Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Zitto anaagenda ya siri! Kama kweli anaamini katika demokrasia, basi baada ya kupiga kura na kushindwa angekaa kimya na badala yake awaunge mkono wale walioshinda (waliogomea hotuba ya raisi).

Napenda kuwaambia hapa wana JF, DOGO anajimaliza kisiasa!!! yuko wapi Amani Kaburu?? enzi zile alikuwa machachali sana kuliko zito, lakini leo kashakufa kabisa kisiasa amebaki kupiga magoti kwa CCM immpe chakula
 
jamani mbona hii ni thread ya tatu inahusu mada hiyohiyo??
 
Kuna wakati nilikuwa nashirikiana na vijana fulani wa Kigoma katika kutatua tatizo lao, sasa mambo yalikuwa kama haya tunakubaliana hivi wao wanakwenda kinyume na makubaliano. Mtu mmoja akanishauri ya kwamba watu wa Kigoma wana kawaida ya kuwa kigeugeu hivyo niachane na shauri lao, sijui kuna ukweli juu ya hili? Maana tabia wakati mwingine zinaweza kutegemeana na asili yetu (mother land).

ndiyo maana Nyerere aliwapuuza wakabaki nyuma hadi leo!!
 
Nadhani Zitto aanchojaribu ni kuwafundisha nyie mashabiki wa CHADEMA kwamba msiwe watumwa wa mawazo, mitazamo na miongozo ya wachache. Kwa nini awe mtumwa wa mawazo ya Mbowe na Dr Slaa wakati yeye msomi na mwenye exposure ya siasa ya kimataifa.. Nyie lazima mkubwali kile kitendo kilikua cha kitoto na kilidhihirisha kutokua nna malengo ya muda mrefu ya chama.
Nyerereist,
Hivi watu kama hawa katika TANU na CCM Nyerere aliwafanyaje? Aliwafukuza. Therein lies a lesson for you.
 
Kuanza kutofautiana mapema ni dalili mbaya sana kwa chama makini kama CHADEMA, ambacho kimeaminiwa na wananchi kwa imani kubwa sana. Ukichukulia hali ya kutokuwa na msemaji mkuu wa chama, kama Zitto anaweza akaenda kwenye media na kuongelea mambo ya ndani ya Chama ni hatari sana kwa chama kilicho makini. Chama cha CHADEMA niliamini ni chama makini kisicho hata na doa ya kukosa uadilifu na kuaminiana.

Kauli ya zitto kwa media kuongelea mambo ya chama kwamba waligawanyika katika msimamo wa kutoka nje wakati rais anaongea lina faida kwa nani? Na kusudi lake ni nini? Kwani nini maana ya demokrasia pale kura zinapoamu?, Je kuna haja ya kugoma kufuata maamuzio ya kura? Je Hio ni demokrasia gani? Hakuna tofauti ya kupinga demokrasia huku ukiubili Demokrasia.

Hapa CHADEMA wanajikoroga tena sana tu. Hakuna haja ya kuwa Mwanachama wa chama kisicho kuwa makini kama CHADEMA. Nimekuwa mwanachama wa muda mrefu wa Chadema, Nimeihubiri CHADEMA lakini kwa haya ya akina zitto ni bora kujiweka pembeni.

Hapa tusifanye tunatetea kwa maoni ya kutifautiana kwa mtazamo na kimawazo. Hapa ukweli watu tunaujua kuwa Umakini ndani ya CHADEMA umepotea, Kwa mitazamo hii Tutarajie kusambaratika kwa CHADEMA.

Mimi binafsi naomba kujiondoa Kabisa kuwa mwanachama hai wa CHADEMA mpaka hapo tutakapo kuwa tumekomaa kisiasa. Nahisi kwa vijana makini kujiunga na CHADEMA ni uamuzi wa kurisk mno, kwani uchanga wa chama na kuwa na watu waoga kama Zitto, Mtu ambaye hawezi kuheshimu demokrasia ndani ya chama ni hatari isiyovumilika na watu makini. Hivyo mimi kama mtu makini nahisi kabisa nilikosea kujiunga na CHADEMA ni heri kuwa mtu asiye na CHAMA kiliko kuwa mwanachama wa CHAMA chochote kwa Tanzania yetu hii.

Kwa hili CHADEMA wapoteza tumaini langu kwao.
Mwongo huna lolote hata huyo zitto anajua kabisa unasema uongo hii ni hali ya kawaida kabisa sio jambo la ajabu watu kutofautiana misimamo hakuna atakaye ondoka chadema propaganda zako zipelekee huko huko
 
Nyerereist,
Hivi watu kama hawa katika TANU na CCM Nyerere aliwafanyaje? Aliwafukuza. Therein lies a lesson for you.

- Mkuu kweli ninakusoma sawa sawa, eti kuwafukuza walio na mawazo tofauti na yako si ndio yamelifikisha hili taifa lilipo sasa, au?

William.
 
I have no comments,so zitto hataki katiba mpya? yeye alipendekeza nini kifanyike badala ya kuingia ndani na kutoka? au kaahidiwa uwaziri na aliona akiingia na kutoka atakuwa kapoteza nafasi yake kwa jk?

Am still watching this movie.
 
Kuanza kutofautiana mapema ni dalili mbaya sana kwa chama makini kama CHADEMA, ambacho kimeaminiwa na wananchi kwa imani kubwa sana. Ukichukulia hali ya kutokuwa na msemaji mkuu wa chama, kama Zitto anaweza akaenda kwenye media na kuongelea mambo ya ndani ya Chama ni hatari sana kwa chama kilicho makini. Chama cha CHADEMA niliamini ni chama makini kisicho hata na doa ya kukosa uadilifu na kuaminiana.

Kauli ya zitto kwa media kuongelea mambo ya chama kwamba waligawanyika katika msimamo wa kutoka nje wakati rais anaongea lina faida kwa nani? Na kusudi lake ni nini? Kwani nini maana ya demokrasia pale kura zinapoamu?, Je kuna haja ya kugoma kufuata maamuzio ya kura? Je Hio ni demokrasia gani? Hakuna tofauti ya kupinga demokrasia huku ukiubili Demokrasia.

Hapa CHADEMA wanajikoroga tena sana tu. Hakuna haja ya kuwa Mwanachama wa chama kisicho kuwa makini kama CHADEMA. Nimekuwa mwanachama wa muda mrefu wa Chadema, Nimeihubiri CHADEMA lakini kwa haya ya akina zitto ni bora kujiweka pembeni.

Hapa tusifanye tunatetea kwa maoni ya kutifautiana kwa mtazamo na kimawazo. Hapa ukweli watu tunaujua kuwa Umakini ndani ya CHADEMA umepotea, Kwa mitazamo hii Tutarajie kusambaratika kwa CHADEMA.

Mimi binafsi naomba kujiondoa Kabisa kuwa mwanachama hai wa CHADEMA mpaka hapo tutakapo kuwa tumekomaa kisiasa. Nahisi kwa vijana makini kujiunga na CHADEMA ni uamuzi wa kurisk mno, kwani uchanga wa chama na kuwa na watu waoga kama Zitto, Mtu ambaye hawezi kuheshimu demokrasia ndani ya chama ni hatari isiyovumilika na watu makini. Hivyo mimi kama mtu makini nahisi kabisa nilikosea kujiunga na CHADEMA ni heri kuwa mtu asiye na CHAMA kiliko kuwa mwanachama wa CHAMA chochote kwa Tanzania yetu hii.

Kwa hili CHADEMA wapoteza tumaini langu kwao.
Kasyabone,
Hakuna cha kusambaratika kwa CHADEMA. Zitto katoa maoni yake kuwa hakuunga mkono uamuzi wa kumboycott Kikwete. Majority waliunga mkono na majority walishinda. Hakuna shida hapo. Kinachodhihirika ni kwamba CHADEMA is a democratic party na sijaona sababu zozote ambazo zimempelekea mheshimiwa Zitto kujiainisha na upinzani wa hatua hiyo isipokuwa kama alikuwa anajaribu kuwaridhisha marafiki zake on the other side.
 
Nyerereist,
Hivi watu kama hawa katika TANU na CCM Nyerere aliwafanyaje? Aliwafukuza. Therein lies a lesson for you.

Ndio maana nasema CHADEMA ni photocopy ya CCM 1970's to 1980's.. enzi za zidum fikra za mwenyekiti wa chama. Mbowe na Slaa wakisha sema basi wote mfuate. Thats BS. Wote ambao wamekua wakionyesha kutokubaliana na mitazamo yao wamekua wakiishia kufukuzwa (kama alivyokua anafanya nyerere na chama kimoja),, kwa mfano Kafulila, Dr Kaburu, Chacha wangwe (RIP) bado kidogo, na wengine wengi tu.. Acheni udictator
 
Zitto anaagenda ya siri! Kama kweli anaamini katika demokrasia, basi baada ya kupiga kura na kushindwa angekaa kimya na badala yake awaunge mkono wale walioshinda (waliogomea hotuba ya raisi).

Napenda kuwaambia hapa wana JF, DOGO anajimaliza kisiasa!!! yuko wapi Amani Kaburu?? enzi zile alikuwa machachali sana kuliko zito, lakini leo kashakufa kabisa kisiasa amebaki kupiga magoti kwa CCM immpe chakula

Nchi zilizoendelea na zenye mfumo wa demokrasia zinatumia njia kama hiyo aliyotumia Zitto. Hakuna mfarakano wowote kama Wabunge wakipingana kwa hoja ktk public level, hata kama wakiwa wanatoka chama kimoja.

Huu mfumo alioutumia Zitto ni mzuri especially kwa nchi changa ktk demokrasia. Kwa mfano angalia, Marekani, Democrats vs Democrats vs Obama, Or Republican vs Republican vs Bush. Hii ni demokrasia.

Zitto kabwe anajaribu kuelezea msimamo wake ktk public level, ni msimamo mzuri, lakini waTZ wanafikiri ni mfarakano. Kama Chadema itaendelea na kutumia system hii ya demokrasia ndani ya chama, basi Chadema kitakuwa ni chama bora TZ.
 
- Mkuu kweli ninakusoma sawa sawa, eti kuwafukuza walio na mawazo tofauti na yako si ndio yamelifikisha hili taifa lilipo sasa, au?

William.
Nilikuwa nampa Nyerereist somo hapo. Siyo kwamba naafiki hatua hiyo na pia natambua kuwa nyakati zilikuwa tofauti. Labda Nyerere angekuwepo kwenye siasa leo angetumia mbinu tofauti.
 
Wakuu zangu nataka kuuliza kitu..
Kuna utata gani haswa unawaumiza vichwa?...
Mbona nchi nyinginezo watu hutoka Bungeni na wengine kutohudhuria hata kama amekuja rais wao kulihutubia bunge na haiwi tatizo kubwa la kujenga chuki kama kwetu?
Hata UN wapo wawakilishi wa nchi huwa hawahudhurii hotuba za mairas kibao na wengine hutoka nje pindi akisimama rais fulani na sijasikia mfaragano kama wetu tena akilaumiwa aloondoka na sii msemaji mkuu.

Na ikisha basi mnataka kunambia Wabunge wetu hawajawahi kutohudhuria au kutoka bungeni wakati waziri mkuu au waziri akihutubia...mbona tunaifanya issue hii kuwa kubwa sana wakati Chadema wamekwisha eleza wazi kwa nini wamefanya hivyo na sidhani kama kuna sheria inayowakataza kutofanya hivyo. Au ndio Udikteta wenyewe unavyotumika kwa rangi ya demokrasia...
 
Ndio maana nasema CHADEMA ni photocopy ya CCM 1970's to 1980's.. enzi za zidum fikra za mwenyekiti wa chama. Mbowe na Slaa wakisha sema basi wote mfuate. Thats BS. Wote ambao wamekua wakionyesha kutokubaliana na mitazamo yao wamekua wakiishia kufukuzwa (kama alivyokua anafanya nyerere na chama kimoja),, kwa mfano Kafulila, Dr Kaburu, Chacha wangwe (RIP) bado kidogo, na wengine wengi tu.. Acheni udictator
Hapana. You got it wrong. Zitto anazungumza na anaendelea kuwa na haki yake ya kuzunguza. Ni tofauti na enzi za Nyerere. Ndio maana nimekushauri ubadilishe jina.
Kenyattaist linakufaa zaidi.
 
I dont see an issue (hapa tuna make a mountain out of a mole hill) kutokukubaliana ni kawaida kura zikapigwa wengi wakashinda thats normal lakini i think Zitto angekaa kimya tu there is no need awaambie vyombo vya habari what went behind the scenes

Tunataka uwazi katika siasa za vyama vingi na kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake.

Hon Zito, we always believe that you are in a wrong camp - Tafakari juu ya uongozi wa chama chako!

Top leadership ni Wanasiasa uchwara!
 
Mhe Zitto tulikuamini tuka kupenda kama mpiganaji shupavu, lakini wewe ni mbayu wayu!!! ondoka chadema hamia nccr ili sisi wapambanaji wenye nia ya kumkomboa mtanzania tufanyekazi... Hawa wabakaji wa rasilimali za Tanzania tayari wamekwisha kuteka kirahisi sana kwa tamaa zako... nendaaaaa ... nendaaaaaa zitto zuberi kabwe kalawtweeee na hao mafisadi ... CHADEMA ni MOVEMENT na ni muda muwafaka wa mabadiliko watake wasitake.... Peoples POWER DAIMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom