Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

zzk msimamao kitu cha maana sana leo hili kesho hili nini ndugu yangu,kipi tukiamini hili linatudhihirishia kuwa bado huja komaa kisiasa bado kidogo na hautatufaa kwa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo la badaye sana.
 
KATIKA SIASA,PIGANA VITA FUPI,MAJÈRUHI WACHACHE !!!!-"Take Note Jombaa"
c
 
Uamuzi wa busara sana, wale wenye Zittophobiasis sasa mtafute kingine cha kuongea. 2013 ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele
wala ndani ya chadema hakuna zittophobiasis,hizo ni njama za waccm kujifanya wao nichadema ilikuweka upepo mbaya kwenye chadema,kama yule jamaa wa ccm aliyejitokeza kulipa ada ya kadi ya ccm ya Dr Silaa.
 
Niitumie fursa hii kumpongeza ZZK kufikia hatua hii, maana mwungwana ni vitendo. Hakuna haja ya kugombana kwa ajili ya shamba wakati baba yenu mmoja. Uwezo wa kuzifuata kanuni, taratibu na sheria zinajulikana na ziko wazi. Katiba iliandikwa ili kuwafanya wahusika wasije weka kila mmoja interest zake. Hapa kikubwa ni katiba kwa ajili ya wote. ALIYEANZISHA KATIBA aliwaza mbali sana kwa kujua kuwa bin wa Adamu tuna mambo mengi na mitazamo mingi yenye kutofautiana na hivyi hii i kuwaongoza. Matamshi ya Mheshimiwa Mwenyekiti nayo yalileta utata na hivyo bora tu amesahihisha
 
Zitto zuberi Kabwe , ni vema akasema kwanini ameamua hivyo je nikwasababu ya Mbowe kusemekana alimtangaza Dr. Slaa au baada ya kuonekana anakivuruga chama? au ni sababu zake binafsi?
 
zzk msimamao kitu cha maana sana leo hili kesho hili nini ndugu yangu,kipi tukiamini hili linatudhihirishia kuwa bado huja komaa kisiasa bado kidogo na hautatufaa kwa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo la badaye sana.
wewe kwa kuwa ni ccm lazima useme hayo maana hamkutegemea Zito aseme hayo,sisi tumeshawajua mnajifamya chadema ili mtuaribie list yetu ya ushindi zito kwetu sisi chadema ni kama mess ndani ya bacelona
 
Zitto zuberi Kabwe , ni vema akasema kwanini ameamua hivyo je nikwasababu ya Mbowe kusemekana alimtangaza Dr. Slaa au baada ya kuonekana anakivuruga chama? au ni sababu zake binafsi?
kwa wewe mwana ccm hayo ndio maswali yenu kwa zito ila sisi wanachadema tumemuelewa nahuo ndio msimamo wa wana chadema mambo yenu ya kiccm kwetu hakuna japo mnajifanya wanachadema
 
Niitumie fursa hii kumpongeza ZZK kufikia hatua hii, maana mwungwana ni vitendo. Hakuna haja ya kugombana kwa ajili ya shamba wakati baba yenu mmoja. Uwezo wa kuzifuata kanuni, taratibu na sheria zinajulikana na ziko wazi. Katiba iliandikwa ili kuwafanya wahusika wasije weka kila mmoja interest zake. Hapa kikubwa ni katiba kwa ajili ya wote. ALIYEANZISHA KATIBA aliwaza mbali sana kwa kujua kuwa bin wa Adamu tuna mambo mengi na mitazamo mingi yenye kutofautiana na hivyi hii i kuwaongoza. Matamshi ya Mheshimiwa Mwenyekiti nayo yalileta utata na hivyo bora tu amesahihisha
matamshi ya mwenyekiti wa chadema hayana utata wowote kwetu sisi wanachadema hayo ni mambo yenu ya ccm,wanachadema wote tulimuelewa vizuri mwenye kiti wetu,ni ccm tu,ndio wanajifanya kuvaa ngwanda na kumlaumu mwenyekiti wetu. tumewashitukia
 
Zitto zuberi Kabwe , ni vema akasema kwanini ameamua hivyo je nikwasababu ya Mbowe kusemekana alimtangaza Dr. Slaa au baada ya kuonekana anakivuruga chama? au ni sababu zake binafsi?
uccm wako ndio unakufanya useme hayo.sisi wana chadema hatuna aja ya kumuuliza Zito lolote maana tumemuelewa. kila anaeoji kauli ya Zito tunajua ni ccm. chadema ni watu makini
 
Thats why namkubali sana Zito, tatizo la wengi wanarol modals wao kwa tasnia za siasa za Tz na wanahisi au kutaka Zito afanye kama fulani.
 
Mh Zitto wanachadema hususani wa ukanda wa Mbowe, Slaa na Ben Saanane wataridhika cku ukisema unajivua uanachama wa chama chao lakini kwasasa hawatakuamini kwa kitu chochote hata ukisema hutagombea urais kabisa kwani unatishia ulaji wao@ Uzuri hawana uwezo wa kukufukuza uanachama wala kukukemea endelea usitishwe na comment za mtandaoni kwani wanaocoment negative kwako niwalewale kila cku nawanafanya hivyo purposively.

Wanachedema wengine toka pande ambayo cjaitaja wako wapoja nawe but wale vijana wanaojipendekeza kukufagilia hapa wakemee kwani watakuharibia mission yako kwani ni malimbukeni wakutupwa
 
zzk msimamao kitu cha maana sana leo hili kesho hili nini ndugu yangu,kipi tukiamini hili linatudhihirishia kuwa bado huja komaa kisiasa bado kidogo na hautatufaa kwa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo la badaye sana.
wewe sio mwana chadema ila unajifanya mwana chadema kumlaumuZeto kwa kutaka kutuchanganya sisi wana chadema. sisi wana chadema kabwe zito anatufaa na aliyosema ndio msimamo wa wana chadema wote. kinyume cha hayo ni uccm
 
Unajuwa wewe ni mjinga!! na nitakueleza ujinga wako ni nini, Zitto anawatumia kama Condom lakini alipoona mission yenu imefeshindwa yeye anarudi kwenye mstari anawaacha wajinga kama wewe muendelee kuumbuka na hatimaye mfutwe uanachama.

Hebu Msome Samson Mwigamba hapa.

Samson Mwigamba Mwampamba, I'm your friend and you know it. Mimi huwa si mnafiki. Nachukua fursa hii kushauri kwamba hiyo vita unayopigana lazima iwe na mipaka. Hata ungemchukiaje, Mbowe is still our party national chairman and some how the symbol of the party. Jaribu kuwa na heshima kidogo, si vizuri kupambana na viongozi kwenye mitandao. I did the same to Mamuya. Nilimwambia hata mkimuuliza leo. Sikubaliani na kitendo cha yeye kuja kwenye mitandao na kumtaja Naibu Katibu mkuu wa chama kwamba ni msaliti. Kama ana ushahidi angeupeleka kwenye vikao. Nilimwambia kama mwenyekiti wake wa mkoa kwamba hatafika mbali kwa staili hiyo. Na ningekuwa na uwezo leo ningefuta uanachama Mamuya, Ben Sanane, wewe, Gwakisa, and everybody anayefanya vita vya kichama kwenye mitandao. This is unacceptable. Wewe unajua nimeumizwa sana pale makao makuu huenda kuliko wewe. Kama wewe ulizuiwa kugombea mimi niliharibiwa maisha yangu na familia yangu. Mpaka leo sina kazi miezi minane sasa naishi kwa kuomba omba. But sijawahi kuingia kwenye mitandao na kumtukana kiongozi aliyenitenda. Huo ndo utu uzima Mwampamba. My young brothers, kuna maisha beyond uenyekiti wa BAVICHA taifa. Why are you driven mad to such extent. Kama mlionewa Mngetulia na kujipanga upya mkawa mnajieleza ndani kwa vijana ndani ya chama i'm sure next time mngepata hata kura za sympathy. Lakini hii vita yenu nilishawaambia msidhani mnamuumiza Slaa ama Mbowe bali mnatuumiza hata sisi kwa maana ya kuharibu chama. Mwisho wa siku mtafutwa uanachama na ndiyo itakuwa end of your story in CHADEMA. It's just a piece of advice from your dear brother. Mnaweza kuuchukua ama kuupuzia lakini msianzishe tena vita na mimi. Time will tell my young brothers!!!

salute kwako kaka Mwigamba, kama alishindwa kuelewa haya basi kaamua tu kutoelewa
 
Back
Top Bottom