Maiti ya Mtoto yazuiliwa Muhimbili Hospital kisa pesa za kuikomboa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,748
Hivi Wizara ya Afya na Serikali Kwanini mnaendekeza sana hii tabia ya kuzuia maiti kisa Pesa?

Inakera na inaboa kiukweli

======
Handeni. Familia ya Salim Kivumbi, wilayani Handeni, Mkoan Tanga, imebidi kuingia mtaani kukusanya fedha, kwaajili ya kukomboa mwili wa mtoto Salehe Zuberi (5) ambaye kabla ya kufariki, alikuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

Akizungumzia suala hilo leo Novemba 16,2023 wilayani Handeni, mkoani Tanga, babu wa mtoto huyo Salim Kivumbi amesema wanadaiwa Sh2.4 milioni ambazo ni gharama za matibabu ya mtoto huyo.

Kivumbi amewaomba viongozi wa serikali na wananchi wasamalia wema kuisaidia familia hiyo kuweza kufanikiwa kupata mwili wa mjukuu wake kwaajili ya maziko kwa kuwa fedha wanayodaiwa, ni ngumu kwa familia hiyo kuwa nayo.

“Familia haina uwezo wa kuipata fedha hiyo, tunawaomba viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na wengineo waangalie ni jinsi gani wataweza kuisaidia familia hii kumpata mjukuu wangu na kumzika kwa heshima zote,” amesema.

Ameongeza kuwa umri wa mjukuu wake huyo bado ni mdogo sana, hivyo ombi lake ni kupewa huo mwili ili azike kwani hata ukizuiwa pesa inayohitajika familia yake hawataweza kuipata.

"Kwa Kiongozi anayehusika pale Muhimbili ombi langu namtaka yule mtoto mwenyewe, ni mdogo sana, sasa naona ajabu bili inazidi zaidi na yeye ni mdogo ana miaka mtano, sasa naomba serikali inisaidie iruhusu maiti ya huyu mjukuu nije nizike," amesema Kivumbi.

Akielezea kuhusu hali ya ugonjwa wa mtoto huyo hadi kukutwa na mauti, mama mkubwa wa marehemu Mariam Kivumbi amesema alipatiwa matibabu hospitali ya Handeni na baadae kuhamishiwa Muhimbili hadi kifo.

Amesema wakati wanaendelea na matibabu alishawaambia baadhi ya wahudumu kuwa maisha yao ni duni,na watahitaji kusaidiwa ila hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka mtoto anafariki.

Dada wa marehemu Shufaa Kivumbi amesema kuanzia Jumatano na Alhamisi tangu kutokea tukio hilo, wamezunguka mtaani na kufanikiwa kichangisha Sh150, 000 ila wameshaituma kwa wenzao waliopo Muhimbili.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Aminiel Aligaesha amesema hana taarifa kuhusiana na kuzuiwa kwa mwili huo, hivyo kuomba mawasiliano ya familia husika ili afuatilie.

Amesema kuwa atawasikiliza wazazi hao kujua walipatiwa vipi matibabu na madeni yake yakoje, ili kuangalia ataweza kuwasaidia vipi kwenye suala hilo.
 
Hao "CHADEMA" wanaojidai wanaiongoza serikali na kuzishika sera kiutekelezaji wajitafakari bila kukurupuka.Sera ya uchangiaji huduma za afya zisiwadhuru watendaji wa afya wanatekeleza ilani na sera za chama.
 
Hivi Wizara ya Afya na Serikali Kwa nini mnaendekeza sana hii tabia ya Kuzuia maiti kisa Pesa?

Wewe CHOICE VARIABLE na wapuuzi wenzako kina KABENDE MSAKILA,LUCAS MWASHAMBWA, JIDULABAMBASI nk kila siku mnajaza JF nyuzi za kumsifia BASHITE,Dr.MBUNI,kuisifia Serikali na kuiponda CHADEMA,acha UCHOKO wa kuililia maiti ya huyo mtoto KENGE wewe,acha maiti izuiwe hata mwaka mzima maana CHADEMA ndio wanaoishikilia
 
Hospitali hawatibu vizuri ili watu wafe, wana familia wadaiwe mamilioni
 
Wewe CHOICE VARIABLE na wapuuzi wenzako kina KABENDE MSAKILA,LUCAS MWASHAMBWA, JIDULABAMBASI nk kila siku mnajaza JF nyuzi za kumsifia BASHITE,Dr.MBUNI,kuisifia Serikali na kuiponda CHADEMA,acha UCHOKO wa kuililia maiti ya huyo mtoto KENGE wewe,acha maiti izuiwe hata mwaka mzima maana CHADEMA ndio wanaoishikilia
Bashite alisifiwa ndio watu wakileta ujinga huko hospital wasifiwe au?

Acha kuwa mpumbavu
 
Nchi ngumu sana hii,halafu unakuta chawa wanashindana kila siku kuanzisha nyuzi za kusifia humu,kwa kweli huwa nashangaa sana,kuna maiti ya mtu mzima ilizuiwa Kenya kwa miaka 5 kisa inadaiwa Pesa na Familia haina uwezo,juzi Erick Omondi alipopewa taarifa na Mama wa huyo Marehemu ndio akaanzisha Harambee ndani ya siku moja Pesa yote ikapatikana wakaenda kulipa,wakanunua Jeneza na kwenda kuichukua Maiti na kwenda kuzika
 
Hivi Wizara ya Afya na Serikali Kwa nini mnaendekeza sana hii tabia ya Kuzuia maiti kisa Pesa?

Inakera na inaboa kiukweli

======
Handeni. Familia ya Salim Kivumbi, wilayani Handeni, Mkoan Tanga, imebidi kuingia mtaani kukusanya fedha, kwaajili ya kukomboa mwili wa mtoto Salehe Zuberi (5) ambaye kabla ya kufariki, alikuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

Akizungumzia suala hilo leo Novemba 16,2023 wilayani Handeni, mkoani Tanga, babu wa mtoto huyo Salim Kivumbi amesema wanadaiwa Sh2.4 milioni ambazo ni gharama za matibabu ya mtoto huyo.

Kivumbi amewaomba viongozi wa serikali na wananchi wasamalia wema kuisaidia familia hiyo kuweza kufanikiwa kupata mwili wa mjukuu wake kwaajili ya maziko kwa kuwa fedha wanayodaiwa, ni ngumu kwa familia hiyo kuwa nayo.

“Familia haina uwezo wa kuipata fedha hiyo, tunawaomba viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na wengineo waangalie ni jinsi gani wataweza kuisaidia familia hii kumpata mjukuu wangu na kumzika kwa heshima zote,” amesema.

Ameongeza kuwa umri wa mjukuu wake huyo bado ni mdogo sana, hivyo ombi lake ni kupewa huo mwili ili azike kwani hata ukizuiwa pesa inayohitajika familia yake hawataweza kuipata.

"Kwa Kiongozi anayehusika pale Muhimbili ombi langu namtaka yule mtoto mwenyewe, ni mdogo sana, sasa naona ajabu bili inazidi zaidi na yeye ni mdogo ana miaka mtano, sasa naomba serikali inisaidie iruhusu maiti ya huyu mjukuu nije nizike," amesema Kivumbi.

Akielezea kuhusu hali ya ugonjwa wa mtoto huyo hadi kukutwa na mauti, mama mkubwa wa marehemu Mariam Kivumbi amesema alipatiwa matibabu hospitali ya Handeni na baadae kuhamishiwa Muhimbili hadi kifo.

Amesema wakati wanaendelea na matibabu alishawaambia baadhi ya wahudumu kuwa maisha yao ni duni,na watahitaji kusaidiwa ila hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka mtoto anafariki.

Dada wa marehemu Shufaa Kivumbi amesema kuanzia Jumatano na Alhamisi tangu kutokea tukio hilo, wamezunguka mtaani na kufanikiwa kichangisha Sh150, 000 ila wameshaituma kwa wenzao waliopo Muhimbili.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Aminiel Aligaesha amesema hana taarifa kuhusiana na kuzuiwa kwa mwili huo, hivyo kuomba mawasiliano ya familia husika ili afuatilie.

Amesema kuwa atawasikiliza wazazi hao kujua walipatiwa vipi matibabu na madeni yake yakoje, ili kuangalia ataweza kuwasaidia vipi kwenye suala hilo.
We fala si kila siku unasifia sifia mboga mboga na serikali imekuaje tena
 
Eeeti umepoteza mtu bado unadaiwa tena pesa na mwili wanauzuia!! hivi na nchi zingine Wana huo utaratibu ?
 
View: https://www.instagram.com/p/CzvNHfctG5-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom