Ha ha ha!!!! The Big Show!!!! Leta evidence ya maandhishi kuwa Yericho Nyerere alimkana baba yake!!! Tutakuamini kupitia key board tu? Off course tunajua upande unaoegemea kisiasa ila usipende ku-attack watu bila evidence!!! Wewe ni nani ulalamike wakati watoto wa baba wa Taifa hawajalalamika??? Mfupa usiokuhusu unaudandia wa nini??? Pole sana.
Mkuu jibu tuhuma,you have been quoted amoung of the people who were receiving m-pesa from ZZK,kwenye siri ya zito filmHaha ha ha haaaaa ! ! ! Only if wishes were horses....
Ben Saanane kafanya nini tena?
Who is Yericko by the way??watu wanalitumia jina la mwalimu vibaya sana
Who is Yericko by the way??watu wanalitumia jina la mwalimu vibaya sana
Bado wewe siku zako zina hesabika anza kukabidhi cement,tindo na vitasa kamandaHii sasa itamuondoa bwana Zitto kabisa kwenye siasa za Tanzania,
Namuonea huruma sana kwani ataumbuka zaidi, ni heri atafute mshauri katika suala hili lakini kukimbilia polisi ni kukaribisha mauti ya kisiasa.
Mkuu jibu tuhuma,you have been quoted amoung of the people who were receiving m-pesa from ZZK,kwenye siri ya zito film
Say something please.....
Kilewo na yericko lazima muwe tayari kubeba gharama za kumchafua zitto.
kaka ni asubuhi najua hata chai haijashuka, mbona kushushia na juice ya omo, huogopi ukifafa wa kujitakia?? Hebu punguza povu basi! Haikusaidii hiyo.invisible hana muda mchafu wa kudeal na tapeli,
sisi tulikuambia huu utapeli wako fanya huko huko mbutu,hili jukwaa ni la gt,
umeona ulivyodhalilika sasa??
Leo hii kila mtu humu ndan anakujua kuwa wewe ni kikaragosi tuh usie na mbele wala nyuma,ila umejitakia tuh,
yan una laana wewe??wewe baba yako mzazi mzee msambila unae,kisha una mkana na kusema mwalimu nyerere ni baba yako mzazi tena??
Hivi hii yote ya nini??kumkana mzazi wako kisa nini??umaarufu au utapeli??tumekomesha tabia ile na tunakupa onyo usirudie tena,tapeli mkubwa wewe,
lione kwanza...!!!baba yako ni baba yako,hata kama ana maisha magumu ni baba yako tuh,must be so so craizy,una mkana vipi mzazi wako??stupid kabisa...
Wote tunajua kuwa Ben Saanane ni verified user member wa JF.... Ombi laku ni kumtaka aje athibitishe kama kweli alitumiwa mgao wa vijisenti kutoka kwa Prezooo! Na zilikuwa kwa lengo lipi? Kama alilipwa kwa kupiga deki nyumbani kwa ZZK - Prezooo atueleze... Plz Mods muiteni Ben Saanane aje kujibu......
Mkuu vipi wale vijana waliofungwa kule mtwara kwasababu ya kutetea gesi mbona umewatelekeza?au wewe unajificha nyuma ya keyboard tu huna lolote?Jela zipo kwa ajili ya watu kama kileo,mjela jela siku zote panapomfaa ni jela tuh
Nani akuhoji wewe??
Una nini cha kuhojiwa,watu tunakucheza shere tuh humu ndani,
Tunakufanya kama mwanasesere tuh,eti nayeye anasema ana mwanasheria,lol..
Yan unataman maisha yasiyo yako wewe pimbi,
ENZI ZILE ULIPOKAWA UNATAMBA NA VERIFIED ID NILISHAWAHI KUKUAMBIA KUWA WEWE NI TAPELI NA FAMILIA YA NYERERE HAIKUTAMBUI,SO MIMI NAKUITA YERICKO "X',UKANISHITAKI KWA MODS NIKAPIGWA BAN,SASA LEO MODS WAMETAMBUA UKWELI WA YALE AMBAYO TULIKUWA TUNASEMA HUMU SIKU ZOTE,SASA KWA RAHA ZANGU NAKUITA YERICKO X,VIPI UNAWEZA KUNISHITAKI KWA MODS??
😎 😎 CC Ritz MwanaDiwani kahtaan CHAMVIGA Ng'wamapalala@Bokoharam n etc,
Tapeli maarufu wa JF anapatikana anga hizi leo...
unauvua utu wako sababu ya pesa! shame on Zitto! afe na yeye akaungane na balali, maana ccm wakishakutumia wanakuflush asap! puuuuuuuuuuuu!Mkuu Chamviga Zitto ni mchafu siku nyingi sana hata kwa maji taka hatasafishika!!! That is maji taka ni masafi kuliko Zitto!!! Si mlitegemea angepata public sympathy!!!!!??? Watanzania wangeandamana!!!! Hakuna kitu kama hiki kwa kuwa alishajulikana!!!! Watanzania makini walifurahi sana!!! Kwenye vijiwe vya kahawa na bar ilikuwa ni cheers tu mkuu!!! Bravo CDM!!
Familia ya mwalimu hawajalalamika!!! Tunao hapa JF!!! Sasa wewe ni nani unayelalamika!!!! Mambo ya familia ya Baba wa Taifa ni ya familia yao tu period!!! Mlianza kumpinga yule mbunge, hadi wanafamilia ya Nyerere walipowatolea tamko mkaaibika!!!!
Kuliko ile uliyokuwa nayo wewe wakati unajifanya kutetea gesi haitoki umepata mlungula huonekani kulizungumzia tena suala hilo umeishia kutafuta cheap popularity kwenye suala la zitto ili upate tena kula kama ilivyokuwa kwenye gesiHao njaa zinawasumbua,
Hakuna utumwa m'baya sana kama huo wa kuchumia tumbo,wameshafahamika,
Ni watu wa kuwapuuza na kuwadharau na njaa zao
"Kwa kweli sijui hata mimi ni waraka gani, ingawa hivi karibuni kulikuwa na waraka wa siri uliodaiwa kutoka CHADEMA, na ambao ulijaa tuhuma za usaliti. Lakini huo tuliishaukana siku nyingi. Labda kuna mwingine," alisema Kileo.
-Tanzania daima.