Zitto aitibua CHADEMA

Kwa wasi wasi uko wapi chama si kilikua sahii kwenye maamuzi wadau. Hivyo hapana shida uhakika si upo wa yeye kuomba radhi? Tofauti na hapo means chama kikifabya ghilibu uonevu kwenye maamuzi
 
Huu Uzi haukuwa na maudhui yanayofanana na huu hapa,, moderator kwa nn umeunganisha hapa? Huu Uzi unampa ujumbe wa wazi Mh Zitto na ule awali unahabarisha kwa hiyo maudhui yalikuwa hayafanani so hakukuwa na maana yeyote ya kuunganisha
 
Back
Top Bottom