Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
ZZK hawezi kupatikana sasa hivi, simu zake anazo Bi Mkubwa!
Cha muhimu ni kujibu tuhuma 11 alizopewa ndani ya siku 14
ZZK hawezi kupatikana sasa hivi, simu zake anazo Bi Mkubwa!
Cha muhimu ni kujibu tuhuma 11 alizopewa ndani ya siku 14
Hapa na wewe unaona umejadili hii mada kwa hoja nzito!!.Yericko ameukana ule waraka, kilewo akakae selo moja na babu seya ili atatuliwe marinda halafu yule mke wake akaandamane posta kupinga unyanyasaji wa kijinsia atakaofanyiwa mume wake.
Kimenuka. Hiyo ni mwanzo tu, unajuwa kuna mlolongo wa kujibu unakusubiri, umeshasahau kuhusu nyaraka za siri?
Unalo tu.
Mkuu THE BIG SHOW.Mkuu niliwahi kutoa ufafanuzi hapa jf kwakuweka wazi wasifu wangu katika mjadala mmoja ulioitwa "uchochezi wa Mohamed Said"
nitanukuu tena hapa chini ili watu waone tena upi ukweli sio kuishi kwa hisia,
Maneno hayo uliyasema baada ya sisi kukubana na baada ya Andrew Nyerere kuja kukukana kwamba wewe si mwanafamilia ile,
Na hiyo ilitokea pale pale ulipokasema kwamba wewe "MWALIMU NYERERE NI BABA YAKO MZAZI""
Kwani haya tunakuzushia??
1.Kama huna undugu na Julius kambarage nyerere mbona ulikuja kifua mbele na kusema ni baba yako mzazi??
2.Kwanini usije kujiverify na jina lako halisi ya Yericko Yohanes Msambila??na uje kujiverify na yericko nyerere>??
3.Kipi kimekupa hali ya kujiamin kuja kujiverify na jina lisilo lako na hali ya kuwa mwenywe unasema kwamba "INASEMEKANA" BABU YAKO MZEE MSAMBILA ALIKUWA ANATOKA KASKAZIN MWA TANZANIA??
4.Na kwanin ukajipa majukumu ya kuja kuyasemea mambo ya nyerere humu jukwaani na kuonesha kwamba una ukaribu nae na hata butiama wanakufaham hadi ukafikia hatua ya kusababisha usumbufu kwa kina Andrew Nyerere kuja hapa jukwaani kukukana na kutolea ufafanuz kuwa hawakutambui??
5.Na je kwa sasa baada ya utapeli huo kufahamika,huoni sasa ni wakati muafaka wa kufuta jina hilo kwani janja yako na utapeli wako watanzania wameshakwisha ufaham??
NB;
BABA YAKO NA UKOO WAKO NDIYO ASILI YAKO,KUIKANA ASILI YAKO KWA MINAJILI YA UTAPELI NA KUTAFUTA UMAARUFU NI UTUMWA NA UNYONGE WA HALI YA JUU,
SHIME WATANZANIA TUKEMEE TABIA HII,NA TUWAPIGE VITA WATU WENYE HULKA KAMA HIZI MOJA KWA MOJA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE
CC Ritz CHAMVIGA BOKOharam faiza foxy gombesugu MwanaDiwani kahtaanfaby and etc...
Huyo tapeli asikusumbe msome hapa alivyokuwa anafanya utapeli wake.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Hapa chini msomeni mtoto mkubwa wa Mwalimu Nyerere alinyokuwa anamkana.Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
Tapeli ni tapeli tu kawadanganya watu kwa muda mrefu sana.Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
CC: THE BIG SHOW CHAMVIGA Boko haram FaizaFoxy gombesugu wabara,
Beggars would ride them ....teh teh kazi kwel kwelHaha ha ha haaaaa ! ! ! Only if wishes were horses....
Ben Saanane kafanya nini tena?
Vipi mrembo, kitu gani kimenuka?
Mkuu THE BIG SHOW.
Huyo tapeli asikusumbe msome hapa alivyokuwa anafanya utapeli wake.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Hapa chini msomeni mtoto mkubwa wa Mwalimu Nyerere alinyokuwa anamkana.
Tapeli ni tapeli tu kawadanganya watu kwa muda mrefu sana.
CC: THE BIG SHOW CHAMVIGA Boko haram FaizaFoxy gombesugu wabara,
Haya sasa kumekucha...!!
Sisi tukisema huyu mtu ni tapeli watu wanarusha ngumi hewan
Nadhani hapo kila mwenye macho amejionea mwenyewe utapeli wa huyu kanjanja yericko
ZZK anataka kuondoka CHADEMA na mtu wa kumsindikiza.......
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi akimshitaki mmoja wa viongozi wenzake.
Habari za kuaminika zimedai kuwa Zitto ambaye hivi karibuni alivuliwa cheo chake cha unaibu katibu mkuu wa CHADEMA, inadaiwa amefungua mashitaka polisi akimtuhumu Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kileo kwa madai ya kusambaza waraka katika mitandao ya kijamii.
Akithibitisha tukio hilo, wakili wa Kileo, Peter Kibatara, alisema kuwa mteja wake amemriwa kufika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo Jumatano saa nane mchana na kuonana na mmoja wa maofisa wa juu wa jeshi hilo, aliyetajwa kwa jina moja tu la Mbutta, kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na Zitto dhidi yake.
Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu, Kileo alikiri kuitwa polisi, ingawa alidai hajui ni waraka gani anaotuhumiwa kuusambaza unaomchafua Zitto.
Kwa kweli sijui hata mimi ni waraka gani, ingawa hivi karibuni kulikuwa na waraka wa siri uliodaiwa kutoka CHADEMA, na ambao ulijaa tuhuma za usaliti. Lakini huo tuliishaukana siku nyingi. Labda kuna mwingine, alisema Kileo.
Zitto kutwa nzima ya jana hakuweza kupatikana kwa njia ya simu kufafanua mashitaka aliyofungua polisi. Simu zake zote za kiganjani zilikuwa zimezimwa.
-Tanzania daima.
Mkuu THE BIG SHOW.
Huyo tapeli asikusumbe msome hapa alivyokuwa anafanya utapeli wake.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Hapa chini msomeni mtoto mkubwa wa Mwalimu Nyerere alinyokuwa anamkana.
Tapeli ni tapeli tu kawadanganya watu kwa muda mrefu sana.
CC: THE BIG SHOW CHAMVIGA Boko haram FaizaFoxy gombesugu wabara,
Mkuu huyu Yericko ni mwehu nilisha mwambia aache bangi hasikii mpaka leo hajaleta jibu kamalizana vipi na mzee Butiku.
usimchokoze kamanda Ben,ana ushahidi mtamu zaidi ya sms ya mpesa.Zitto anasubiriwa kwny mahakama ya wananchi
Kikwapa! kutokana na magwanda kujaa jasho.
Wanajf...
Ni kweli niliitwa na jeshi la polisi na mimi bila kusita nilipokea wito huwo kwa furaha kubwa sana. Tulifika makao makuu ya jeshi tukakubaliana tufanya hayo mahojiano kesho, jambo ambalo nimeitiwa ni moja tu, nilielezwa kuwa zitto kaenda kulalamika ila sikuambiwa kaenda kunilalamikia kwa kosa gani.
kwa hiyo baada ya kesho wakili wangu ataeleza umma wa watanzania kile kilichojiri kutokana na mahojiano hayo.
Ni weke wazi mambo kazaa ya msingi na kwaajili ya rekodi sahihi, sina hofu hata kidogo kuitwa na jeshi la polisi wala sintokaa niwe na hofu pale nitakapoitwa na jeshi la polisi kama sababu ni ukombozi wa nchi yangu na siyo ubakaji.
msiwe na hofu vitisho tutaletewa vikubwa zaidi ya kuitwa polisi au kufungwa jela, ila lengo letu ni lazima litimie la kukomboa nchi hii.
We shall overcome, never say never.

Gaidi at work