Chadema ina mwakili wengi kuliko wanachama
Chadema ina mwakili wengi kuliko wanachama
Chadema ina mwakili wengi kuliko wanachama
Ushabiki wa kikabila utamtokea puani!
Hiyo nchi yako unayotaka kuikomboa inaitwaje? Kaskazini?
Kuna jembe lingine Edson Mbogoro, huyu aliikamata kesi ya Mnyika pale jimbo la UbungoNawajua hawa:
- Tundu Lissu
- Prof. Abdallah Safari
- Mabere Nyaucho Marando
- Nyaronyo Mwita Kicheere
- ....
- ......
Naona unaandika nakuanza kutoa majibu mwenyewe duh kweli wewe wenge.unasadifu jina lako.the saga continue.
Mambo ya Chadema yanakuhusu nini??? Ukiulizwa Pili pili usiyoila inakuwashia nini??, Mmeshaumia hakuna jipya tena, sisi tunaendelea kuwafundisha na kuwapa elimu watanzania ni jinsi gani ya kukabiliana na Mamluki kama nyinyi na wote wenye nia ovu kwa mabadiliko.
Kama wewe ni mzalendo kwani unang'angania nchi za watu, au nyiye ndiyo vipandikizi.
Nchi ya Wakristo.....
Nawajua hawa:
- Tundu Lissu
- Prof. Abdallah Safari
- Mabere Nyaucho Marando
- Nyaronyo Mwita Kicheere
- ....
- ......
Mkiambiwa ukweli mnakuwa mbogo,punguza povu kwanza
Naona unaandika nakuanza kutoa majibu mwenyewe duh kweli wewe wenge.unasadifu jina lako.
umenena,halaf huyu jamaa ana damu ya kunguni sidhan kama kwenye hili atachomoka,maana inasemekana ushaidi upo
Jeshi la Polisi limemwachilia Katibu wa Chadema DSM Kamanda Henry Kilewo kwa kujidhamini mwenyewe tena bila ya Masharti yoyote.
Kilewo aliwasilimakao makuu ya jeshi hilo leo kuitikia wito.Alipofika alikuta anapaswa kuhojiwa kuhusiana na kumtishia maisha Naibu katibu mkuu wa Chadema aliyefukuzwa Zitto Kabwe.
Kulitokea mabishano makali ya zaidi ya saa moja na baada ya hapo alihojiwa kwa saa moja.
Inadaiwa Kilewo alilitaka jeshi hilo kushughulika na mambo ya msingi yanayowasumbua wananchi na kuachana na wanasiasa waliofilisika kisiasa na sasa wanatafuta pa kujishikiza.
Kamanda Kilewo anatetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Kamati Kuu kuwa mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu wa Chadema.
[h=5]Henry Kilewo[/h]57 minutes ago via Mobile