Zimbabwe Election: Progress & Results

ZANU -PF wanasema kulikuwa na error kwenye kuhesabu kura ambazo hazitangazwi, hii error ni kwa sababu wameshindwa vibaya sana kwa hivyo kupitia magazeti ya serikali wanaomba re-run. Mchemsho wa hali ya juu. Wanajisahau na kufikiri itawezekana.

I can guarantee you serikali itakuwa ungovernable ngoja tusubiri trick za mwisho za mfa maji.

Kama akifanikiwa wengi watakufa hasa wale waliokuwa kwenye kuhesabu kura na wasimamizi wengi wa uchaguzi ambao walikuwa wanapenda kuona haki inatendeka.




Full story hapa
Mugabe party demands poll recount

 
Duu hapa Tsvangirai hesabu zimemshinda. Kama takwimu hizi za MDC ni za kweli, lazima kuwe na duru ya pili kwani hajafikisha asilimia 50, zinazohitajika ili kusiwe na run-off.
Chukua tu calculator, utakuta amepata 49.09% siyo 50.3% kama wanavyodai. Nampenda sana Tsavangirai ni mpiganaji haswaaa, ila hapa kakosea hesabu.

“President Tsvangirai wins Presidential race
2nd April 2008 - MDC Pressroom
President Morgan Tsvangirai has won the Presidential race in an election which has seen the MDC winning in most rural constituencies.

President Tsvangirai garnered 1 169 860 votes, Robert Mugabe 1 043 451 and Simba Makoni 169 636. President Tsvangirai has 50,3 percent of the total Presidential vote and he has won the election with no need for a run-off. “
Source: http://www.mdc.co.zw/newsbody.asp?newsid=57 (hii ni official website ya MDC).
 


Children play with a mask of Zimbabwe President Robert Mugabe
by the roadside in the suburb of Epworth in the capital Harare March 31, 2008.
Zimbabwe's justice minister lost his seat on Monday and first election results showed
the opposition level with President Robert Mugabe's party, but counting delays
fuelled opposition suspicions of rigging.
 


ZANU-PF wanaomba recount wakati matokeo yalikwisha julikana tangu zamani huko yalikofanyika na kubandikwa katika kila kituo. Huyu FISADI amekwisha kweli. MDC safari hii waliwaweza ZANU-PF na wizi wao wa kura. Safari hii wameshikwa pabaya walizoea.
 
ZANU-PF wanaomba recount wakati matokeo yalikwisha julikana tangu zamani huko yalikofanyika na kubandikwa katika kila kituo. Huyu FISADI amekwisha kweli. MDC safari hii waliwaweza ZANU-PF na wizi wao wa kura. Safari hii wameshikwa pabaya walizoea.

Bado Bob anazo turufu za kucheza, kwa mfano: Kenya Style ya kutangaza matokeao yaliyopikwa, na Bob aliwaonya wapinzani wasitegemee kufanya kama yae ya Kenya.

Nadhani MDC wakubali re-run na kama kweli wanayo support watashinda vinginevyo njia yoyote tofauti itawasaidia ZANU PF.

Ukiangalia matokeo ya Ubunge, MDC wameshinda viti vingi lakini kwa tofauti ndogo na kura za jumla zinaonyesha Zanu-PF wakiwa juu kwa popular Vote, labda huenda ikawa sababu wanayohofia MDC ku-rerun kwani matokeo waliyotoa wao wenyewe yanaonyesha Tsvangirai ana pungufu kidogo ya 50%
 
Nilivyosikia mimi ni kwamba kulingana na katiba ya Uchaguzi ya Zimbabwe (may be everywhere) Mshindi ni lazima awe na asilimia 51 ya kura.. Hivyo hata hiyo 50.3 imepikwa kuonyesha kuwa huyu jamaa hajafikia 51..
Yote tisa kama alivyosema Dua, Zimbabwe mchezo mchafu hauwezi kwisha kwa kura hata kidogo..mwisho ya wote ni serikali isiyokuwa na mtawala ama Jeshi litachukua..
Nitaongezea tu kusema hivi Morgan bandugu ni history!.. watafute mbinu nyingine ya kumwondoa Mugabe through ZANU PF...nje ya hapo sioni jawabu.
Pili, kitu kingine ambacho kimenishtua ni hiyo total number ya wapiga kura ambayo ni asilimia ndogo sana ya wananchi wa Zimbambwe (around millioni 13) hata tukizingatia kwamba asilimia 50 ya vijana wake wako chini ya Umri unaoruhusiwa.
Inaonyesha wazi kuwa hawa jamaa turn up ilikuwa ndogo sana kiasi kwamba wanampa nafasi Mugabe kucheza na dume!...
 
Only GOD and gods know where Africa is going!
 

Mbeki ni kituko. Yeye na wenzake ndio waliochangia Zimbabwe kufika ilipo sasa kwa kumbeba huyo ambaye Tutu alimfananisha na kigaragosi cha dikteta wa kiafrika (kwa maneno yake "Mr Mugabe resembled a caricature of an African dictator")!
 
Jamani Mugabe is just a shame, shame on our race as Africans. Hivi jamani waafrika tuna tatizo gani? yaani kupiga kura watu wamepiga...kutangaza matokeo mpaka watu waende mahakamani? Kwa kweli I cant understand this. Na kibaya..Mugabe baada ya kuhisi ameshindwa..anaomba recount, sasa utaombaje recount wakati hata matokeo yote hayajatangazwa? Eti kulikuwa na error..alijuaje, wakati tume haijatangaza? Eti wapinzani wameiba kura?..can it happen in Zimbabwe chini ya Mugabe, mpinzani aibe kura?? Yaani huyu mzee ni KITUKO!

Alijisahau pale aliporuhusu kwamba kura zihesabiwe kituoni na kubandikwa pale pale..hapo ndo alicheza faulo, lakini in Africa anything is possible, anaweza kudeclare state of emergency na kubadili sheria.

Mi ndo maana nasema, Africa hatujafika level ya kuwa na nations/states....we have something completely different. Nchi zinaendeshwa kama kampuni binafsi. Bado tumetawaliwa na ubinafsi. wananchi we are just like passangers in a bus..we dont know where we are going and we are not allowed to ask... Wengi wanaomsupport bob wanatumia kisingizio cha wazungu, ohh..unajua waingereza wana interests..wakisahau kwamba wanaoumia ni wazimbabwe..hivi waafrika unafiki na uchoyo wetu utatuisha lini? we are so selfish and greedy....wa kutupwa!

Kwa kweli sijui hili bara linaenda wapi...we are so out of touch...tunapenda kulaumu efforts za wenzetu, bila kuangalia what they are going through...we are too theoretical. Watu wakiwa wamekaa Europa au US wanaangalia kila kitu kwenye prism ya huko, hivi kweli nchi kama Zimbabwe, realistically mtu kama Morgani na wapinzani wenzake wangefanya nini katika hali kama hii, zaidi ya walichokifanya????? hata huko majuu ni vyema kujua kwamba watu walihangaika kujenga hizo INSTITUTIONS.

Hatuwezi kujitoa katika hii minyororo tuliyofungana wenyewe kwa kulaumu wengine. Never.

Mugabe is just a representation of what African leaders (whom we elect) are. We jiulize mpaka leo Kibaki na Raila hawajaridhika kwamba maisha ya wakenya 1000 waliokufa wanatosha..they cant agree on power sharing..wanataka kwanza wengine wafe ndo wajue kwamba kuna huo umuhimu!

Inauma sana, especially unapokuta "wasomi" wakitetea uozo na ubinafsi kwa kisingizio cha historia na mengineyo! two wrongs dont make it right!

KWA KWELI KAMA ELIMU IMESHINDWA KUTUKOMBOA WAAFRIKA, SIJUI TUTAKOMBOLEWA NA NINI! GOD KNOWS! MAANA I STILL BELIEVE WANAORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA AFRIKA NI "ELITES" WALIO KWENYE NAFASI ZA MAAMUZI!
 

Nimemuona kwenye BBC amehojiwa ki snippet, anasema wamemshinda Mugabe on two grounds,kwanza wamepata zaidi ya 50%, lakini hata kama ZANU-PF hawakubali hilo, wakisema amepata 49% atakuwa amempita Mugabe kwa zaidi ya 5% (sijaona popote kuwa mshindi akizidi kwa zaidi ya 5% hakutakuwa na haja ya run off, but this is what he is implying)

Bado kupata clarification.
 

Ni kweli Mkuu Pundit, hapa panahitaji ufafanuzi.
 
Pundit,
Huyu jamaa haaminiki hata kidogo nasema hivyo kwa sababu ZANU PF tayari wameisha pata nguvu ya kuwa huyu jamaa anataka Ukubwa tu.. soma habari hii hapa uone kwa nini leo anaweka madai baada ya kutoa offer ya serikali ya mseto ikiwa kweli wewe unaamini umeshinda.. leo anatangaza ushindi baada ya mazungumzo ya kushare serikali ku fail..

Zimbabwe ruling party snubs unity govt: state media

Zimbabwe's ruling party has rejected an approach by the opposition Movement for Democratic Change to join a national unity government following last week's elections, state media said Sunday.
Patrick Chinamasa, a senior member of President Robert Mugabe's ZANU-PF party, told the Sunday Mail that the approach had been made last week by two officials of MDC leader Morgan Tsvangirai via a businessman.
"Approaches were made by MDC-Tsvangirai to form a government of national unity," said Chinamasa who was Mugabe's justice minister until the elections.
"Although it is unclear in what capacity the emissaries came, ZANU-PF rejected the approaches and this was communicated to the MDC," he added.
In a press conference Saturday, Tsvangirai had called for dialogue with Mugabe and said he wanted a unity government that eschewed partisanship.
Chinamasa however said it was inappropriate to enter into negotiations before the results of the March 29 presidential election had been announced and that a pact between the MDC and ZANU-PF was anyway impractical.
"We can never collaborate with the MDC given that our political objectives and aspirations are as different as day is from night," he said.
"ZANU-PF is for asserting our sovereignty and economically empowering Zimbabweans, but the MDC wants to surrender our sovereignty so that the country becomes a colony under the tutelage of the British.
"So clearly, we cannot see ourselves working with MDC Tsvangirai -- it's like mixing water with fire! We believe our people are not daft and will make the choice based on the consolidation of the permanent changes that have been made."
The electoral commission has so far not released any results from last Saturday's presidential election although it has declared results of simultaneous parliamentary polls in which ZANU-PF lost control of the 210-seat house of assembly.
Separately, the Sunday Mail reported the ruling party has called on the electoral commission to recount all results from the presidential vote.
 
Mkandara,

Mimi nilisema kuwa Morgan hana msimamo na ni muongo.

ZANU-PF nao si wa kuaminiwa sana, wanaweza kuwa wazushi vile vile.
 


Hapa umemkoma nyani hasa good points, unafiki tu unawasumbua watu. Morgan na upinzani wamemshika vibaya Bob hana hata la kusema. Leo High Court ati wanajadili kama kisheria wanaweza kuamuru tume itangaze matokeo kabla ya kusikiliza kesi iliyofunguliwa jana. Lets wait.
 
Machafuko mengine yananukia katika hili bara letu tukufu.

Fundi, swala la machafuko mbona liko wazi?? huwezi jenga amani kwenye misingi ya uonevu na ubabe! Never!

Wengi wetu humu nadhani we miss a point kwa kuangalia personalities. Hapa personally, sina interests na personalities ya Mugabe au Morgan..hilo ni swala la wazimbabwe... ila naangalia ni vipi hizi personalities zimeshindwa kujenga credible INSTITUTIONS ambazo zinaweza kuwa-outlast? Kuna maana gani kuitisha uchaguzi ambao wewe kwa kutumia kiburi na madaraka huwezi kuyakubali matokeo yake? si mara mia angediclare kwamba yeye ni president for life? Jamani we are grown up kudanganywa na akina Chinamasa and co!

Zimbabwe is another example of a failed company! (siyo nchi tena). Ni makosa kuendelea kujustify unazi wetu kwa mgongo wa wazungu. Viongozi wengi ni madikteta hata huko magharibi, lakini kuna kitu kinaitwa INSTITUTIONS ambazo hawawezi kuzikaidi. Huwezi kuongoza nchi bila kufikiria kwamba kesho utakuwa haupo. Otherwise tutakuwa tunapiga mzunguko pale pale..kwenye umaskini..kwa sababu binadamu ni kiumbe mlafi daima.

Ndicho kitu KIMOJA namlaumu Nyerere kushindwa kujenga INSTITUTIONS za utawala ambazo zitaendelea kuwepo hata yeye akiondoka. badala yake alitengeneza katiba bila wananchi kushirikishwa,ambayo aliona itamrahisishia kazi kutawala yeye na CCM..ila hakujua kwamba Taifa alilolipigania litaendelea kuwepo after him na litategemea misingi aliyoijenga yeye....... .ndo maana leo Tanzania we are still suffering from Political abyss aliyotuachia mzee Nyerere! Kifupi Tanzania ya leo bila kubadili katiba, viongozi wawajibishwe, hatuwezi kupata meaningful change. Hata wangeingia wapinzani kwa katiba tuliyo nayo..tutakuwa tunapiga mark time, going no where! Uzalendo hauwezi kuja bila sense of obligatory responsibility na accountability.

nature ya binadamu ni hii: This is mine and I want yours too, if I can have it! so is JK, so is me and you!

Africa can never move forward bila kurudi nyuma na kujenga MISINGI ya namna tunavyotaka kujitawala..ile social contract kati yetu na watawala lazima iundwe upya na iheshimiwe na asiyeiheshimu awe accountable. Ndo maana nchi nyingi za kiafrika, tunalaumu wazungu kwamba hawatusaidii kufikia malengo ya maendeleo..lakini wakianza kuuliza some tough questions, tunalalama na kujificha kwenye kivuli cha sovereignity kwamba tunaingiliwa kwenye uhuru wetu.....Man its tough here in in the dark continent!
 
Mimi naendelea kuwamiminia sifa wananchi wa Zimbabwe kwa kuwa wavumilivu na wastahimilivu. Zaidi, nawasifu sana viongozi wa MDC chini ya kiongozi wao shupavu Morgan. Katika hali ya kawaida katika bara letu, tukizingatia yale yaliyotokea katika nchi zingine, kwa ufuasi walio nao naamini wangeshaamuru wananchi waingie mitaani.

Kwa kweli nimeamini kwamba demokrasia inaweza kufanya kazi katika mazingira yeyote. Kwama wapinzani wa Zimabwe wameweza kumbana Mugabe kiasi hiki, pamoja na ugumu wote wa mzingira, sisi Tanzania tunaweza kufanya makubwa. Kazi ni kwetu wapinzani kuwashawishi wananchi kwamba shida zao walizo nazo ni kwa sababu ya kuendelea kuikumbatia CCM na kwamba sisi wapinzani tuna majibu ya maana zaidi kuliko hayo ya CCM yaliyoshindikana kutatua matatizo yao.

The onus is really on us the opposition to turn things round rather than expecting CCM to create favourable conditions for us. In other words, the MDC have taught us that we must work within the rules. If we shall continue expecting CCM to create favourable environment for to flourish, then we must accept to remain as domant for ever as we are today!
 
Jeshi la kwako,majimbo ya uchaguzi umebuni na kugawanya wewe,wasimamizi wa uchaguzi wewe ndo umewateua na kuwaweka,ballot paper umechapisha wewe,na makamishna wote wa ZEC wewe ndio umewateua na unawalipa.iweje leo useme hawakuhesabu vizuri matokeo kuna kasoro?wapinzani wao wana mawakala tu,hizo kura wameibaje mugabe?kama sio kuweweseka mchana?masikini mugabe hakusoma alama za nyakati,kama hawaamini hata mofisa aliowateua mwenyewe hiyo ina maana hata chama chake chenyewe kimemchoka.Kwa afrika hatutegemei chama tawala kiombe recounting hata kabla ya kutangazwa matokeo.Iwe changirai medanganya hesabu au la baod hiyo haimuondolei shida mugabe kwamba wakati huu maji yapo shingoni.mjusdi kabanwa na mlango
 
Masanja sina la kuongezea. Hata Morgan akichukua uongozi sitashangaa kama baada ya miaka michache naye tukaanza kumuimbia nyimbo hizi hizi! Bila institutions ambazo zitahakikisha watu wote wanawajibika tutabakia tunapokezana vijiti.
 
Tulegeze msuli kidogo na haka ka joke, najua tension ni kubwa kwetu sote....

Assuming Queen Elizabeth, Bill Clinton and Rob Mugabe die and all go to hell. But the devil has only one phone there.

Queen says, I miss my England can I use your phone and hear how my
people are doing down there. She calls and talks about five minutes.
Then she asks: Well devil, how much do I owe you for the call? The devil says: Five million dollars. She writes him a cheque and goes back to her chair.

Clinton wants to make a call too. He says I wanna call the US. He talks
about ten minutes, then asks how much do I owe you devil?

The devil says Ten million dollars. He also writes a cheque and goes
back to his seat.

Mugabe is jealous. He says I want to call Zim, He calls and talks for
about an hour ... then he asks the devil how much do I owe you?

The devil replies: only one dollar, Mugabe is shocked and asks 'why so
little?' The devils says: if you make a call from one hell to another,
it's a local call.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…