OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Ila huyu jamaa atakuwa muuwaji kwa nini igunga ni yeye, leo kamtishia zito, plz polisi msimpe huyu mtu dhamana atafanya mauaji tena kama ya igunga....
Kilewo ana matatizo ya akili!
Kilewo ana matatizo ya akili!
kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
Ukiisoma Historia ya Uislaam utakuta kuwa, Waislaam walipokuwa wakiteswa na ndugu zao walioupinga Uislaam hapo Makkah wakati alipoanza Mtume Muhammad SAW kuhubiri Uislaam, aliwaambia ili kuepuka mateso basi waende Habashi, na huko ilikuwa nchi ya Wakristo na Mfalme Mkristo. Tatizo ni nini?
kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
Duhhhh
Huyu huyu aliyesema eti kwao wako fit sana kindumba leo naye anatishiwa kuuawa?
"Natoka Kigoma, nimeaga kwetu! Kifo
changu kikitokana na mkono wa mtu,
huyo hata panya hatabaki nyumbani
kwao"- Zitto Zuberi Kabwe
Kilewo ana matatizo ya akili!
Mambo ya Chadema yanakuhusu nini??? Ukiulizwa Pili pili usiyoila inakuwashia nini??, Mmeshaumia hakuna jipya tena, sisi tunaendelea kuwafundisha na kuwapa elimu watanzania ni jinsi gani ya kukabiliana na Mamluki kama nyinyi na wote wenye nia ovu kwa mabadiliko.
Kama wewe ni mzalendo kwani unang'angania nchi za watu, au nyiye ndiyo vipandikizi.
Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
Look who is talking...Kilewo ana matatizo ya akili!
Henry Kilewo
57 minutes ago via Mobile
Ndiyo nimetoka kuhojiwa na jeshi la polisi mahojiano yaliyochukua takribani lisaa limoja na mabishano yaliyochukua lisaa limoja kabla ya kuanza maelezo.
Cha msingi ni kuwa mtu mmoja aitwaye zitto kabwe ametishiwa kuuwawa, lakini maelezo yangu kwa jeshi la polisi leo ni kuwa waangalie mambo ya msingi ya mnchi hii kuliko kukimbilia upuuzi wa wanasiasa uchwara waliyoporomoka kisiasa na sasa wanatafuta kicki ya kurudia.
Jeshi la polisi limeniachia kwa kujidhamini mwenyewe bila mashariti yeyote yale...
Ahsanteni na mungu awabariki... we shall overcome,never say never