kwenye diminishing return. Ni watanzania wengi wasioridhishwa na serikali acha matokeo ya uchaguzi. Kero alizozianisha Mbowe kuwa ndio madai ya CHADEMA ni Msingi na ni za watanzania wengi na namna moja ya kuwakilisha ujumbe ni kile walichofanya CHADEMA. CCM na serikali wameshtushwa na wanafanya move za kisanii kulaani wanabidi kufahamu kuwa serikali yao inatakiwa kuwa more objective watanzania hawana unafiki tena.WALICHOFANYA CDM NI THE RIGHT MOVE AT THE RIGHT TIME. Tumeshuhudia ujumbe wa Marekani wakitoka nje kwenye kikao cha UN pale Rais wa Iran alipohutubia, Hugo Chavez alishtoka mara nyingi tu ....... Hiyo ni move ya kawaida sana na imetumika vizuri tu ukilinganisha na zile za kudai haki kwa fujo na mapigano. NAWAOMBA WATANZANIA WATUMIE MBINU HII YA KUWASUSIA VIONGOZI WOTE WABOVU (VYAMA VYOTE)WAJIANDAE KUSUSIWA SANA TU. Waziri mkuu mstaafu Sumaye ana experience ya tukio kama hilo. Kule Karatu kwenye mkutano mmojawapo aliwaudhi wananchi na wakamsusia mkutano. Ndio inauma lakini basi kuzuia kinachosababisha kususia ni kuleta suluhisho kwa madai kama yale ya CDM ambayo ni ya wazi.

Namlinganisha Zitto na Kabourou kutokana na mwenendo na hata vitendo anavyofanya. Tuelewe kuwa upande mmoja wa kisiasa (CCM) una nguvu kubwa hata ndani ya vyama vya upinzani na wanaweza kununua chochote kama alivyokuwa Kabourou LEO YUPO WAPI HATA KIGOMA ANAKWENDA KWA KUJIFICHAFICHA.

Nina imani baada ya kupiga kura ndani ya Chama na kukubaliana kutoka walipanga utaratibu na kwa maneno ya Zitto kuna wabunge akiwemo yeye walikiuka utaratibu huo. HIYO SIO SAWA. Ana credibility gani ya kuzungumza na media.

NENO KWA CCM NA SERIKALI DONT ARGONIZE BUT ORGANIZE.
 
- Mkuu kama ninakuelewa kura ilipigwa ndani ya Chadema kufuata Demokrasia, sasa ni Demokrasia gani hiyo inayomnyima Kiongozi msaidizi wa Upinzani bungeni kutoizungumzia hiyo Demokrasia to the public? Demokrasia haifanywi kwa siri mkuu wala kuzuiwa waliohusika kutosema to the public, rekebisha hilo mkuu!

- Kilichofanyika ilikuwa ni Demokrasia au siri? Chagua moja mkuu!

William.

Hii kura Haikuhusisha Wanachama wa Chadema na wala Hawakuambiwa kuwa kuna Kura, bali ilikuwa ni kura ya Wabunge wa Chadema, Nazungumzia Demokrasia iliyotumika ni ya kupiga kura ili isionekane kuwa ni kauli ya Mwenyekiti (Mbowe) ama Katibu (Dr Slaa), maana ya Demokrasia ni kuwa Wengi wape, wengi wa walioshinda ni wale walikubali kutoka nje na kwa maana hiyo, huo ndio msimamo wa Chadema

Baada ya hilo kufanyika Zitto anaingia kwenye vyombo vya habari na kusema anasubiri adhabu kwa kutofuata majority, Kwako wewe hiyo kauli ni nzuri lakini kwa watu wa Chadema ni USALITI, ni Usaliti kwa sababu hilo lilikuwa ni jambo lililofanyika ndani ya Chama na kama kulikuwa na sababu ya wanachama ama Watanzania kwa ujumla tungeambiwa, MBONA WAKATI SLAA ANAZUNGUMZIA ISSUE YA KUTOINGIA BUNGENI HAKUZUNGUMZIA HIYO ISSUE YA KURA WALIZOPIGA? HAKUZUNGUMZIA KWA SABABU ILIKUWA HAINA TIJA KWA WANACHAMA

zITTO anaposimama na kuzungumza, anamwambia nani na kwa faida ya nani? Mtu wa Chadema lazima atamuona Zitto ni msality kwa kushindwa kufata Majority
 
Kuna umuhimu wa chadema kuwa na mzungumzaji mmoja tu wa chama kwa mambo yanayohusu CHADEMA; hivi sasa tabia ya kila mmoja kuzungumzia mambo ya ndani ya chama kwenye vyombo vya habari kama anavyofanya Zitto haileti picha nzuri kwa chama. Zitto ni kweli is another Kaborou in the making kwani mambo anayofanya ni ishara tosha kuwa yumo humo si kwa maslahi ya Chadema bali yake binafsi na ndio maana alimsaidia hata Kafulila kule kwao dhidi ya mgombea wa chadema!! He does not have party loyalty!!
 
Nadhani wewe una matatizo makubwa. Hii sio habari ya kuandika, usidhani ni Kigoma tu wanachagua watu na sio Chama, kama unadhani ndivyo basi umekosea sana. Zito kama angekuwa na akili kama unavyosema angeliingia bungeni na kukaa kumsikiliza mshikaji wake JK. Kitendo cha yeye kutokufika bungeni ni unafiki wa hali ya juu na kiuongozi ni usaliti. Ingekuwa Chadema ni chama cha kijeshi, angeshapigwa risasi siku nyingi

Zito in all aspects ni mvurugaji wa chama, kuna mambo anafanya ambayo sidhani kama yanamsaidia. Lakini kiongozi makini ni yule mwenye msimamo na asiyekubali kuyumbishwa, sioni kama hilo analo Zito. Kuna kipindi alisema hatogombea tena ubunge, mara atachangua jimbo la kugombea, mara akagombea, mara niko shule. He can not be trusted. Wakati kampeni za uchaguzi zinaendelea, alitangaza kugombea uraisi 2015 very strange, bila kujua outcome ya uchaguzi huu. Zito alishaweka kichwani kuwa Dr Slaa hatoshinda, na ndio maana haoni kama kilio cha Chadema kina maana.

Hili na kupiga kura ndani ya chama sidhani kama alipashwa kulileta mitaani, anajikosha kwa watu, na anataka kugombea uraisi 2015, kweli, kwa mazingira haya haya, au anadhani bila pressure mambo yatakuwa tofauti, loh, amekosa weledi wa kutambua hii hali yote

Kwa wanaokumbuka kilichoivuruga NCCR ni kila mmoja kati ya Mbatia, Marando na Mrema, Selasini kuwa wasemaji wa Chama. Zito hakupaswa kukimbilia kwenye vyombo ya habari na kuteta kilichofanyika katika vikao vyao vya ndani. Huko ni kukosa kuheshimu mamlaka husika ndani ya chama na nadhani Chadema wanapaswa kumchukulia hatua kali. Hujamsikia mjumbe wa kamati kuu ya ccm akienda kwenye mtanzania daima na kueleza kilichotokea ndani ya kamati kuu kumuengua Sitta.

Nakubaliana na wanaosema kuwa Zito ni wa kumuangalia sana, he is cheap and he can easily be seduced. He has tried several times kupingana na mwenyekiti wake, na nadhani ana bifu na Mbowe. I think the best way watanzania watamheshimu ni kwa yeye kuondoka Chadema kwa amani kama hakubaliana na mwenyekiti wake na viongozi wenzake, kuliko kukivuruga chama. Asingojee kupewa adhabu, kwa kuwa ndicho anasubiri kifanyike, Chadema, dont waste time na huyu mtoto, wala hakuna haja ya kumchukulia hatua, kwani mtakuwa mmefanya kile anachokitaka, cha msingi ni kumsideline, kwa kuwa hawezi kutunza siri za chama, basi awekwe pembeni tu, this time is critical na sidhani kama kuna muda wa kupoteza na huyu mlimbwende Zito

To the point!!
 
Mkuu Waberoya,

Nilichoandika kuhusu aliyosema Zitto sikusimuliwa na mtu. Nimeona na kusikia mwenyewe TBC. Amenivunja moyo kwa sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom