Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

Kazi yake kuu ni kuitisha vikao vya chama ambavyo si vya kitaifa, halmashauri kuu wala kamati kuu. Na hata hivyo bado Kiongozi mkuu Taifa bwana Zitto ndie atakayekuwa
-kiongozi wa kusimamia, kufunza na kutoa maelekezo kuhusu shughuli zote za ACT
- mtoa tamko rasmi kuhusu masuala ya sera na mtazamo wa chama

No wonder amewekwa aliyewekwa kwa kivuli cha haki za mwanamke.... sidhani kama kuna mtu mwingine ambaye angekubali kuvikwa cheo hicho cha uenyekiti kivuli!

You nailed it MJ1

Dada kawekwa pale kwa mtindo wa "viti maalum" and the man himself is running his thaang!!
 
go zitto go zitto.....wewe unatenda wao wanabisha na kukejeli humu!!

Zitto muoneni mjinga....sooner or later mtafumba midomo
 
zito ni mashine ya kusaga na kukoboa Kazi hio anaiweza ya kisiasa ccm na cdm wakae mkao Wa kula na mda mrefu bunge la budget likiisha anaondoka na watu cdm Kazi kwao

Wewe kilaza nini?kwani bila kuitaja cdm utakua hulipwi posho?kila siku cdm cdm,inaonyesha ni jinsi gani watu wa ccm na saccos yenu act mnavyokosa usingizi juu ya chama dume cdm.
 
zito ni mashine ya kusaga na kukoboa Kazi hio anaiweza ya kisiasa ccm na cdm wakae mkao Wa kula na mda mrefu bunge la budget likiisha anaondoka na watu cdm Kazi kwao

Kweli wewe ni NKOBE
 
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza

Biashara Matangazo ndugu yangu. Kama amewaita Wahariri wa magazeti yote ( Yaliyoko DSM) Fahamu kawafikia Watanzania milioni 20. Usisahau Radio ZETU husoma vichwa vya habari vya magazeti asubuhi. Kumbuka TV husoma vichwa vya habari vya magazeti. Anatengeneza " awareness"
Usisahau pia wamiliki wa blogs na websites. Msimpuuze hata kidogo.
Akitoka hapo atawaita Watu wa TV.
 
Ayatollah Zitto mbona yuafanya mambo kwa kificho... supreme leader anatakikana akuwe mtu strong!
 
Last edited by a moderator:
go zitto go zitto.....wewe unatenda wao wanabisha na kukejeli humu!!

Zitto muoneni mjinga....sooner or later mtafumba midomo
Naona nguvu ya Zito na ACT mnaipima kwenye mitandao ya kijamii na magazetini. Mtasituka mkiwa mmechelewa sana kwamba sisi huku wapiga kura hatutaki hata kukisikia. Endeleeni tu kujifariji na vichwa vya habari.
 
Biashara Matangazo ndugu yangu. Kama amewaita Wahariri wa magazeti yote ( Yaliyoko DSM) Fahamu kawafikia Watanzania milioni 20. Usisahau Radio ZETU husoma vichwa vya habari vya magazeti asubuhi. Kumbuka TV husoma vichwa vya habari vya magazeti. Anatengeneza " awareness"
Usisahau pia wamiliki wa blogs na websites. Msimpuuze hata kidogo.
Akitoka hapo atawaita Watu wa TV.

Anajipeleka kibra mwenyewe kwa tamaa yake na hicho chama chake anaweza akakihujumu kwa tamaa ya fedha
 
Biashara Matangazo ndugu yangu. Kama amewaita Wahariri wa magazeti yote ( Yaliyoko DSM) Fahamu kawafikia Watanzania milioni 20. Usisahau Radio ZETU husoma vichwa vya habari vya magazeti asubuhi. Kumbuka TV husoma vichwa vya habari vya magazeti. Anatengeneza " awareness"
Usisahau pia wamiliki wa blogs na websites. Msimpuuze hata kidogo.
Akitoka hapo atawaita Watu wa TV.
Acha porojo wewee, hao anaowafuata mahotelini ndio hao waliotakiwa kumfuata Zito kazini kwake. Na kazini no huku field
 
go zitto go zitto.....wewe unatenda wao wanabisha na kukejeli humu!!

Zitto muoneni mjinga....sooner or later mtafumba midomo

Mkuu, Zitto is a back-bitter and first degree traitor! He can never enter the paradise.
 
Back
Top Bottom