Kikwapa! kutokana na magwanda kujaa jasho.
Jitayarishe uende ukasema ule uzi uliounzisha JF wa tuhuma kwa Zitto chanzo chake ni wapi. Au uliutunga mwenyewe?
Gaidi at work
madam faiza foxy, kwa nini ninyi manyinyiem mnamtetea sana mbunge wa kigoma kaskazini kwa usaliti alioufanyia chama chake? what is the reason behind madam faiza foxy?
Wanajf...
Ni kweli niliitwa na jeshi la polisi na mimi bila kusita nilipokea wito huwo kwa furaha kubwa sana. Tulifika makao makuu ya jeshi tukakubaliana tufanya hayo mahojiano kesho, jambo ambalo nimeitiwa ni moja tu, nilielezwa kuwa zitto kaenda kulalamika ila sikuambiwa kaenda kunilalamikia kwa kosa gani.
kwa hiyo baada ya kesho wakili wangu ataeleza umma wa watanzania kile kilichojiri kutokana na mahojiano hayo.
Ni weke wazi mambo kazaa ya msingi na kwaajili ya rekodi sahihi, sina hofu hata kidogo kuitwa na jeshi la polisi wala sintokaa niwe na hofu pale nitakapoitwa na jeshi la polisi kama sababu ni ukombozi wa nchi yangu na siyo ubakaji.
msiwe na hofu vitisho tutaletewa vikubwa zaidi ya kuitwa polisi au kufungwa jela, ila lengo letu ni lazima litimie la kukomboa nchi hii.
We shall overcome, never say never.
nayefanya kosa anapelekwa mahakamani ama? au nyie mahakama ziko kwenye mikono ya kamanda wa anga?
Kuna Dada /mama mmoja ni mjane au mtarikiwa humu, manake hoja zake anazotoa inaoneka ana stresses!
Zinazidisha.
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????
Wanajf...
Ni kweli niliitwa na jeshi la polisi na mimi bila kusita nilipokea wito huwo kwa furaha kubwa sana. Tulifika makao makuu ya jeshi tukakubaliana tufanya hayo mahojiano kesho, jambo ambalo nimeitiwa ni moja tu, nilielezwa kuwa zitto kaenda kulalamika ila sikuambiwa kaenda kunilalamikia kwa kosa gani.
kwa hiyo baada ya kesho wakili wangu ataeleza umma wa watanzania kile kilichojiri kutokana na mahojiano hayo.
Ni weke wazi mambo kazaa ya msingi na kwaajili ya rekodi sahihi, sina hofu hata kidogo kuitwa na jeshi la polisi wala sintokaa niwe na hofu pale nitakapoitwa na jeshi la polisi kama sababu ni ukombozi wa nchi yangu na siyo ubakaji.
msiwe na hofu vitisho tutaletewa vikubwa zaidi ya kuitwa polisi au kufungwa jela, ila lengo letu ni lazima litimie la kukomboa nchi hii.
We shall overcome, never say never.
Polisi yetu hawana uwezo wa kushughulikia makosa ya mawasiliano ya kimtandao.
Badala ya kumuita Kilewo wangechukua court order kuchukua computer zake kuzifanyia forensic analysis.
Wameisha establish original source? Ili wachukue hizo IP address na data nyingine kama muda wa kupost huo waraka?.
This is a case of evidence, you can not convict someone on cyber crime without proving beyond reasonable doubt to be source. Tuhuma hizi ni ngumu kuzihakiki
Hapana, zinajumlisha.