Wakuu,
1:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao ni genuine wanaona Zitto alionewa ingawa hawasemi kwamba alipewa barua kujulishwa makosa yakw
2:Kuna watetezi Genuine wa Chama hapa wanaotaka katiba ifuatwe na ukuu wa Taasisi uzingatiwe
3:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao sio genuine bali ni maadui wake na maadui wa Chadema.Ni maadui wa upinzani.Kazi ya kuchochea upande wanaoamua
4:Kuna wasiofungamana na upande wowote ila wanapenda haki na upinzani imara usio na doa na migogoro
5:Kuna wasiojua chochochote
6:Kuna ambao hawataki kabisa kuhoji ukweli wa hoja hii aliyoleta mleta mada na wapo kwenye hayo makundi yote hapo juu na hii inaweza kupelekea hata wanachama kukwaruzana
7:Kuna wahusika wakuu katika suala hili nao wako hapa hawatasema kwa ID zao halisi au wanafuatilia kwa karibu bila kujali credibility ya thread.
Kila mmoja awe genuine na azingatie haki na ubora wa mijadala sasa. I'm out!
Ndiyo ninaamini kama Zitto ni miongoni mwa waanzilishi wa ACT, binafsi simlaum katika hili sababu mwanasiasa yeyote anahitaji kupata platform ya kufanyia siasa hivyo kwakuwa alijua atafukuzwa CHADEMA ndiomana akaamua kuandaa makazi mapema, hili ni kawaida na ni haki ya kikatiba ya mwanachama yeyote kuhamia chama kingine, si unakumbuka hata Drslaa baada ya kutoka CCM? Ilibidi aende CHADEMA japo mazingira ya Slaa kwenda CHADEMA nibtofauti na Zitto kutaka kwenda ACT lakini all in all wote objective yao ilikuwa ni kupata political platform.
Mkuu Ben, sitatake sides, sheri a, taratibu na kanuni zenu za nidhamu ziko wazi, zinafahamika na hazikufuatwa!, and sio mara moja!, but this time ndipo jamaa akagoma akiomba taratibu zifuatwe!.Pasco tukisema na wewe umechagua side kabla ya kujua detail ya pande zote au angalao kuweka tahadhari "For the least info niliyonayo"
Halafu ondoa huo ushauri wako wa chama kumnyenyekea mtu.Huo ni ushauri mbaya kabisa kati ya ushauri niliowahi kukutana nao siku za karibuni.
kwani zitto mpaka sasa ni mwanachama wa chama kipi?
Hebu tuache uongo, kati ya vyama hivi 4 vinavyounda UKAWA kipi maarufu kukizidi CDM?
Vikao gani ulikaa na wanachama wepi hata uje hapa usema eti wanachama m-mebariki ?!
Nimeguswa!....nimejiona kundi langu, na reserve comments zangu kwenye hili, kuepuka kunyoosheana vidole!.Wakuu,
1:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao ni genuine wanaona Zitto alionewa ingawa hawasemi kwamba alipewa barua kujulishwa makosa yakw
2:Kuna watetezi Genuine wa Chama hapa wanaotaka katiba ifuatwe na ukuu wa Taasisi uzingatiwe
3:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao sio genuine bali ni maadui wake na maadui wa Chadema.Ni maadui wa upinzani.Kazi ya kuchochea upande wanaoamua
4:Kuna wasiofungamana na upande wowote ila wanapenda haki na upinzani imara usio na doa na migogoro
5:Kuna wasiojua chochochote
6:Kuna ambao hawataki kabisa kuhoji ukweli wa hoja hii aliyoleta mleta mada na wapo kwenye hayo makundi yote hapo juu na hii inaweza kupelekea hata wanachama kukwaruzana
7:Kuna wahusika wakuu katika suala hili nao wako hapa hawatasema kwa ID zao halisi au wanafuatilia kwa karibu bila kujali credibility ya thread.
Kila mmoja awe genuine na azingatie haki na ubora wa mijadala sasa. I'm out!
Taifa kwanza.Malumbano baadae...
Nataka nikuhakikishie kwamba, nimejitahidi kusoma historia ya chama changu CHADEM kwa muda wa kutosha hasa matukio mbalimbali ya CHADEMA kama chaguzi za BAVICHA na taifa 2009,
Nimefatilia visa mbalimbali vya wanasiasa vijana mahiri waliokuwa CHADEMA kama Juju Ndanda, Kafulia, Machali, Mkosamali na mambo ya Zitto na kugombea uenyekiti, nimejiridhisha bila shaka kwamba kuna makundi yaliyoibuka chamani hapo awali, moja likimuunga mkono Mbowe na jingine Zitto, na kundi la Zitto lilikuwa ni la wahanga wa chaguzi za ndani ya chama pamoja na wahanga wa vyeo mbalimbali pale makao makuu,
Kutokana na hili CCM iliweza kujipenyeza kuleta migogoro. Nataka nikuhakikishie kwamba mgogoro uliokuwepo ulikuwa ni wa Zitto na Mbowe na sio wa Zitto na CHADEMA ila sisi wanachama tuliingia kichwakichwa kwa kuside upande mmoja bila kutaka suluhu, pia wanachama tumechangia kwa mchango mkubwa kukuza mgogoro huu.
Wakuu,
1:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao ni genuine wanaona Zitto alionewa ingawa hawasemi kwamba alipewa barua kujulishwa makosa yakw
2:Kuna watetezi Genuine wa Chama hapa wanaotaka katiba ifuatwe na ukuu wa Taasisi uzingatiwe
3:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao sio genuine bali ni maadui wake na maadui wa Chadema.Ni maadui wa upinzani.Kazi ya kuchochea upande wanaoamua
4:Kuna wasiofungamana na upande wowote ila wanapenda haki na upinzani imara usio na doa na migogoro
5:Kuna wasiojua chochochote
6:Kuna ambao hawataki kabisa kuhoji ukweli wa hoja hii aliyoleta mleta mada na wapo kwenye hayo makundi yote hapo juu na hii inaweza kupelekea hata wanachama kukwaruzana
7:Kuna wahusika wakuu katika suala hili nao wako hapa hawatasema kwa ID zao halisi au wanafuatilia kwa karibu bila kujali credibility ya thread.
Kila mmoja awe genuine na azingatie haki na ubora wa mijadala sasa. I'm out!
Jukwaa hili unajua lina wanachama wangapi wanaounga mkono. Au kwako social media km JF ni jukwaa mhim kwa wale ambao hawawezi kufika pale ufipa. Tunapaza sauti huku huku na yatawafikia walengwa.
kwe kabisa,hawezi kuitwa kama mbwa alafu akubali.tunajua kusamehana kupo lkn aliitwa majina mengi mabaya hata SUGU alimtukana.Majina mliomuita ndio yanampa changamoto yaani we uitwe msaliti mroho wa madaraka, mla rushwa halafu wakwambie umesamehewa we uchekelee tu! Na kweli watamuomba radhi.
Wewe leo unatia aibu tu hapa. Unaelekea kuyala matapishi yako. Angalau kwasasa umeyakaribia na umeshayanusa,ila unaona aibu maana ni mapema mno. unajua ni kwanini leo upo hivo;
1. wewe pamoja na kutumika kooote huaminiki na chama kama Zitto ambaye ulishiriki kumchafua kwa kiasi kikubwa
2. Wewe umejikuta ni majeruhi wa chaguzi za chama wakudumu hivyo hakuna sababu ya kuendelea kua radical dhidi ya Zitto
3. Unalijipenyeza kupitia kichaka cha IPTL/Escrow kumsogelea Zitto na kwa bahati nzuri ana ngozi ngumu na amekusitiri tu
4. Leo ungetamani Zitto arejee CDM kama kawaida na kufanya nae kazi, lkn bado unajiuliza uso wako utauficha wapi??
Nawaza tu kwa sauti!
Kweli kabisa.alipachikwa majina mengi hata SUGU alimtukana,alafu aitwe kama Mbwa akubali!!zinatakiwa busara pande zote.kwanza mimi akirudi kwa hawa WACHAGA itaniuma sana.Mpaka leo naamini hakuna CHADEMA bila ZITTO.
Naomba kuweka msimamo wazi.Nisiulizwe ni msimamo wa chama au ni wa Molemo.
Kamwe Chadema haitamwabudu mwanachama wake mmoja kwa kumpigia magoti aliyeadhibiwa kwa makosa yake mwenyewe.
Ila chama kama baba haitafunga mlango kwa mtoto wake anayetaka kurudi kwa baba yake kuomba msamaha.Yeyote anayejutia madhambi yake anaruhusiwa na akubali kusikiliza maonyo ya baba kwake.
Ila Kamwe Chadema haitasikiliza mashinikizo yoyote kutoka kwa mtu yeyote hasa inapogundulika mashinikizo hayo yanatoka kwa maadui wa chama.
Chadema kwa sasa iko Imara kuliko wakati mwingine wowote.