The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,667
ACT hakiwezi kuwa chama kikuu Tanzania.
Na zaidi ya Ayatollah sidhani kama kinaweza kushinda kiti kingine cha ubunge.
Why umemuita Ayatollah?
Mbona hiyo model inatumika na ODM Kenya pia
ACT hakiwezi kuwa chama kikuu Tanzania.
Na zaidi ya Ayatollah sidhani kama kinaweza kushinda kiti kingine cha ubunge.
Zitto ametumia nafasi hiyo kuwaomba wahariri wamsaidie kuitangaza ACT Tanzania ili kiwe chama kikuu cha upinzani
Sijui kwanini umekuwa mkali hivyo lakini nafikiri ndani ya CCM kuna wajinga webgi zaidi na ukweli ni kamba ZZK anafahamu siasa kuliko wewe. Ukivuta subira utmwelewa vema!Hakuna mwanasiasa mjinga kama Zitto..chama hakitangazwi na magazeti...zitto unaishi zama za kufikirika sana..
Kiwe chama kikuu cha upinzani ina maana hakipo kwa ajili kupigana kuwa chama kinachoongoza seriakali bali upinzani milele
Kwa hiyo CCM na Zitto wanaamini dunia imesimama kwa ajili yao mambo yamebadirika sana vibaraka sikuhizi wanachomwa moto tuCCM lengo lake ni kuweka kibaraka wao awe chama kikuu cha upinzani ili waibe kwa raha zao
Why umemuita Ayatollah?
Mbona hiyo model inatumika na ODM Kenya pia
Kweli ujinga kipaji..Kwa hiyo mmetoa bahasha kujibu mapigo??
Mbona hueleweki? Kwani CUF na CDM ni vyama tawala?
Posho ya 'usafiri' alitoa?
zitto ni fungu la kukosa. dunia hii haihitaji ujuaji,uvumilivu ndio Msingi wa mafanikio.Huyu dogo atapotea hata kabla ya uchaguzi mkuu kwa tamaa alizo nazo.Akishinda ubunge haki ya Mungu nahama nchi.