Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,140
- 14,678
Haahaaahaaaaaahaaaa!
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa, uuwwwwiiiiiiiiiiiiiiii...
Haahaaahaaaaaahaaaa!
Juma,
Hebu rejea hapa post namba 5 page no.1 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...asema-fuata-misingi-sio-watu.html#post5340214
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Mkuu angalia maneno yako isije tokea watu wakakimbia nchi.........
nadhani ZZK hapendezwi na maamuzi haya ile amejikaz kiume. kwasababu sio siri alitaka awe mgombea urais na tena awe rais wa jamhuri kupitiaa upinzani. je kuna siku atabadilika kwa kutoswa hii ina-depend na muda.:clock:itafahamika uko mbeleUamuzi wa busara sana, wale wenye Zittophobiasis sasa mtafute kingine cha kuongea. 2013 ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
zittophobiasis wataishia kutoa povuuuu
Na wewe gambaphobiasis utaishia kutoa nini?
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
Kwataarifa yako wewe ni mmojawapo wa wanaomuharibia sana Mh.Zitto kisiasa. Kama mwenzio ameamua kubadilika kwa dhati, nawewe jaribu kubadilika ama kukaa kumya.
Kwanza kauli yenyewe ya kupitia FB.....na amesema hatazungumzia sio hatagombea??? Mmmhhhh hapo pagumu kidogo
The rhythm is songlike, and the words flow melodiously, as if the poet were listening and interpreting distant sounds.
Tarehe 4-6 au 3-6?
Good! Hii ni hatua nzuri na ya muhimu.Ni uamuzi thabiti.
Mwakalinga,
Note that some may want to create controversy on your thread. Although most people have someone they consider a hero, nobody's perfect. Some may want to focus on the negative side of our hero
However,Naomba Usome Kitabu kilichoandikwa na Robert Grene titled 48 Laws of Power.Soma kwa makini
Law number:
3:Conceal your intentions
17:Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability
21lay a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark.
22:Use the surrender tactic: transform weakness into power.
32lay to people's fantasies.
35:Master the art of timing.
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015
Zitto Kabwe
¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨
Coongrats Zitto