Huu ndio uzuri wa JFTutayaweka haya Kwenye Kumbukumbu siku akienda kinyume na hii Kauli.
Mwaka huu ni mwaka wa aibu kubwa kwako..mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
Hahahaa hii dunia wanayoishape are very few,veeery few!...naamini huge pressure kaitoa hapa JF ambapo ina watu wlijirejista laki moja plus, na wachangiaji kama 200 tu ambao wanago against to ZZK politics..naanza kuamini maneno ya watu mtaani kua JF ni mhimili usio rasmi ndani ya CHADEMA.. BTW hiyo kauli ya ZZK alipokua amefikia hata angemfata teja anaeshinda pale mwinyi mkuu magomeni angemshauri the same thing to me sioni jipya hata! muungwana ni vitendo na sio maneno.
mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio
Zitto na wanachadema wote waungane pamoja kukiimarisha chama ili chama kiupate urasi kwa kupitia mtu yeyote atakaye onekana kuwa anafaa kupeperusha vyema bendera ya chama.na si vizuri kuendelea kupigana vikumbo kwa ajili ya urais.Urais ambao mpaka sasahivi hauko chadema uko ccm.chadema wakisha pata urais hapo ndipo wanapoweza kuanza kujipanga awamu hii amekuwa fulani basi awamu inayofuata apewe mwingine.
Hajamaanisha kwamba ameacha harakati zake bali amesitisha mjadala kwa muda , haina maana kuwa amerudi kwenye mstari na wala haamini kama yuko nje ya mstari , Yeye siku zote anaamini yuko sawa ! Kafulila Style .
Juma,
Hebu rejea hapa post namba 5 page no.1 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...asema-fuata-misingi-sio-watu.html#post5340214
Sisi tunaomuelewa ZZK vizuri, tunaelewa amesema nini in "between the lines" na kwa nini amesema hivyo!. "The message is short, clear and direct to the point..sent!".
Pasco.
TAyADI,Tuntemeke kala ban!.. Haya ingia kwa ID nyingine au zile za tarehe 20/dec/2012.. Saa nane MBAYAAAAA!. ..Mbayaaa!.. kakopi na kupesti tuhuma zenu zote kutoka mafichoni na kumuibua kila mmoja - akalipuka kivyake!!!!!.
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015
Zitto Kabwe
¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨
Coongrats Zitto
Kwa kauli hii ina maana ameamua kusubiri Katiba Mpya kama Itamruhusu. Kwa mantiki hiyo, msimamo wake ni "ATAGOMBEA" only if katiba mpya itamruhusu na kama Chamani hawatamwekea zengwe...
Ila ni vyema kama ameamua kutolizungumzia hili suala, na nguvu kubwa ielekezwe kwenye ujenzi wa Chama.
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015
Zitto Kabwe
¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨
Coongrats Zitto
ndo maana ukiangalia kwa undani , ZZK ni mkweli na anayekubalika kwa matendo na kauli zake za kisiasa. kwa kuthibitisha hilo, hakuna alilobadili ktk maamuzi yake ya kugombea urais, kwani hajakanusha bali ameendelea kutoa somo, la haki yake ya msngi ya kujieleza. amepingwa saana na wale wote ambao ni wachoyo wa fursa za watu kujieleza. mwisho anafafanua jamani hamuoni kuwa katiba ya sasa hainuruhusu kugombea nafasi hiyo, jamani mnanisakama kwani chama kimetoa taratibu za kumpata mgombea ? akamaliza maswali yenu yooote yangoje KATIBA MPYA, na UTARATIBU wa chama changu. sasa hiyo ni fursa yenu nyooote wenye miba mwekeeeeni njiani.