Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

Hamuwezi kamata nchi kwa hizi attitudes, mtaishia kuwa watu wa kulaumu na kutukana maisha yenu yote... What a waste of time and effort..!!
Msipojiheshimu hamtaheshimiwa
Tangu lini unataka CHADEMA wakamate nchi?
 
Suala la mbowe amesingiziwa au lah, ni la mahakama kuamua,,
Serikali haijataka ipigiwe magoti na mtu yeyote,
Zito kumzungumzia mbowe ni utashi wake, hakuna mwenye haki ya kumzuia, afterall zito kumbe ni mwenyekiti wa vyama vyote vya upinzani,,
Kuna wapumbavu wana suggest Mbowe amuombe Samia msamaha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na wewe huyu hapa
FB_IMG_1611302718781.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki

Nimesikiliza mwanzo Mwisho kutafuta tus, sijalion, ame mu address zitto Kama:

  • Kaka
  • Ndugu
  • Rafiki

Etc!
 
Zitto yuko sahihi! A true politician must be strategic!
Sometimes you have to loose something in order to get something!
Angalieni tamthiliya ya Ertuglu hapo AZAM TWO mngejifunza siasa na uongozi ambako kumejaa unafiki,chuki na uzandiki wa kila aina!
Tundu Lissu, Lema na Lwaitama ni wanaharakati ambao strategies zao haziwezi kuleta matunda !
Kwa msimamo wao tukiacha sheria ifuate mkondo wake issue ya Mbowe inaweza kupata suluhi +ve or - ve baada ya miaka 2 au 3, nani atakuwa loser?!
Kumbe kwa kutumia strategies za Zitto mngepata kusolve issue ya Mbowe within a shorter period and struggles could move on!
 
Zitto na wewe ni takataka.
Mnaacha kwenda kuzungumzia kichama chenu kwenye huo mkutano wenu na samia mpo busy kujidai mnaongelea CHADEMA.
Pumbavu nyinyi.
Tuliwatuma mzungumzie CHADEMA?
Walikuwa hawana agenda yoyote ndio mana wakajikita kwenye mambo yaliyo nje na kusudio lao
 
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

Lisu kampiga zito spanna

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki

Unaonaje ungemsaidia hata kwa kula malimao na maganda yake kabisa mkuu?
 
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

Lisu kampiga zito spanna

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki
Sijawahi kumuamin Zitto
 
Suala la mbowe amesingiziwa au lah, ni la mahakama kuamua,,
Serikali haijataka ipigiwe magoti na mtu yeyote,
Zito kumzungumzia mbowe ni utashi wake, hakuna mwenye haki ya kumzuia, afterall zito kumbe ni mwenyekiti wa vyama vyote vya upinzani,,
Kweli
 
Back
Top Bottom