Zitto amburuza Kilewo polisi

Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Wewe mwanamke unapenda sana kushobokea wanaume hata mie unapenda kunishobokea huwa nakuangalia tu.

Hata hivyo,mbona hili jukwaa ni kubwa sana??

Huyu binti kama kweli anavyosema shida yake ni kutafuta bwana kwanin asiende kule kwenye chit-chat au jukwaa la mapenz akatafute bwana au mchumba???

Sisi tuna wake na familia zetu,aache tabia za kutufuata fuata,sisi tuna heshima na familia zetu,asituone hapa JF basi akadhani ni VIRUKA NJIA KAMA YEYE..,

MPE POLE SANA,AZIDISHE MAOMBI ATAPATA BWANA WA KUMFAA...
 
Mkuu Leo Mimi nasoma hoja za Watu na kufurahi tu!
Kuna mtu anaitwa Big Show ni noma Anatoa maneno huyo?

Huyo binti aliachana na Zito kwa kuponzwa na maneno meneno mengi siku akilala kwa Zito walikesha wakizodoana.
 
mkui walaka unaoongelewa hapa ni ule wa kwanza kabla ya huu wa juz wa makao makuu ambao hata makao makuu ya cdm walisema hawaujui na hawajasambaza wao pia hata hapa jf uliwekwa mara kadhaa ukawa unatolewa ila wewe nadhan unazungumzia huu uliotelewa juz na makao makuu.

Mimi nazungumzia huo huo unaozungumzia wewe! Ule walioweka namba za simu kibao.

Henry Kileo mwenyewe inasemekana aliuweka kwenye blog yake.
 
Now days anasema anasema anaish mji mwema??

eti @Yericko siku hizi umehama mbutu??

Wewe kama anakuongopea ana kampun yake ni vzr akuongopee,ila sisi ukweli tunaujua,

Besides,hatumchukii yericko,bali tunachukia utapeli wake na kumuonya aachane na tabia hiyo,

kaka muda wa kuswali huu twenzetu.
 
Kwa hiyo wewe ni Zitto wewe ni mdini mfitini na zandiki manake una panic unaandika hata vitu bil kujijua waliopokea magari ya M4C Mtwaa na Lindi ni wakrsto we acha ujinga na matusi rejareja

Wewe naomba uendelee kutekeleza mission za kumuua mama zitto na sasa najua mna mpango wa kummaliza na zitto mwenyewe mimi niache.
 
Ushuhuda ni ile briefcase nyekundu milioni 250 mshamba mula migebuka imekufanya ugeuke jiwe eti mwazungu waunga,mjizi na matapeli wa hifadhi za yara zetu n rasima za nchi wamalza tembo wabaki madarakani not in the expense of innocent Tanzanians bora urudi kwenu Burundi

Ubaguzi ni asili yenu sikulaumu.
 
Wewe naomba uendelee kutekeleza mission za kumuua mama zitto na sasa najua mna mpango wa kummaliza na zitto mwenyewe mimi niache.
Panic hiyo pole mama zitto kajiua mwenyewe kupokea mafedha kwenye mabrief case mekundi hakujua hicho ni kifo yaani Rmadhani Inghndu alikuwa anamwambia zitto damu itamwagika ukienda kinyume mama mpokea vya mwana mwizi siku akikatwa mkono naye hukatwa z itto ni psychopathy anahitaji dawa manake miaka nane kila siku anaona watu wanataka kumuua hicho ni kicha kilchokomaa ,maskini anajiogopa mwenyewe wasaliti wote duniani maisha yao ni mafupi
 
QUOTE=Zogwale;7930414]Mkuu the Big Show, ninaishi Tz nyumbani kwangu. Hapa JF ni kijiwe tu siku nikiwa na muda. Kuna wakati hata miezi miwili inakatika sikanyagi huku mkuu wangu. Basi kama walishamkana basi kuna jambo. Je huyo dada anayewasiliana naye hakumtetea?? Si unajua tena wazee wetu, pengine kulikuwa na mtelezo kwa hiyo ukubwani ndipo watoto wanajitokeza!!!! Ndiyo maana tunasema weka wazi mambo yako hata chagua ndugu mmoja mweleze walipo vifaranga wako wote wa ndani na nje??? Basi tufanye DNA ndiyo mwisho wa matatizo!!! Pengine Yericko ana haki ya kuwa mwanafamilia.[/QUOTE]

Mkuu niliwahi kutoa ufafanuzi hapa jf kwakuweka wazi wasifu wangu katika mjadala mmoja ulioitwa "uchochezi wa Mohamed Said"

nitanukuu tena hapa chini ili watu waone tena upi ukweli sio kuishi kwa hisia,

Ndugu zangu wanajamvi wote mlioshiriki mjadala huu,

Kwa namna moja ama nyingine naomba niwashukuru sana wote bila kujali itikadi ama mitazamo yetu,

Nafanya hivyo nikitambua umuhimu wa kila mmoja wetu hapa katika uzi huu tangu ulipoanzishwa nami 12/01/2013 mpaka hii leo tumekuwa hapa bega kwa bega usiku na mchana,

Nasema wote ninawashukuru kwa ushirikiano wenu, tumeongea pamoja, timecheka pamoja, tumekwazana pamoja, naam na sasa tunaagana pamoja!

Sisi sote ni waswahili na ni binadamu, tofauti zetu zilizotawala mjadala wetu tuziache hapa hapa, vinyongo vyetu tuviache hapa hapa, na kila husda tuliokuwa nao na tuuache hapa hapa!

Tumepata fursa adhimu ya kuzungumza yamoyoni, pia tumepata fursa yakufahamiana na kwa hili hakika tumejenga mtandao imara wa kifikra!

Shukrani zangu za pekee zimuendee Mzee wetu Mohamed Said, amekuwa mvumilivu sana mpaka mwisho akashindwa na hakika amejitahidi, nampongeza kwa hilo tu,

Pia niwapongeza wanahistoria wenzangu waliosimama nami kwa weledi wao kutetea ukweli na kuukemie upotoshaji wa Mohamed Said, hawa si wengingine bali ni Nguruvi3, Mag3, Mwanakijiji, JokaKuu, Jasusi, Son of Alaska, Nicholas, Zumbemkuu, Gwalihenzi, na wengine wengi walioshiriki nasi!

Lakini nitakuwa sina fadhila kama sitawashukuru ndugu zetu kama Ritz, The Big Show, Barubaru, Zomba, Sadeeq, Spike Lee, na wengine wote wakufanana nao!

Niwashukuru sana uongozi wa JF hasa Mods kwa kuusimamia mjadala huu kwa weledi wa hali ya juu sana! Hii ni heshima kubwa sana kwa JF na Tanzania kwa ujumla!

Mwisho,

Wale mliotaka kunifahamu mimii ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!

Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

Kabila: Ni Mhehe,

Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)

Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,

Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College China (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi

Kuishi: Kigamboni Mbutu,

Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:

Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Kwahiyo katika uzi huu nimesimama kama Mtanzania mwingine yeyote anaekwazwa kuona dhihaka wanayofanyiwa Wanaukombozi wetu!

Nawashukuru nyote, nawaomba tofauti zetu zote tuziache hapa hapa na tuongee lugha moja ya maelewano na kidugu!

Kwa heshima na taadhima ninaomba niufunge mjadala huu kwakuwa ukweli tumeuwkea huru!

Asanteni sana,
 
Kilewo si ndo alikuja kwa Mbwembwe nyiingi na kusema kuwa anauhakika na ule waraka, leo anaukana! Acheni kucheza na akili za watu!
 
Kwa hiyo wewe ni Zitto wewe ni mdini mfitini na zandiki manake una panic unaandika hata vitu bil kujijua waliopokea magari ya M4C Mtwaa na Lindi ni wakrsto we acha ujinga na matusi rejareja

Mtakufa bure kwa mihemko na Hypertension....wanasiasa wanafahamiana sana....wao wanakaa kwenye Tv zao na kwenye laptop zao waki-enjoy free show mnazo zionyesha. Punguzeni hasira.
 
Mkuu niliwahi kutoa ufafanuzi hapa jf kwakuweka wazi wasifu wangu katika mjadala mmoja ulioitwa "uchochezi wa Mohamed Said"

nitanukuu tena hapa chini ili watu waone tena upi ukweli sio kuishi kwa hisia,

Yericko Nyerere said:
Ndugu zangu wanajamvi wote mlioshiriki mjadala huu,

Kwa namna moja ama nyingine naomba niwashukuru sana wote bila kujali itikadi ama mitazamo yetu,

Nafanya hivyo nikitambua umuhimu wa kila mmoja wetu hapa katika uzi huu tangu ulipoanzishwa nami 12/01/2013 mpaka hii leo tumekuwa hapa bega kwa bega usiku na mchana,

Nasema wote ninawashukuru kwa ushirikiano wenu, tumeongea pamoja, timecheka pamoja, tumekwazana pamoja, naam na sasa tunaagana pamoja!

Sisi sote ni waswahili na ni binadamu, tofauti zetu zilizotawala mjadala wetu tuziache hapa hapa, vinyongo vyetu tuviache hapa hapa, na kila husda tuliokuwa nao na tuuache hapa hapa!

Tumepata fursa adhimu ya kuzungumza yamoyoni, pia tumepata fursa yakufahamiana na kwa hili hakika tumejenga mtandao imara wa kifikra!

Shukrani zangu za pekee zimuendee Mzee wetu Mohamed Said, amekuwa mvumilivu sana mpaka mwisho akashindwa na hakika amejitahidi, nampongeza kwa hilo tu,

Pia niwapongeza wanahistoria wenzangu waliosimama nami kwa weledi wao kutetea ukweli na kuukemie upotoshaji wa Mohamed Said, hawa si wengingine bali ni Nguruvi3, Mag3, Mwanakijiji, JokaKuu, Jasusi, Son of Alaska, Nicholas, Zumbemkuu, Gwalihenzi, na wengine wengi walioshiriki nasi!

Lakini nitakuwa sina fadhila kama sitawashukuru ndugu zetu kama Ritz, The Big Show, Barubaru, Zomba, Sadeeq, Spike Lee, na wengine wote wakufanana nao!

Niwashukuru sana uongozi wa JF hasa Mods kwa kuusimamia mjadala huu kwa weledi wa hali ya juu sana! Hii ni heshima kubwa sana kwa JF na Tanzania kwa ujumla!

Mwisho,

Wale mliotaka kunifahamu mimii ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!

Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

Kabila: Ni Mhehe,

Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)

Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,

Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College China (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi

Kuishi: Kigamboni Mbutu,

Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:

Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Kwahiyo katika uzi huu nimesimama kama Mtanzania mwingine yeyote anaekwazwa kuona dhihaka wanayofanyiwa Wanaukombozi wetu!

Nawashukuru nyote, nawaomba tofauti zetu zote tuziache hapa hapa na tuongee lugha moja ya maelewano na kidugu!

Kwa heshima na taadhima ninaomba niufunge mjadala huu kwakuwa ukweli tumeuwkea huru!

Asanteni san

Maneno hayo uliyasema baada ya sisi kukubana na baada ya Andrew Nyerere kuja kukukana kwamba wewe si mwanafamilia ile,

Na hiyo ilitokea pale pale ulipokasema kwamba wewe "MWALIMU NYERERE NI BABA YAKO MZAZI""

Kwani haya tunakuzushia??

1.Kama huna undugu na Julius kambarage nyerere mbona ulikuja kifua mbele na kusema ni baba yako mzazi??

2.Kwanini usije kujiverify na jina lako halisi ya Yericko Yohanes Msambila??na uje kujiverify na yericko nyerere>??

3.Kipi kimekupa hali ya kujiamin kuja kujiverify na jina lisilo lako na hali ya kuwa mwenywe unasema kwamba "INASEMEKANA" BABU YAKO MZEE MSAMBILA ALIKUWA ANATOKA KASKAZIN MWA TANZANIA??

4.Na kwanin ukajipa majukumu ya kuja kuyasemea mambo ya nyerere humu jukwaani na kuonesha kwamba una ukaribu nae na hata butiama wanakufaham hadi ukafikia hatua ya kusababisha usumbufu kwa kina Andrew Nyerere kuja hapa jukwaani kukukana na kutolea ufafanuz kuwa hawakutambui??

5.Na je kwa sasa baada ya utapeli huo kufahamika,huoni sasa ni wakati muafaka wa kufuta jina hilo kwani janja yako na utapeli wako watanzania wameshakwisha ufaham??

NB;
BABA YAKO NA UKOO WAKO NDIYO ASILI YAKO,KUIKANA ASILI YAKO KWA MINAJILI YA UTAPELI NA KUTAFUTA UMAARUFU NI UTUMWA NA UNYONGE WA HALI YA JUU,

SHIME WATANZANIA TUKEMEE TABIA HII,NA TUWAPIGE VITA WATU WENYE HULKA KAMA HIZI MOJA KWA MOJA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE

CC Ritz CHAMVIGA BOKOharam faiza foxy gombesugu MwanaDiwani kahtaan@faby and etc...
 
Last edited by a moderator:
Mtakufa bure kwa mihemko na Hypertension....wanasiasa wanafahamiana sana....wao wanakaa kwenye Tv zao na kwenye laptop zao waki-enjoy free show mnazo zionyesha. Punguzeni hasira.

Maneno ya kwenye kanga tufe na hypertension kwani tumevuliwa vyeo vitano au sisi ni wabunge wasaliti , sema watakufa na hypertension wenye shida na kubaka taratibu za vyama vyao ili wapate madaraka kama wanafahamiana sisi yanatuhusu nini mbona wanakashifiana na kushushana hadhi huko ndio kufurahiana umepanic bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom