Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
zimenifikia taarifa za uhakika kuwa Zitto alizidiwa jana majira ya usiku na ilipofika saa 5 usiku, watu walio karibu walilazimika kumkimbiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili ambako amelazwa hadi hivi sasa. Sijapata taarifa anasumbuliwa na nini hasa.
Natanguliza pole zangu kwake na kumuombea apone haraka na kurejea katika afya yake njema, bado taifa linamuhitaji.
 
Muhimu awe hakufanya uchoyo na makaburasha na zana amekwisha kuronyoa kwa wengine.
 
Tunamwomba Mwenyezi Mungu amjalie afya njema mapema aweze kurudi kuwatumikia wananchi wake.
Get well soon Zitto.
 
MN

Endelea kutuhabarisha kitu gani kinaendelea, tunamtakia afya njema na apone haraka!

We are mindful coz he is representing the will of people, he is a genuine agent of change and persistenly dareful.

Take no chance, wabaya, na wabinafsi wanaojifanya miungu Mtu huwa wanatumia mianya kama hii kusubortage. Lets be vigilant in protecting such leaders!
 
Mungu AMPE UZIMA mara moja kwani Tunamwitaji.
Na kama kuna mkono wa MTU basi watamwaga damu bongo.
 
Mungu ampe nafuu salama.... Pia awape nguvu madawa na madaktari waweze kumhudumia vyema!!
 
Hajambo, anaendelea kuangaliwa afya yake na Inshaalah atarejea nyumbani wakati wowote kuanzia leo baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina wa afya yake. Yuko katika mikono salama.
 
Unajua tushaumwa NYOKA,hivyo tukiguswa unyoya tu....MUNGU aepushiye mbali,twamtakia Mhe.Zitto heri na twamuombea afya njema.
please keep us posted on this very important issue.
 
I was really worried baada ya kugundua kuwa hata Dr Slaa naye ameshindwa kuhudhuria kikao cha bunge cha asubuhi.
 
jamani msisahau zito ni binadamu kama binadamu wengine,ila tunamwombea apone haraka
 
Ndumba hizo zinatafuta roho ya mtu ,yaani ule ukumbi wa Bunge ulikuwa usifanyiwe kikao chochote mpaka Serikali ifanye tambiko.
Yaani jamaa kaonekana anakwanga na kumwaga maunga ya mifupa ya watoto wachanga(Wameishagundua kwenye maabara kuwa ni unga wa mifupa ya binadamu ila wameamua kuficha kuepuka aibu))
 
Mungu AMPE UZIMA mara moja kwani Tunamwitaji.
Na kama kuna mkono wa MTU basi watamwaga damu bongo.

mkuu nawe kwa kuamrisha hujambo.

Kama kweli ni mgonjwa nawaombea wote pamoja naye na wagonjwa wote walio hapo mhimbili walio lazwa naye na pia kote dunia Mungu apate kuwashushia mkono wa rehema na hatimaye warejee ktk hali yao ya kawaida na kwayo wapate kukutukuza wewe ulie Juu Bwana wa mabwana
 
May the good Lord bless and protect all those raising thier voices for the people. Get well soon Zitto there are many of us pryaing for you.
 
Hii habari mimi siipendi sana kwani hata ule mjadala wa Chifupa niikuwa nikiufuatilia toka mwanzo na watu wakidhani ni utani utani mara KAFA!

Tunataka mtupe UPDATE na kama ni kamalaria tu ama kaugonjwa ka kawaida kwetu wanandamu basi pia tujulishwe ili tusianze kuwa na wasi wasi kwani ni rahisi sana kwetu kufikiria vibaya.

Ni watu wengi sana wamedhurika hapo BONGO na hakuna kinachofanyika na badala yake watu husahahu!

Ni wakatiwa kudai taarifa zote za uchunguzi zitolewe kuanzia na kilichomsibu Mwakyembe pamoja habari za UCHAWI ambao spika mwenyewe ameshindwa kutupa taarifa na bado bunge linaendelea!

Spika Sitta kama matatizo ya Zitto yamesababishwa na mtu yeyote huko BUNGENI..BASI NA WEWE UNA LAWAMA ZA KUBEBA!
 
mkuu nawe kwa kuamrisha hujambo.

Kama kweli ni mgonjwa nawaombea wote pamoja naye na wagonjwa wote walio hapo mhimbili walio lazwa naye na pia kote dunia Mungu apate kuwashushia mkono wa rehema na hatimaye warejee ktk hali yao ya kawaida na kwayo wapate kukutukuza wewe ulie Juu Bwana wa mabwana

Nimemuamrisha nani?
 
Mungu AMPE UZIMA mara moja kwani Tunamwitaji.
Na kama kuna mkono wa MTU basi watamwaga damu bongo.

Subutu ... damu yako pengine .. mambo ya siasa hayo wanaofaidi ni wenyewe ... sisi tutamwaga wino tu .. tusichafue nchi yetu bwana .
 
Anaendelea vizuri na huenda akapata discharge muda wowote kuanzia sasa ,japo kaugua kipindi kibaya kwani mchango wake kwenye hotuba ya madini ulikuwa unahitaqjika sana sana .

Mungu yuu upande wa Zitto hivyo msihofu atapona .
 
Get well soon Zitto, malaria kali lbda, alikuwa kwenye ziara jimboni kwake na Tanga, amechanganya mbu tu. Msihofu ndugu zangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom