Zitto amburuza Kilewo polisi

Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Kati ya mshitakiwa na Mlalamikaji ni yupi anakibomoa chama ?maana malumbano yakianza lazima yatajaa ushabiki kila Upande matokeo yake Chama kutumia mda mwingi kujadili migogoro
 
Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
 
kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
 
zitto hana madaraka kwa sasa ni yepi hayo unaongelea?
 
kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
Kwani zitto ni nani tena CDM?
 
Hivi tukiweka siasa pembeni,Zitto atajisikiaje akiona CHADEMA imesambaratika na yeye akiwa ndo chanzo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom