Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

Zitto yuko sahihi! A true politician must be strategic!
Sometimes you have to loose something in order to get something!
Angalieni tamthiliya ya Ertuglu hapo AZAM TWO mngejifunza siasa na uongozi ambako kumejaa unafiki,chuki na uzandiki wa kila aina!
Tundu Lissu, Lema na Lwaitama ni wanaharakati ambao strategies zao haziwezi kuleta matunda !
Kwa msimamo wao tukiacha sheria ifuate mkondo wake issue ya Mbowe inaweza kupata suluhi +ve or - ve baada ya miaka 2 au 3, nani atakuwa loser?!
Kumbe kwa kutumia strategies za Zitto mngepata kusolve issue ya Mbowe within a shorter period and struggles could move on!
Siasa za zitto Ni za kilaghai na kitapeli, natumaini ya wazanzibar yashazikwa, kaishia kupata vyeo vitatu yaani mawaziri wawili na makamu wa rais, Mambo Ni yaleyale
 
Akiendekeza upole siku moja watamtia vidole machoni. Anapaswa kujiamini na kujua kuwa yeye ndiye kiongozi mkuu wa upinzani nchini.
 
Back
Top Bottom