Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,232
hata Nelson Mandela aliitwa gaidi na Wamerakani lakini leo hii anaheshimika kila kona ya dunia.
Kwahiyo?
hata Nelson Mandela aliitwa gaidi na Wamerakani lakini leo hii anaheshimika kila kona ya dunia.
Kwahiyo?
Wacha kumdhalilisha Mzee Mandela kumfaninisha waganga njaa.hata Nelson Mandela aliitwa gaidi na Wamerakani lakini leo hii anaheshimika kila kona ya dunia.
wacha kumdhalilisha mzee mandela kumfaninisha waganga njaa.
Kikwapa! kutokana na magwanda kujaa jasho.
Mimi hapa ndio napozidi kumuona Zitto ndumi la kuwili,kwa sababu kwenye press conference hakukanusha wala kufafanua waraka huu wa yeye kuhongwa pesa na pia kushirikiana na TISS na hata hajazungumzia uhusiano wake na Jack Zoka na Ighondu na mnyumbuliko wa pesa hizo kutoka NMB kwenda Ujerumani kwa Andrea na pia kuwatumia wakina Kitila,Mwampamba,Mchange,Ben Saanane,Juliana Shonza etc.
Baadala yake kakimbilia Polisi na kufungua defamation case ili suala hili liishe kimya kimya na kuepusha kwa Zitto kufafanua bali Kileo na obviously Polisi inajulikana kwenye siasa inavyotumika!!
Ben Saanane upo kwenye waraka ule kuwa ulitumiwa pesa na Zitto,please tueleze ulipewa kwa minajili gani??!!
Wacha kumdhalilisha Mzee Mandela kumfaninisha waganga njaa.
chadema wataisoma namba,
mm chadema ikifa siwezi kulia nitaitupa mto kagera.
wabaguzi, wadini na wafitini mungu akiaangamizilie mbali chama cha wavuta bangi na malaya kama malay slaa na mbowe.
kazi kuchukua wake za watu na kuzaa nje ya ndoa zao
CHADEMA punguzeni hizo siku badala ya 14 ziwe saba atimuliwe huyu msaliti[/QUOnTE]
Nimripenda sans hii ya Asha
Wanajf...
Ni kweli niliitwa na jeshi la polisi na mimi bila kusita nilipokea wito huwo kwa furaha kubwa sana. Tulifika makao makuu ya jeshi tukakubaliana tufanya hayo mahojiano kesho, jambo ambalo nimeitiwa ni moja tu, nilielezwa kuwa zitto kaenda kulalamika ila sikuambiwa kaenda kunilalamikia kwa kosa gani.
kwa hiyo baada ya kesho wakili wangu ataeleza umma wa watanzania kile kilichojiri kutokana na mahojiano hayo.
Ni weke wazi mambo kazaa ya msingi na kwaajili ya rekodi sahihi, sina hofu hata kidogo kuitwa na jeshi la polisi wala sintokaa niwe na hofu pale nitakapoitwa na jeshi la polisi kama sababu ni ukombozi wa nchi yangu na siyo ubakaji.
msiwe na hofu vitisho tutaletewa vikubwa zaidi ya kuitwa polisi au kufungwa jela, ila lengo letu ni lazima litimie la kukomboa nchi hii.
We shall overcome, never say never.
Vipi mrembo, kitu gani kimenuka?
Wakristo wanatumia hizi.....
![]()
Bi. Mkubwa punguza hoja za maji-taka. asa hapo ndiyo umeandika nini?! em soma na utafakari ulichoandika.
tulia ukunwe