Zitto aitibua CHADEMA

Zitto aitibua CHADEMA

Kabwe zuberi dah jamaa hua namwonea huruma sana maana ndoto zake zote amezizika kwa tamaa ya usaliti
Lazima atubu sana kurejesha imani
 
Habari za vikao vya CDM zinavuja km CCM? Chama si kina wasemaji? Kisaidie kimjue huyu asie na maadili anaevujisha mazungumzo ktk vikao.
Halafu km Zitto aliomba aambiwe makosa yake hili ni sharti?

Naamini mleta uzi ama sio mwana Chadema such ana agenda yake.
Tuwe makini.
 
Kwa nini asamehewe Mhe. Zitto peke yake?

kwa nini isiwe pia Samson Mwigamba and Prof Kitila Mkumbo
 
Mamlaka ya viongozi wa chama yanatokana na sisi wanachama.
Kwenye huu mgogoro wanachama ndio wameamua kusahau yaliyopita na kuangalia mbele kwa manufaa mapana ya chama.

Si mbowe wala Dr.Slaa wanatakiwa kuwa kikwazo kufikia muafaka na maridhiano ikiwa wanachama tumebariki mchakato.

Tunaposikia hayo ya mwenyekiti wetu kama ni kweli amechukizwa na hilo hivyo kuamua kukwamisha jitihada za muafaka ni kutudharau wanachama.

Ifike kipindi kila upande,kwa maana ya Zitto na Chama kwa Ujumla yaani viongozi wa juu wasema "sory for everything".

Kuna mwana-Falsafa mmoja alipata kusema "am sory doen'nt mean some one is right and the other is wrong,but it means the relationship between you is of great important to let it go". Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba Kuomba msamaha hakumaanishi ulikosa yaani guilt. Bali wakati mwingine samahani ina maana ya busara na uungwana kwamba uhisiano uliopo baina ya Zitto na Viongozi wake ni Mhimu sana na wenye tija kwa ipinzani na taifa kwa ujumla. Hivyo samahani ya kila upande imaanishe Taifa kwanza,tofauti zao baadae.
 
Adui wa zitto ni zitto mwenyewe, huwezi weka mashariti ili kushirikiana na viongozi wako ili kujenga chama! Zitto awe wazi anataka kubaki cdm ama lah!
 
Majina mliomuita ndio yanampa changamoto yaani we uitwe msaliti mroho wa madaraka, mla rushwa halafu wakwambie umesamehewa we uchekelee tu! Na kweli watamuomba radhi.

Kumuomba Radhi must, kama kifo Kwa binadamu, wamemdhalilisha sanaaaa na yeye pia ana moyo kama wengine ..
 
Wale waona mbali tunasema hivi chadema acha wajipapatue tu lakini ukweli ni kwamba lazima zitto wamrudishe hawana ujanja kuendesha chama bila zitto.
 
Majina mliomuita ndio yanampa changamoto yaani we uitwe msaliti mroho wa madaraka, mla rushwa halafu wakwambie umesamehewa we uchekelee tu! Na kweli watamuomba radhi.

..hata Zitto naye amewahi kutoa kauli mbaya dhidi ya Mbowe na CDM.

..hili tatizo linatakiwa kumalizwa kwa Mbowe na Zitto kukaa pamoja wao wawili na kumaliza tofauti zao.

..baada ya hapo kila mmoja achunge mdomo wake, na kuelekeza nguvu zote ktk kujenga chama.
Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mamlaka ya viongozi wa chama yanatokana na sisi wanachama.
Kwenye huu mgogoro wanachama ndio wameamua kusahau yaliyopita na kuangalia mbele kwa manufaa mapana ya chama.

Si mbowe wala Dr.Slaa wanatakiwa kuwa kikwazo kufikia muafaka na maridhiano ikiwa wanachama tumebariki mchakato.

Tunaposikia hayo ya mwenyekiti wetu kama ni kweli amechukizwa na hilo hivyo kuamua kukwamisha jitihada za muafaka ni kutudharau wanachama.

Ifike kipindi kila upande,kwa maana ya Zitto na Chama kwa Ujumla yaani viongozi wa juu wasema "sory for everything".

Kuna mwana-Falsafa mmoja alipata kusema "am sory doen'nt mean some one is right and the other is wrong,but it means the relationship between you is of great important to let it go". Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba Kuomba msamaha hakumaanishi ulikosa yaani guilt. Bali wakati mwingine samahani ina maana ya busara na uungwana kwamba uhisiano uliopo baina ya Zitto na Viongozi wake ni Mhimu sana na wenye tija kwa ipinzani na taifa kwa ujumla. Hivyo samahani ya kila upande imaanishe Taifa kwanza,tofauti zao baadae.

Wewe sio mwana cdm! Wanacdm tupo bize kukijenga chama na kukimbizana na uchaguzi wa SM! Zitto tulishamalizana nae na tumeshamsahau!
 
Mamlaka ya viongozi wa chama yanatokana na sisi wanachama.
Kwenye huu mgogoro wanachama ndio wameamua kusahau yaliyopita na kuangalia mbele kwa manufaa mapana ya chama.

Si mbowe wala Dr.Slaa wanatakiwa kuwa kikwazo kufikia muafaka na maridhiano ikiwa wanachama tumebariki mchakato.

Tunaposikia hayo ya mwenyekiti wetu kama ni kweli amechukizwa na hilo hivyo kuamua kukwamisha jitihada za muafaka ni kutudharau wanachama.

Ifike kipindi kila upande,kwa maana ya Zitto na Chama kwa Ujumla yaani viongozi wa juu wasema "sory for everything".

Kuna mwana-Falsafa mmoja alipata kusema "am sory doen'nt mean some one is right and the other is wrong,but it means the relationship between you is of great important to let it go". Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba Kuomba msamaha hakumaanishi ulikosa yaani guilt. Bali wakati mwingine samahani ina maana ya busara na uungwana kwamba uhisiano uliopo baina ya Zitto na Viongozi wake ni Mhimu sana na wenye tija kwa ipinzani na taifa kwa ujumla. Hivyo samahani ya kila upande imaanishe Taifa kwanza,tofauti zao baadae.
Kwani ndani ya chadema ni nani msaliti mkubwa wewe ,wewe ni sisimizi tu ndani ya chadema we nani mpaka upinge wazo la mwenyekiti.
 
zitto hajawahi kusaliti chama tatizo la viongoz wengi wa tanzania ni uwezo mdogo wa kukabiliana na hoja kinzani tu, kuwa chama kimoja hakumaanishi kukubaliana kwa kila kitu. Bado kuna itkadi za mtu binafsi na kile anacho kiamini tofauti na mtu mwingine. kama kweli zitto ni msaliti asingekuwa na uwezo wa kufanya alichokifanya kwenye issue ya ESCROW. Kumbuka sio mara zote wengi wanakuwa sahihi. pia wanajamiiforum tuache kuchonganisha watu kama tuko kwa maslai ya uma kweli., Chadema inamuhitaji Zitto kuliko muda wowote ule huko nyuma.
 
Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.

Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.

Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.

Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.

Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.

Pasco
 
Umuhimu gani huo na huo umuhimu unaupima vipi?

Kuna wengine walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na wengine walitengeneza Election Manifesto ya chama.

..kisiasa tunasema Kitila na Mwigamba hawana wafuasi.

..YES, wametengeneza ilani ya chama, but at the end of the day wananchi wanampigia kura mgombea.

..
 
..hata Zitto naye amewahi kutoa kauli mbaya dhidi ya Mbowe na CDM.

..hili tatizo linatakiwa kumalizwa kwa Mbowe na Zitto kukaa pamoja wao wawili na kumaliza tofauti zao.

..baada ya hapo kila mmoja achunge mdomo wake, na kuelekeza nguvu zote ktk kujenga chama.
Pasco

Vipi kuhusu Lissu na Mnyika walivyomshikia kidedea na kumtukana sana katika majukwaa mbalimbali? Kibaya zaidi, hata Mhe Mbowe alikwenda jimboni kwa Mhe Zitto na kumsimanga live kijijini kwao, we unaona imekaaje hii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom