Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

wewe hebu toa pumba hapa,uinazidiwa na mwanangu aliyeko daycare.
Heri yangu ambaye nina pumba kuliko wewe mwenye mashudu, unakitaja kitoto chako hapa wakati ukikipeleka kwenye DNA utakuta unalea mtoto wa mtu mwingine, wacha kuleta kidomo domo mbele ya Wanaume.
 
Uamuzi wa busara sana, wale wenye Zittophobiasis sasa mtafute kingine cha kuongea. 2013 ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele

The rhythm is songlike, and the words flow melodiously, as if the poet were listening and interpreting distant sounds.

Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

Coongrats Zitto

Tarehe 4-6 au 3-6?

Good! Hii ni hatua nzuri na ya muhimu.Ni uamuzi thabiti.

Mwakalinga,

Note that some may want to create controversy on your thread. Although most people have someone they consider a hero, nobody's perfect. Some may want to focus on the negative side of our hero

However,Naomba Usome Kitabu kilichoandikwa na Robert Grene titled 48 Laws of Power.Soma kwa makini

Law number:

3:Conceal your intentions

17:Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability

21😛lay a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark.

22:Use the surrender tactic: transform weakness into power.

32😛lay to people's fantasies.

35:Master the art of timing.
 
The rhythm is songlike, and the words flow melodiously, as if the poet were listening and interpreting distant sounds.

Tarehe 4-6 au 3-6?

Good! Hii ni hatua nzuri na ya muhimu.Ni uamuzi thabiti.

Mwakalinga,

Note that some may want to create controversy on your thread. Although most people have someone they consider a hero, nobody's perfect. Some may want to focus on the negative side of our hero

However,Naomba Usome Kitabu kilichoandikwa na Robert Grene titled 48 Laws of Power.Soma kwa makini

Law number:

3:Conceal your intentions

17:Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability

21😛lay a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark.

22:Use the surrender tactic: transform weakness into power. 32😛lay to people's fantasies.

35:Master the art of timing.

Use the surrender tactic: transform weakness into power, aiseee!! Alafu nimemsoma Mwigamba naye Duh!!! Nafikiri lazima kifanyike kitu Once for All.
 
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio

Unapaka rangi ule umbea wa Mwigulu ehh!!!!!!!
 
Zitto na wanachadema wote waungane pamoja kukiimarisha chama ili chama kiupate urasi kwa kupitia mtu yeyote atakaye onekana kuwa anafaa kupeperusha vyema bendera ya chama.na si vizuri kuendelea kupigana vikumbo kwa ajili ya urais.Urais ambao mpaka sasahivi hauko chadema uko ccm.chadema wakisha pata urais hapo ndipo wanapoweza kuanza kujipanga awamu hii amekuwa fulani basi awamu inayofuata apewe mwingine.
 
Huyu jamaa mpuuzi kweli anachezea akili za watu. Aelewe watu wote sio wahuni. Anatakiwa kwenda kwa mganga wa akili na mtaalamu wa saikolojia kabla ya kusema chochote. Tafadhali mwogopeni na mpuuzeni.
 
The rhythm is songlike, and the words flow melodiously, as if the poet were listening and interpreting distant sounds.

Tarehe 4-6 au 3-6?

Good! Hii ni hatua nzuri na ya muhimu.Ni uamuzi thabiti.

Mwakalinga,

Note that some may want to create controversy on your thread. Although most people have someone they consider a hero, nobody's perfect. Some may want to focus on the negative side of our hero

However,Naomba Usome Kitabu kilichoandikwa na Robert Grene titled 48 Laws of Power.Soma kwa makini

Law number:

3:Conceal your intentions

17:Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability

21😛lay a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark.

22:Use the surrender tactic: transform weakness into power.

32😛lay to people's fantasies.

35:Master the art of timing.

these are the new year's most neutral,sarcastic and constructive lines
 
Safi sana kamanda zitto, hatua uliyofikia ni nzuri bado una nafasi ya kurudi tena..

Samson Mwigamba amenifanya niwe mpenzi wa Chadema kwa muda mrefu, namwamini mwigamba kama nnavyomwamini mbowe au dr slaa iv nani amemuumiza? Kama ni viongozi wakuu hili linasikitisha naomba liangaliwe vizuri ili kujenga moyo kwa watu wanaojitolea kama anavyofanya Sams6 Mwigamba
 
Hata miaka ipunguzwe..mzee mtei,mbowe washasema dr.slaa ndio mgombea 2015.. Zitto angalia mambo mengine
 
Big up Zitto, sasa ni wakati wa kuweka nguvu katika kujenga Chama. Looking forward to seeing you in M4C.
 
Sisi tunaomuelewa ZZK vizuri, tunaelewa amesema nini in "between the lines" na kwa nini amesema hivyo!. "The message is short, clear and direct to the point..sent!".
Pasco.
 
Hajamaanisha kwamba ameacha harakati zake bali amesitisha mjadala kwa muda , haina maana kuwa amerudi kwenye mstari na wala haamini kama yuko nje ya mstari , Yeye siku zote anaamini yuko sawa ! Kafulila Style .
 
Huyo ndiyo zzk anapoongea kitu watu wote bila kujali wanampinga au vip wote huandika kitu juu yake kama unamuona mzushi,kigeugeu nk kwann ushoboke anapokuwa anafanya yake?
 
Zitto ndio unavizia Katiba mpya? Umeeleweka.Lakini,usirudie tena kuropokaropoka nje ya vikao vya chama chako. Mchezo wako huu wa siasa ucheze vizuri...kwa step
 
The rhythm is songlike, and the words flow melodiously, as if the poet were listening and interpreting distant sounds.

Tarehe 4-6 au 3-6?

Good! Hii ni hatua nzuri na ya muhimu.Ni uamuzi thabiti.

Mwakalinga,

Note that some may want to create controversy on your thread. Although most people have someone they consider a hero, nobody's perfect. Some may want to focus on the negative side of our hero

However,Naomba Usome Kitabu kilichoandikwa na Robert Grene titled 48 Laws of Power.Soma kwa makini

Law number:

3:Conceal your intentions

17:Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability

21😛lay a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark.

22:Use the surrender tactic: transform weakness into power.

32😛lay to people's fantasies.

35:Master the art of timing.

Daah, hapa ndo mahali pa Ben Saanane.......hapo kwneye Tarehe 4-6 au 3-6 fafanua kwa manufaa ya chama
 
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio

Angalieni, wafadhiri wenu nao wataanza kuwastuki, ila mkuu unaliaabisha sana hilo jina, mbona watu wa Makete hawanaga kabisa tabia hii ya unafiki? ni watu wenye msimamo sio waharibifu, anyway, kazi mliopewa na kina Nepi ya kukisambaratisha CDM ni ngumu sana kweni, kama ni mapenzi, CDM imeisha ingia kwenye kuta za mioyo ya Watanzania wengi!
 
Back
Top Bottom