Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Bora mrema alikuwa msaliti wakati amesha zeeka huyu dogo kafa mapema kwenye siasa awe tu mmachinga maisha yaende atashindwa hata kuoa
 
KWAHIYO WAHARIRI WAMEHONGWA UBWABWA WA HOTELI KUBWA ILI WAITANGAZE ACT Wasaliti? Au Zito Katoa Rushwa Ya Chakula Kwa Wahariri Ili Wakitangaze Chama Chake Cha Wasaliti?
 
Wataandika nini sasa?
Kujenga chama sio kupiga mbiu magazetini
....yetu macho
 
Naona jamaa waliomhonga visenti bado wanamdai chenji yao! Hadi visenti vimuishie ndio watamwacha....
 
Hiyo ndiyo kazi ya CCM kuhonga waandishi wakuandike kwa mazuri tu
 
Ndoto yake siyo kushika Dola bali kuhakikisha anachukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani.Hopeless kabisa!
 
Acha porojo wewee, hao anaowafuata mahotelini ndio hao waliotakiwa kumfuata Zito kazini kwake. Na kazini no huku field

Sibishani na wasioijua dunia. Kuwafuata au wao kumfuata ni makubaliano.
Hii dunia siyo ile ya Nyerere. Always underdogs have their fellows.
 
Ndoto yake siyo kushika Dola bali kuhakikisha anachukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani.Hopeless kabisa!
Zitto ni remote control ya ccm,wanaibonyeza wanavyotaka!Huo mkutano usiku kama siyo rushwa ni nini?ccm mfadhili mkuu
 
Back
Top Bottom