Du Mkuu Punguza hasira, nahisi ukikutana naye njiani unaweza kumrukia na kumpa vichwa.
kaka Stein wee acha tu, hawa vibaraka wanauzi sana, nchi inatopea kwenye umaskini wa kutisha wao wanaendekeza njaa na usaliti.
Du Mkuu Punguza hasira, nahisi ukikutana naye njiani unaweza kumrukia na kumpa vichwa.
Huyu anaitwa Yericko yohana sijui nani vile? Ni mhaya huyu jamaa kwahiyo mpunguzie mapigo anaweza kujitia kitanzi.
Cc gombesugu. Muovu na mnafiki ana mwisho mbaya ndugu yangu kwahiyo ngoja wafurahie umaarufu wa jf' kwa kuwatuhumu wengine lakini yana mwisho.
Mkuu niliwahi kutoa ufafanuzi hapa jf kwakuweka wazi wasifu wangu katika mjadala mmoja ulioitwa "uchochezi wa Mohamed Said"
nitanukuu tena hapa chini ili watu waone tena upi ukweli sio kuishi kwa hisia,
Maneno hayo uliyasema baada ya sisi kukubana na baada ya Andrew Nyerere kuja kukukana kwamba wewe si mwanafamilia ile,
Na hiyo ilitokea pale pale ulipokasema kwamba wewe "MWALIMU NYERERE NI BABA YAKO MZAZI""
Kwani haya tunakuzushia??
1.Kama huna undugu na Julius kambarage nyerere mbona ulikuja kifua mbele na kusema ni baba yako mzazi??
2.Kwanini usije kujiverify na jina lako halisi ya Yericko Yohanes Msambila??na uje kujiverify na yericko nyerere>??
3.Kipi kimekupa hali ya kujiamin kuja kujiverify na jina lisilo lako na hali ya kuwa mwenywe unasema kwamba "INASEMEKANA" BABU YAKO MZEE MSAMBILA ALIKUWA ANATOKA KASKAZIN MWA TANZANIA??
4.Na kwanin ukajipa majukumu ya kuja kuyasemea mambo ya nyerere humu jukwaani na kuonesha kwamba una ukaribu nae na hata butiama wanakufaham hadi ukafikia hatua ya kusababisha usumbufu kwa kina Andrew Nyerere kuja hapa jukwaani kukukana na kutolea ufafanuz kuwa hawakutambui??
5.Na je kwa sasa baada ya utapeli huo kufahamika,huoni sasa ni wakati muafaka wa kufuta jina hilo kwani janja yako na utapeli wako watanzania wameshakwisha ufaham??
NB;
BABA YAKO NA UKOO WAKO NDIYO ASILI YAKO,KUIKANA ASILI YAKO KWA MINAJILI YA UTAPELI NA KUTAFUTA UMAARUFU NI UTUMWA NA UNYONGE WA HALI YA JUU,
SHIME WATANZANIA TUKEMEE TABIA HII,NA TUWAPIGE VITA WATU WENYE HULKA KAMA HIZI MOJA KWA MOJA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE
CC Ritz CHAMVIGA BOKOharam faiza foxy gombesugu MwanaDiwani kahtaan@faby and etc...
THE BIG SHOW,
Tunakusoma kwa saana tu Mkuu na tu-pamoja daima!
Huyo Yeriko hajawahi kusoma Beijing wala pale Russia kama alivyowahi kuzuga saana watu humu JF!...wala tangu azaliwe pia hajawahi asilan kufika hata pale Amerika kama pia alivyowahi kutuaminisha humu!
Nafikiri pia utakumbuka,alivyotuhadaa kuhusu State Department officials "kumfuata" ati pale Mbutu bandani pake kwa "mazungumzo rasmi"!? Duh! Teh! Teh!
Huyo ndondosa Yeriko Yohana Msambila,alisoma tu mambo ya u-Fundi Mwashi pale VETA- Chang'ombe!...akibisha hili basi italazim tumwite Mkuu Chama aje kumchana hapa hapa! Teh! Teh!
Kuna khabar nyingi mno za huyo ajiitae ati Yericko Nyerere,jinsi pia pale anapotumia jina la Nyerere aka "Baba Wa Taifa" na kuhadaa watu na Taasisi kadhaa hapo nchini! Dah!
Unajua ametapeli saana pia pale BAKITA na kupewa miswaada kadhaa ya kitaaluma kwa kujinasibu tu na hilo jina la yule Nyerere,na huku akionyesha vyeti vyake fake vya ati Russia na China! Dah!
...pia amepata vibali kadhaa na kujaribu kwenda kuwatapeli jamaa pale Pemba,ati alipojifanza ana kampuni kubwa mno ya ujenzi wa Viwanja vya ndege hapo nchini!? Duh!
Yaani huyo kanjanja ni janga la Taifa,pia ni tapeli wa kuogopewa!
Hiyo ni mifano kiduchu mno ya ufisadi na udhalimu wake...yaani angekua nchi zenye mature judicial system,angekua ameshakwisha kitambo kingi kwa fraud and/or deception!
Ahsanta.
for sure, it is imporant that zitto gets a good and serious advisor otherwise if he is left to continue like this he is likely to face uch more embarassing moments in politics
Kilewo ahojiwa na Polisi
"Natoka Kigoma , nimeaga kwetu!
Kifo
changu kikitokana na mkono wa
mtu,
huyo hata panya hatabaki
nyumbani
kwao" - Zitto Zuberi Kabwe
[h=5]Henry Kilewo[/h]57 minutes ago via Mobile
Ndiyo nimetoka kuhojiwa na jeshi la polisi mahojiano yaliyochukua takribani lisaa limoja na mabishano yaliyochukua lisaa limoja kabla ya kuanza maelezo.
Cha msingi ni kuwa mtu mmoja aitwaye zitto kabwe ametishiwa kuuwawa, lakini maelezo yangu kwa jeshi la polisi leo ni kuwa waangalie mambo ya msingi ya mnchi hii kuliko kukimbilia upuuzi wa wanasiasa uchwara waliyoporomoka kisiasa na sasa wanatafuta kicki ya kurudia.
Jeshi la polisi limeniachia kwa kujidhamini mwenyewe bila mashariti yeyote yale...
Ahsanteni na mungu awabariki... we shall overcome,never say never
Kaoa mke wa mtu, tena anayemzidi umri, analea watoto wa mwanaume mwenzake.
Utaachaje kuchanganyikiwa?
Kileo ni yupi huyo au ndo yule kijana anaelelewa na Jimama!!
Mkuu THE BIG SHOW.
Huyo tapeli asikusumbe msome hapa alivyokuwa anafanya utapeli wake.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Hapa chini msomeni mtoto mkubwa wa Mwalimu Nyerere alinyokuwa anamkana.
Tapeli ni tapeli tu kawadanganya watu kwa muda mrefu sana.
CC: THE BIG SHOW CHAMVIGA Boko haram FaizaFoxy gombesugu wabara,
Ritz,
Nakusoma Mkuu!
Naona safari hii umeamua kummaliza huyo Yericko kwa huu "msumari wa kichwa"! Duh!...najua hapo hawezi asilan kuinuka! Teh! Teh! Teeh!
Ahsanta.
jimama au mwanamke ya nguvu mama ya ukwel super woman
Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
Kwahiyo unataka kusemaje yani?Acha kujifanya huoni LEMA hakumshambulia ZZK humu ndani JF
Wewe kama mkaka utakuwa unapumuliwa si bure. Vibaya hivyo mtoto wa kiume kufatilia maisha ya watuSasa mbona linamzidi umri sio jimama hilo afu nasikia linamlisha!!
Hata watoto wako ukitaka wanalelewa tu kwani kuna shida? Au hata kama inahitaji kuolewa vile vile hakuna ubaya unaeza wekwa ndani tu usijali.
Controler