Said Buko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 245
- 46
na wewe u msukule?....
....Alifikiri Watanzania watamuunga mkono!!!
na wewe u msukule?....
....Alifikiri Watanzania watamuunga mkono!!!
...Mkuu mbona mnakimbilia polisi?
Chezea jela weye! thubutu...!!! Na bado tu atafunga mpaka blog..lakini hili analo tu.
Tena huu ni wakati mwafaka wa kufungwa jela kwa huyunkijana halafuni ile kesi ya kumwagia tindikali itamkuta huko.Huyu Kijana wa Kichaga ndoto zake zitazimwa na gereza.
Huyu msaliti anatapatapa sana. Ngoja tumfukuze rasmi chadema.
CHADEMA punguzeni hizo siku badala ya 14 ziwe saba atimuliwe huyu msaliti
mbona ccm imejaa wahalifu ( wezi majangili, wabakaji, wang'oa kucha and others of the same nature ) wapo uraiani?????Kwa awamu hii ni vema kileo akafungwa jela tumechoka kukaa na vijana waharifu mtaani.
nadhani kileo alipost kwenye blog yake ule waraka uliokuwa jf kuhusu zito alivokuwa akipokea hela crdb na german
kama ni huo anajua kabisa kilewo sio mhusika wala mwandishi wa huo waraka
ni watu wa usalama na zito anawajua
...angeshtaki na jf pia
Chezea jela weye! thubutu...!!! Na bado tu atafunga mpaka blog..lakini hili analo tu.
vifaranga vya mbowe hivyo naona vinaanza kung'ang'aniwa,ngoja amkabe hadi mama yao ajitokeze