Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Angalia hapo nani anaakomandiwa

Kwa watu wenye IMANI wanapomwomba Mungu HAKI YAO WAO HUIDAI?
WE HUJUI KUWA KWA MUNGU HAKI ZETU SISI HUDAI!

NA YES NARUDIA TENA....MUNGU AMPE UZIMA MARA MOJA!

Kwani watu WA MUNGU HUAMINI MADAI YA HAKI NA HAKI HAIOMBWI HUDAIWA!

Na kutokana na HALI HALISI....UZIMA WA MTU KAMA YEYE NI HAKI KWA MTANZANIA KAMA VILE ILIVYO NI HAKI KWA MTANZANIA KUPATA UHURU WAKE!

UHURU HUDAIWA...!

Make sense?
 
Subutu ... damu yako pengine .. mambo ya siasa hayo wanaofaidi ni wenyewe ... sisi tutamwaga wino tu .. tusichafue nchi yetu bwana .

Na kweli kuna nyie MABINAFSI WENYE KUJIPENDA NAFSI ZAO WENYEWE!

Na woga wako WA KIKUNGURU!

Sasa na HUO MOYO WAKO HAPO UNAODUNDA HAUAMINI UTASIMAMA SIKU MOJA?

WE unayesema WINO...MABABU ZETU WALITUMIA MATE KWENYE VITA YA UHURU?

AMA NI MAJI MAJI?
 
mimi nilimshauri ajilinde Kiafrika hawa akina kingunge na Chenge siyo watu wazuri.
kaka tunakuombea Mungu akulinde.
 
mimi nilimshauri ajilinde Kiafrika hawa akina kingunge na Chenge siyo watu wazuri.
kaka tunakuombea Mungu akulinde.

hiyo avatar yako inatisha!!!!!!!! afadhali hata ile ya nyoka, duh!
 
eh nini tena jamani au ndo washamkolimba?Ngoja nampigia simu babu sasa hivi aelekeze ulinzi wake katika kiumbe hiki MUHIMU sana kwa taifa letu.Majeshi yake yote yataelekea huko ili lisiendelee kumpata jambo.
HUREEE KABWE,HUREEE CHADEMA!!
UGUA POLE TUNAKUOMBEA UPATE NAFUU MAPEMA UKAENDELEE KUTUWAKILISHA
 
Is it turning you on....?

mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu, wewe kila wakati unawaza kushoto tu, sehemu inayokuwezesha kufikiri imewekwa sehemu gani kwenye mwili wako? nakustahi; Nitawasiliana na Pundit na Nyama Hatari wajue jinsi ya kukuadabisha.
 
zimenifikia Taarifa Za Uhakika Kuwa Zitto Alizidiwa Jana Majira Ya Usiku Na Ilipofika Saa 5 Usiku, Watu Walio Karibu Walilazimika Kumkimbiza Katika Hospitali Ya Taifa Muhimbili Ambako Amelazwa Hadi Hivi Sasa. Sijapata Taarifa Anasumbuliwa Na Nini Hasa.
Natanguliza Pole Zangu Kwake Na Kumuombea Apone Haraka Na Kurejea Katika Afya Yake Njema, Bado Taifa Linamuhitaji.

Get Well And Good Soon Brother ZITTO
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu, wewe kila wakati unawaza kushoto tu, sehemu inayokuwezesha kufikiri imewekwa sehemu gani kwenye mwili wako? nakustahi; Nitawasiliana na Pundit na Nyama Hatari wajue jinsi ya kukuadabisha.

Walete hao mabwana zako Pundit na huyo Njabu (Nyama) Hatari.....

Wala huna haja ya kunistahi....sema unachotaka kusema. Mimi ni Nyani Ngabu.....down and ready for whatever with whoever.....get it? So if you want bring it on you nasty smelly H.O. so I can superman that you know what......
 
Hii habari mimi siipendi sana kwani hata ule mjadala wa Chifupa niikuwa nikiufuatilia toka mwanzo na watu wakidhani ni utani utani mara KAFA!

JMushi, naamini ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa na daktari wake. Cha msingi tuendelee kumuombea uzima apone kisha aendelee na kazi yake muhimu ya kuwakilisha wananchi.
Kizuri zaidi ni kuwa Mh. Zitto ni memba katika jamvi hili, hivyo basi kama Mungu ambavyo atakuwa kapenda Mh. Zitto ataona umuhimu wa kutujulisha kilichotokea kwake. Na hiyo itakuwa hiari yake mwenyewe maana hayuko obligated kutueleza ni ugonjwa gani ulikuwa unamsumbua. Kama akiona ni sahihi kutaja ugonjwa basi hiyo itakuwa ni juu yake yeye mwenyewe.
 
Walete hao mabwana zako Pundit na huyo Njabu (Nyama) Hatari.....

Wala huna haja ya kunistahi....sema unachotaka kusema. Mimi ni Nyani Ngabu.....down and ready for whatever with whoever.....get it? So if you want bring it on you nasty smelly H.O. so I can superman that you know what......

are you insane? hebu kaanzishe thread ya kunitolea maneno machafu. Hapa si mahala pake, okay?
 
Kwa watu wenye IMANI wanapomwomba Mungu HAKI YAO WAO HUIDAI?
WE HUJUI KUWA KWA MUNGU HAKI ZETU SISI HUDAI!

NA YES NARUDIA TENA....MUNGU AMPE UZIMA MARA MOJA!

Kwani watu WA MUNGU HUAMINI MADAI YA HAKI NA HAKI HAIOMBWI HUDAIWA!

Na kutokana na HALI HALISI....UZIMA WA MTU KAMA YEYE NI HAKI KWA MTANZANIA KAMA VILE ILIVYO NI HAKI KWA MTANZANIA KUPATA UHURU WAKE!

UHURU HUDAIWA...!

Make sense?

Not yet at all
 
Walete hao mabwana zako Pundit na huyo Njabu (Nyama) Hatari.....

Wala huna haja ya kunistahi....sema unachotaka kusema. Mimi ni Nyani Ngabu.....down and ready for whatever with whoever.....get it? So if you want bring it on you nasty smelly H.O. so I can superman that you know what......

Jamani hizi ni lugha gani hapa? Mmh haya JF na kitimutimu.
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu, wewe kila wakati unawaza kushoto tu, sehemu inayokuwezesha kufikiri imewekwa sehemu gani kwenye mwili wako? nakustahi; Nitawasiliana na Pundit na Nyama Hatari wajue jinsi ya kukuadabisha.

Its driving you nuts huh!Dont be scared to say so mama.niliambiwa ni change avatar ya nyoka watoto wanapata nightmares.
Mungu amsaidie Zitto jamani he is so good to loose him.
 
are you insane? hebu kaanzishe thread ya kunitolea maneno machafu. Hapa si mahala pake, okay?

Umeanza mwenyewe.....nimekuuliza swali...kama uliona ni la kijinga basi ungelidharau na kuendelea na mengine.....ulifanya hivyo? La hasha.....ukanijibu ki-smart alecky.....sasa unataka mimi nifanyeje.....kwa taarifa yako mimi ni mawe kwa mawe tu....kama huyawezi.....nenda uka enlist msaada wa Pundit na Njabu Hatari kama ulivyosema au kaa kimya na usifungue mdomo wako kuhusu mimi. Get it?
 
are you insane? hebu kaanzishe thread ya kunitolea maneno machafu. Hapa si mahala pake, okay?

Hivi kujadiliana mpaka kutukanana ??

Mambo haya yatoka wapi tena jamani?? Tukateni ishu si mambo ya kuwindana .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom