Umeanza mwenyewe.....nimekuuliza swali...kama uliona ni la kijinga basi ungelidharau na kuendelea na mengine.....ulifanya hivyo? La hasha.....ukanijibu ki-smart alecky.....sasa unataka mimi nifanyeje.....kwa taarifa yako mimi ni mawe kwa mawe tu....kama huyawezi.....nenda uka enlist msaada wa Pundit na Njabu Hatari kama ulivyosema au kaa kimya na usifungue mdomo wako kuhusu mimi. Get it?
Nani kaanza, mie nimemwuliza Kevo, wewe ukadandia kwa swali chafu. Kwani wewe nilivyotaja nyama hatari na Pundit, si ungelidharau na kuendelea mengine; ulifanya hivyo? la hasha......nikakujibu stahili ya swali lako, sasa nataka uanzishe thread uanze na hilo swali uliloniuliza huko ndio utajua kama naweza kutupa mawe au la, usiwaogope sana Pundit na Nyama hatari, wao ni member tu kama mimi, ukisikia majina yao wala usihamaki. Na pia uache ubaku baku wa kujibu maswali ambao halikuhusu, nitaishia kukutajia Pundi na Nyama hatari. Get it,