Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Ayatollah Zitto mbona yuafanya mambo kwa kificho... supreme leader anatakikana akuwe mtu strong!

Supreme Leader anawahonga Wahariri ubwabwa, he is using exactly technique of his sponsor (CCM) to common Mwananchi. The question is Editors will play?
 
Last edited by a moderator:
Usilo lijua ni Usiku wa GIZA.,
1. ZIITO jimbo gani? Kigoma kaskazini alishafeli na uchaguzi ulio pita aliokolewa na JK.

2. Arfi kabla hata ya mambo haya ya usaliti vijana wa Mpanda sikunyingi walishataka Afukuzwe, hana ushawishi wowote kule.

October unaweza shangaa hawapati mbunge hata mmoja labda madiwani kama 3.
 
1. Anawaumiza sana vichwa huyu mtu sijui kwa nini???!!
2. Hivi kama kakutana nao nini mbaya??!!
3. Kujitangaza ni kawaida na wote wanajitangaza wengine hadi nyimbo wanazo. . . . . . .TOT band hii ni moja ya kazi zake.
4. Vyama vya siasa bhana. . . . . . . .
 
Hahaaa yaani Ayatollah Zitto ni sawa na Ali Choki mzee wa farasi mzee wa kizigo mzee wa tope arabe
 
Ni mtu mjinga pekee awezaye kubeza nguvu ya vyombo vya habari katika kukieneza Chama/Taarifa kwa wananchi.

Chombo cha Habari ni Kiungo Muhimu sana kati ya Taasisi na Wananchi. Msomi Zitto analitambua hilo wala hawezi kulipuuzia.

Vyombo vya Habari vilichangia sana kumpa kura nyingi Dr.Slaa 2010 ila ni wajinga pekee msioweza kulitambua hili.

Acheni watu makini wafanye Siasa, nyie kaeni hapa mkipiga Madomo kama desturi ya wabunge wenu akina Lissu na Lema mkija kustuka kutakuwa kumekucha.
 
1. Anawaumiza sana vichwa huyu mtu sijui kwa nini???!!
2. Hivi kama kakutana nao nini mbaya??!!
3. Kujitangaza ni kawaida na wote wanajitangaza wengine hadi nyimbo wanazo. . . . . . .TOT band hii ni moja ya kazi zake.
4. Vyama vya siasa bhana. . . . . . . .

Location: As per Assignment! (copied from your profile)
 
Nadhani wana uhakika na viti viwili mpaka sasa, cha Zitto na Arfi Mbunge wa Mpanda.

Butola huwezi amini, ACT wasahau kabisa kupata jimbo lolote mwaka huu. Zitto mwenyewe anajua Kigoma Kaskazini asingeweza tena kushinda hata kama bado angekuwa CHADEMA, wananchi wale walishamchoka sana na siasa zake za uchonganishi na undumilakuwili. Watanzania sio wajinga siku zote, hawawezi kumfuata Zitto kwa siasa zake.
 
Last edited by a moderator:
Mpango maalum uliosukwa na CCM, keshavuta zake!
 
Bora mrema alikuwa msaliti wakati amesha zeeka huyu dogo kafa mapema kwenye siasa awe tu mmachinga maisha yaende atashindwa hata kuoa

Ananikumbusha dogo Gambo Mrisho aliyekuwa DC wa Korogwe katimuliwa mapemaa bado mchanga, atapokelewa wapi?
 
zito ni mashine ya kusaga na kukoboa Kazi hio anaiweza ya kisiasa ccm na cdm wakae mkao Wa kula na mda mrefu bunge la budget likiisha anaondoka na watu cdm Kazi kwao

Labda kama anasaga sembe mbona katoka cdm kaenda anaenda act kama kweli yy mashine angeanza chama chake
 
Ananikumbusha dogo Gambo Mrisho aliyekuwa DC wa Korogwe katimuliwa mapemaa bado mchanga, atapokelewa wapi?

Huyu Gambo ana tatizo upstairs. Eti anataka ubungge wa Ilala amng'oe Zungu. Tusubiri
 
Zitto Kabwe ambaye ni Kiongozi mkuu wa ACT Tanzania usiku huu amefanya mkutano na wahariri wakuu wa vyombo vya habari Tanzania.

Mkutano na wahariri umeenda sambamba na chakula cha jioni katika hoteli moja katikati ya jiji.

Zitto ametumia nafasi hiyo kuwaomba wahariri wamsaidie kuitangaza ACT Tanzania ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kilete mapinduzi ya kweli katika siasa za Tanzania

Ina Maana Mpaka Manyerere Jackton Nae Amekalishwa Na Zitto Kabwe Usiku Kucha Wote Huo? Kweli Waandishi Wa Habari Bongo Ni Shida!
 
Hiki chama cha usiku au Ayatollaah ndio mtu wa usiku?
Naona matukio makubwa yanafanywa usiku.
Kadi kachukua usiku na sasa anaita wahariri usiku?
Anyways,asije kunimaliza mimi na panya wangu!
 
Ni mtu mjinga pekee awezaye kubeza nguvu ya vyombo vya habari katika kukieneza Chama/Taarifa kwa wananchi.

Chombo cha Habari ni Kiungo Muhimu sana kati ya Taasisi na Wananchi. Msomi Zitto analitambua hilo wala hawezi kulipuuzia.

Vyombo vya Habari vilichangia sana kumpa kura nyingi Dr.Slaa 2010 ila ni wajinga pekee msioweza kulitambua hili.

Acheni watu makini wafanye Siasa, nyie kaeni hapa mkipiga Madomo kama desturi ya wabunge wenu akina Lissu na Lema mkija kustuka kutakuwa kumekucha.

Kuwapa bahasha ili uandikwe? Huo ni ujuha..
 
Sishangai kwani zitto a.k.a zirro mambo yake niya gizani tuu hata kadi yake ya chama chake alichukuwa usiku Mungu andelea kushulika na msalit huyu
 
Hiki chama cha usiku au Ayatollaah ndio mtu wa usiku?
Naona matukio makubwa yanafanywa usiku.
Kadi kachukua usiku na sasa anaita wahariri usiku?
Anyways,asije kunimaliza mimi na panya wangu!

Bahasha zinatolewa usiku mkuu..
 
Vibahasha vilikuwepo?

cc Pasco aka mzee wa vibahasha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom