Nadhani wana uhakika na viti viwili mpaka sasa, cha Zitto na Arfi Mbunge wa Mpanda.
huu ni mfano halisi , mkuu una akili sana ! wenye akili wamekuelewa .
Zitto ni sawa na Ali Choki!!
sisi tunawaza kuchukua dola yeye anawaza kuwa chama kikuu cha upinzani!Zitto Kabwe ambaye ni Kiongozi mkuu wa ACT Tanzania usiku huu amefanya mkutano na wahariri wakuu wa vyombo vya habari Tanzania.
Mkutano na wahariri umeenda sambamba na chakula cha jioni katika hoteli moja katikati ya jiji.
Zitto ametumia nafasi hiyo kuwaomba wahariri wamsaidie kuitangaza ACT Tanzania ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kilete mapinduzi ya kweli katika siasa za Tanzania
Arfi hawezi kushinda tena.Nadhani wana uhakika na viti viwili mpaka sasa, cha Zitto na Arfi Mbunge wa Mpanda.
Mpaka muda huu kwa kweli sijui ana kazi gani, kama nilivosema nasubiri nione atafanya nini ndo ntajua kazi yake.
tafadhali si ACT-Wazalendo?Zitto Kabwe ambaye ni Kiongozi mkuu wa ACT Tanzania usiku huu amefanya mkutano na wahariri wakuu wa vyombo vya habari Tanzania. Mkutano na wahariri umeenda sambamba na chakula cha jioni katika hoteli moja katikati ya jiji. Zitto ametumia nafasi hiyo kuwaomba wahariri wamsaidie kuitangaza ACT Tanzania ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kilete mapinduzi ya kweli katika siasa za Tanzania
haha ACT nayo ni saccos na wachaga..naona hadi office kwake,kila kitu anafanya yeye...alichokuwa akiwasingizia akina ambowe kumbe kilikuwa ni wishes zake.Zito punguza kuwapelekesha hawa wachaga na saccos yao.
Nyerere hakuwahi kuasisi chama cha siasa. Zitto amewahi. Kwanini tumsikilize nyerere badala ya zitto?CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE , huwezi kutangaza chama kwa kuwanunulia waandishi wali maharage .
Mtei na wenzio walianzi kwa Bob na BOB wakiwa wameshikana CCM.Zitto kaanzisha akiwa CDM na Baadae kutokubaliwa na wenzio akapindua na sasa kila kikao ni nyumbani kwake.Zitto aliyowatuhumu CDM ayafanya kuonyesha ndio alikuwa antaka CDM wafanye hawakufanya kaamua yafanya.Ndie mwenye chama,ndio juu na nafsi nyingine,kaibadili katiba hata haijafika mwaka ili imweke..ikipita miaka mitano atakuwa kabadili km mashairi ya Diamond yanavyotegemea Ali Kiba kasema nini?Nyerere hakuwahi kuasisi chama cha siasa. Zitto amewahi. Kwanini tumsikilize nyerere badala ya zitto?
haha ACT nayo ni saccos na wachaga..naona hadi office kwake,kila kitu anafanya yeye...alichokuwa akiwasingizia akina ambowe kumbe kilikuwa ni wishes zake.
ACT Wazalendo ni ya nani?Loosers...Chadema ni saccos ya Mtei na mkwe wake Mbowe,na ni chama cha Wachaga tu kwani nani hajui?
jamaa wana hasira na act! songa mbele zito ndio siasa za vyama vingi hivyo